Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ni wajinga pekee wenye maono kimo cha mbilikimo ndio wanaoweza kafanya uharamia ili CHADEMA kigawanyike , kivurugane ama kisambaratike!
Tangu harakati za kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA zianze hakuna habari nyingine yoyote imeweza kuipiku CHADEMA kwenye top trending discussions. Ni kama vile CHADEMA ndio chama tawala.
Ufu wa CCM unajulikana kwenye matukio kama haya. Hakuna habari yoyote ya CCM imepewa kipaumbele kuanzia kule Arusha kwa bashite, mikes ha ya Tanganyika packers mpaka Yutong la KAZI IENDELEE.
Mijadala ya CHADEMA mitandaoni kwa mwezi December pekee vinaweza kuizidi kwa mbali mno mijadala yote ya CCM kwa maana mzima.
Ni wazi sasa na ni dhahiri shayiri kwamba CHADEMA is unstoppable.. Kuzidi kukifanyia figisu hiki chama ni sawa na kumpiga chura teke!
Spidi iliyonayo CHADEMA kwasasa sijui CCM itafanya mbinu gani kuweza kuipiku maana hata hivyo hakuna cha kuandika kuihusu
Makada wake wote mitandaoni wameweka kambi CHADEMA wakizusha kila aina ya uongo, kuandika majungu NA ETI kuishauri CHADEMA ama viongozi wake😂😂
Trending hii ya CHADEMA itaendelea kuchanja mbuga mpaka uchaguzi mkuu ikiiacha CCM mbali kabisa ulimi nje! Miguu kama imebemendwa.
Kwenye hizi mbio CHADEMA ni mapafu ya umbwa. CCM ni mapafu ya nani hii.😂🙌🏿🏃🏿🏃🏿