Uchaguzi 2020 CHADEMA imejiandaa vipi kwenye mfumo wa Mawasiliano, hasa Tundu Lissu?

Uchaguzi 2020 CHADEMA imejiandaa vipi kwenye mfumo wa Mawasiliano, hasa Tundu Lissu?

VPN is useless kama hakuna Internet, satellite phones utatumia kampuni iliyosajiliwa wapi au frequency zipi ambazo TCRA hawazijui, mawasiliano yote ya ndani na nje ya nchi yanarekodiwa.

Ukitaka ufanikiwe kuficha mambo yaks ni bora kutumia mini za kizamani za kuandika barua au Jumbe kwenye karatasi na kuzituma kwa mabasi au human couriers.

Well said.
 
Mipango kama hiyo ni muhimu, ila inapendeza zaidi ikifanywa kwa siri, kama bado hawana huo mpango basi wachukue ushauri wako.

Nakubaliana na wewe mitandao yetu ya simu nchini sio ya kuiamini kabisa linapokuja suala la kutunza siri za watumiaji, tumeshaona mifano ya hilo kwenye baadhi ya makampuni ya simu kwa kutoa siri za wateja wao pale wanapotakiwa kufanya hivyo na mamlaka husika.
Usipoteze muda wenu bure! CCM iko ndani ya CDM hivyo kila kitu kiko wazi.
 
Sasa ulichokiandika hapo ☝ na hicho hapo chini 👇 vinatofautiana nini mkuu?.
...ila kiukweli katika wakati kama huu mawasilianao yenye manufaa zaidi ni yale ya kuonana na muhusika mkayajenga papo kwa hapo na kuachana, vinginevyo inzi ni wengi wanaruka.
ooh....sorry nadhani nilikua namjibu mtu mwingine...
 
Lkn pia Kuna tetesi kuwa malaika mpinga mitandao atazima internet siku chache kabla ya uchaguzi mpk matokeo yatakapo tangazwa. Kwahiyo yawapasa viongozi wa Chadema wajiandaye na hilo pia.
Tutatumia satellite za Marekani kumonita vituo vyote [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hakuna nchi Duniani kwa dunia hii ya sasa ya teknolojia unaweza kuwa salama 100%.

Hizo nchi za ulaya wanajinasibu kuwa na demokrasia lakini hakuna.
 
VPN kazi yake ni kudanganya mtumia simu aliko. Kwa mfano wewe uko Tanzania unatumia VPN inaonyesha kama uko Uingereza, Kenya au China nk. Hii haifai kwenye udukuzi. Watakudukua tu.

Hii inafaa sana kwa matumizi ya mawasiliano ya mawakala wa vyama vya upinzani na viongozi wao. Maana siku ya uchaguzi huwa kunakuwaga na figisu ya mitandao kutofanyakazi.
 
CHADEMA imajiandaa vipi kwenye mfumo wa mawasiliano hasa Tundu Liss? Nitashangaa sana kama Tundu Lissu anatumia. Vodacom, Tigo, Airtel, Halotel, Zantel au TTCL.

Ni lazima Tundu Lissu atumie satellite phone kwa Tanzania unaweza kuitumia kampuni kama Thuraya.

Kuna tabia ya kishamba kuingilia faragha za watu sina hakika kama Chadema wako aware kulinda faragha za viongozi wao wakuu na mgombea wao wa Urais Tundu Lissu?
Kinachotokea mahakamani leo kwenye kesi ya Mbowe mimi nilishakiona kitambo tu.
 
Mipango kama hiyo ni muhimu, ila inapendeza zaidi ikifanywa kwa siri, kama bado hawana huo mpango basi wachukue ushauri wako.

Nakubaliana na wewe mitandao yetu ya simu nchini sio ya kuiamini kabisa linapokuja suala la kutunza siri za watumiaji, tumeshaona mifano ya hilo kwenye baadhi ya makampuni ya simu kwa kutoa siri za wateja wao pale wanapotakiwa kufanya hivyo na mamlaka husika.
Nadhani kwa kesi hii ya Mbowe sasa waliokuwa hawajanielewa nilikuwa namaanisha nini sasa watakuwa wamenielewa vizuri.

Somo limeeleweka, siku zote tuko ahead kuliko uwezo wa akili za haya majinga majinga.
 
VPN yatosha.
afu ka tabia haka kamenza ndani ya hii miaka 5 - yaani ni kupekuana pekuana tu hadi vitandani ha ha ha - CCM bana

CDM watakuwa vizuri - ni mambo ya Virtual Private Network njomba!!
Tunaposema huyu mshamba wa Chato yupo motoni kuna watu huwa hawatuelewi.

Ushetani wote unaoendelea nchini ni matunda ya huyo malaika wa kuzimu.

Tunamshukuru Mungu kwa kumuondowa huyu shetani bila umwagaji damu.
 
Back
Top Bottom