CHADEMA imeiteka Tanganyika

CHADEMA imeiteka Tanganyika

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Ni wajinga pekee wenye maono kimo cha mbilikimo ndio wanaoweza kafanya uharamia ili CHADEMA kigawanyike , kivurugane ama kisambaratike!

Tangu harakati za kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA zianze hakuna habari nyingine yoyote imeweza kuipiku CHADEMA kwenye top trending discussions. Ni kama vile CHADEMA ndio chama tawala.

Ufu wa CCM unajulikana kwenye matukio kama haya. Hakuna habari yoyote ya CCM imepewa kipaumbele kuanzia kule Arusha kwa bashite, mikes ha ya Tanganyika packers mpaka Yutong la KAZI IENDELEE.

Mijadala ya CHADEMA mitandaoni kwa mwezi December pekee vinaweza kuizidi kwa mbali mno mijadala yote ya CCM kwa maana mzima.

Ni wazi sasa na ni dhahiri shayiri kwamba CHADEMA is unstoppable.. Kuzidi kukifanyia figisu hiki chama ni sawa na kumpiga chura teke!

Spidi iliyonayo CHADEMA kwasasa sijui CCM itafanya mbinu gani kuweza kuipiku maana hata hivyo hakuna cha kuandika kuihusu
Makada wake wote mitandaoni wameweka kambi CHADEMA wakizusha kila aina ya uongo, kuandika majungu NA ETI kuishauri CHADEMA ama viongozi wake😂😂

Trending hii ya CHADEMA itaendelea kuchanja mbuga mpaka uchaguzi mkuu ikiiacha CCM mbali kabisa ulimi nje! Miguu kama imebemendwa.

Kwenye hizi mbio CHADEMA ni mapafu ya umbwa. CCM ni mapafu ya nani hii.😂🙌🏿🏃🏿🏃🏿

Racing the Rooster.jpeg
 
Sungura aliingia dukani akaulizia: “Karoti zipo.“ Akajibiwa: “Hapana!“ Kesho yake akaenda tena kuulizia. Akajibiwa vile vile. Siku ya tatu akarudi tena kuulizia: “Karoti zipo!?“ Muuzaji akajibu kwa hasira: “Mara ya ngapi nikuambie hatuna karoti! Ukija tena hapa na suali hilo, nakugongomelea msumari wa kichwa kwa nyundo!“ Siku iliyofuata, Sungura akaenda tena dukani akaulizia: “Nyundo zipo?“ Akajibiwa hapana. Akaulizia tena: “Misumari ipo!?“ Akajibiwa hapana. Kwa upole akaulizia: “Karoti zipo!?“

CCM isikutishe bure. Haina uwezo wa kukufanya chochote kile. Ni kama puto tu. CHADEMA iingie 2025 kwa kujiamini. Maana tayari inaongoza mtanange kwa mbali sana 💪🏿

FB_IMG_1735352458843.jpg
 
Huu ni wakati wa CHADEMA kupitia TAL.. Huyu ndio mbeba maono ya Tanganyika na jasiri muongoza njia
Haijalishi wangapi watapingana na huu ukweli ama kuubeza! Ama kuukejeli! Hakuna kitakachobadilika.. Iko hivyo na itabaki kuwa hivyo
20241218_051429.jpg
 
Kuna huu utabiri uliwahi kutolewa na Sheikh maarufu sana Sheikh Yahaya . kwa jinsi mambo yanavyokwenda sasa ni wazi unaenda kutimia kwa asilimia 1000.. Si vema CCM ikaendelea kushindana na wakatiView attachment 3186725
Wacha Bhwanah. Huu ulikuwa ni utabiri? So far so good.
Kimebaki tu hicho kipande kidogo cha mwisho mwisho kutimiza huo utabiri.

Huu utabiri utakuwa ni kiboko yao!

Hakutabiri mtu aliye nusurika kuwemo kwenye mechi hiyo?
 
Ni wajinga pekee wenye maono kimo cha mbilikimo ndio wanaoweza kafanya uharamia ili CHADEMA kigawanyike , kivurugane ama kisambaratike!
Tangu harakati za kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA zianze hakuna habari nyingine yoyote imeweza kuipiku CHADEMA kwenye top trending discussions
Ni kama vile CHADEMA ndio chama tawala.. Ufu wa CCM unajulikana kwenye matukio kama haya.. Hakuna habari yoyote ya CCM imepewa kipaumbele kuanzia kule Arusha kwa bashite, mikes ha ya Tanganyika packers mpaka Yutong la KAZI IENDELEE
Mijadala ya CHADEMA mitandaoni kwa mwezi December pekee vinaweza kuizidi kwa mbali mno mijadala yote ya CCM kwa maana mzima
Ni wazi sasa na ni dhahiri shayiri kwamba CHADEMA is unstoppable.. Kuzidi kukifanyia figisu hiki chama ni sawa na kumpiga chura teke!
Spidi iliyonayo CHADEMA kwasasa sijui CCM itafanya mbinu gani kuweza kuipiku.. Maana hata hivyo hakuna cha kuandika kuihusu
Makada wake wote mitandaoni wameweka kambi CHADEMA wakizusha kila aina ya uongo, kuandika majungu NA ETI kuishauri CHADEMA ama viongozi wake😂😂😂
Trending hii ya CHADEMA itaendelea kuchanja mbuga mpaka uchaguzi mkuu ikiiacha CCM mbali kabisa ulimi nje! Miguu kama imebemendwa..
Kwenye hizi mbio CHADEMA ni mapafu ya umbwa..ccm ni mapafu ya nani hii..😂🙌🏿🏃🏿🏃🏿View attachment 3186716
Tatizo lako ndio hilo unahangaika na CCM badala kutafuta mbinu kuokoa saccos yenu inayoteketea ki zembe mnooo .. mnoooo haijawahi Tokea . Okoa Chadema achana na chama dume.
 
Matusi na kudharauliana chadema kwa chadema kudharauliwa kwa mawakili wa mchongo kudharauliwa wanaharakati wa mchongo kudharauliwa mgombea uraisi wa mchongo 2020 ambaye ni mgombea uwenyekiti wa mchongo kifupi kuwavua nguo viongozi eti mtu anashusha uzi ndio trending inashangaza kidogo halafu mengi yaandikwayo hayana maana mtu anaeleza upuuzi mwingi kama yeye hiyo ndani ya miaka 20 hakuwa kiongozi!
 
Hizo ni figisu za CCM na zinajulikana wazi ndio maana Watanganyika hawababaiki nazo wala kuzishobokea
 
Na ukiangalia washusha uzi ni wafuasi wa mchongo wa chadema watupu wanaopopoana kuanzia jf mpaka X CCM wana wasolola tu mkimalizana mkiwa hoi bin taabani CCM wanachukua wanaweka waaaaa!
 
W
Ni wajinga pekee wenye maono kimo cha mbilikimo ndio wanaoweza kafanya uharamia ili CHADEMA kigawanyike , kivurugane ama kisambaratike!

Tangu harakati za kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA zianze hakuna habari nyingine yoyote imeweza kuipiku CHADEMA kwenye top trending discussions. Ni kama vile CHADEMA ndio chama tawala.

Ufu wa CCM unajulikana kwenye matukio kama haya. Hakuna habari yoyote ya CCM imepewa kipaumbele kuanzia kule Arusha kwa bashite, mikes ha ya Tanganyika packers mpaka Yutong la KAZI IENDELEE.

Mijadala ya CHADEMA mitandaoni kwa mwezi December pekee vinaweza kuizidi kwa mbali mno mijadala yote ya CCM kwa maana mzima.

Ni wazi sasa na ni dhahiri shayiri kwamba CHADEMA is unstoppable.. Kuzidi kukifanyia figisu hiki chama ni sawa na kumpiga chura teke!

Spidi iliyonayo CHADEMA kwasasa sijui CCM itafanya mbinu gani kuweza kuipiku maana hata hivyo hakuna cha kuandika kuihusu
Makada wake wote mitandaoni wameweka kambi CHADEMA wakizusha kila aina ya uongo, kuandika majungu NA ETI kuishauri CHADEMA ama viongozi wake😂😂

Trending hii ya CHADEMA itaendelea kuchanja mbuga mpaka uchaguzi mkuu ikiiacha CCM mbali kabisa ulimi nje! Miguu kama imebemendwa.

Kwenye hizi mbio CHADEMA ni mapafu ya umbwa. CCM ni mapafu ya nani hii.😂🙌🏿🏃🏿🏃🏿

View attachment 3186716
Wazee 3asilimia kwenye ubora wenu
 
Hakika habari ya chadema for last two months zimekuwa ndiyo trending.

Ndio maana naamini awe Lissu ama Mbowe chadema haiwezi kuteteleka. Hiki chama watu wanakichukulia poa ila hakika kimeshakuwa na wanachama wengi na mashabiki lukuki.

Ni kama CCM tu, hata leo Samia ahame CCM itabakia imara na itasonga mbele.

Haya mambo yanaleta afya kwa ustawi wa taifa letu.
 
Hivi vipichavyako vinatisha
 
True
 
How slow are you?

Ndio shida ya wafuasi wa CDM kudhani wanajua sana.

Bi-Tozo na MaCCM muda gani yameanza kuwaambia humo ndani kwenye uongozi hawaelewani (MaCCM yanajua what it takes to run a political institution).

Hizi habari za Lissu kuropoka sio mshtuko kwa MaCCM ni vitu ambavyo walikuwa wanavisubiri tu muda utafika.

Na MaCCM yashawapangia mbinu za mbele, ata akili zenu zikikaa sawa baada ya upuuzi wenu.

Mkiambiwa hiko chama kina walinzi wenye akili unadhani mzaha.
 
Tatizo lako ndio hilo unahangaika na CCM badala kutafuta mbinu kuokoa saccos yenu inayoteketea ki zembe mnooo .. mnoooo haijawahi Tokea . Okoa Chadema achana na chama dume.
Kwa taarifa yako Chadema inakwenda kuzaliwa upyaaa,hata dhahabu lazima ipitishwe kwenye moto mkali ili iwe safi. Tunakwenda kuondoa hilo duka lenu.
 
Back
Top Bottom