Uchaguzi 2020 CHADEMA imejiandaa vipi kwenye mfumo wa Mawasiliano, hasa Tundu Lissu?


Well said.
 
Usipoteze muda wenu bure! CCM iko ndani ya CDM hivyo kila kitu kiko wazi.
 
ooh....sorry nadhani nilikua namjibu mtu mwingine...
 
Lkn pia Kuna tetesi kuwa malaika mpinga mitandao atazima internet siku chache kabla ya uchaguzi mpk matokeo yatakapo tangazwa. Kwahiyo yawapasa viongozi wa Chadema wajiandaye na hilo pia.
Tutatumia satellite za Marekani kumonita vituo vyote [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hakuna nchi Duniani kwa dunia hii ya sasa ya teknolojia unaweza kuwa salama 100%.

Hizo nchi za ulaya wanajinasibu kuwa na demokrasia lakini hakuna.
 
 
Kinachotokea mahakamani leo kwenye kesi ya Mbowe mimi nilishakiona kitambo tu.
 
Nadhani kwa kesi hii ya Mbowe sasa waliokuwa hawajanielewa nilikuwa namaanisha nini sasa watakuwa wamenielewa vizuri.

Somo limeeleweka, siku zote tuko ahead kuliko uwezo wa akili za haya majinga majinga.
 
VPN yatosha.
afu ka tabia haka kamenza ndani ya hii miaka 5 - yaani ni kupekuana pekuana tu hadi vitandani ha ha ha - CCM bana

CDM watakuwa vizuri - ni mambo ya Virtual Private Network njomba!!
Tunaposema huyu mshamba wa Chato yupo motoni kuna watu huwa hawatuelewi.

Ushetani wote unaoendelea nchini ni matunda ya huyo malaika wa kuzimu.

Tunamshukuru Mungu kwa kumuondowa huyu shetani bila umwagaji damu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…