CHADEMA imejishusha toka chama cha siasa hadi kikundi cha kinaharakati ilikoanzia

CHADEMA imejishusha toka chama cha siasa hadi kikundi cha kinaharakati ilikoanzia

Kwa sasa CHADEMA ni lazima wakubali ukweli mchungu kuwa wamepuuzwa na watanzania.
Lucas Mwashambwa pole kwa kukimbila mlima Kawetere na kulala huko kwa siku tatu, hii habari ulitakiwa uishuhudie wewe binafsi siyo kuhadithiwa, ona sasa nawe unadanganywa kama umdanganyavyo gagula asiyetulia.
 
Kwako ndugu muandishi.

Katika taifa la sasa la Tanzania nguvu ya upinzani ni kubwa kuliko upeo wako unavyofikiri.
Ukitaka kuamini hilo angalia nguvu anayoitumia makonda kuuaminisha umma kwamba CCM ndi chama bora baada ya madudu mengi kufanyika(baada ya utawala wa mwenda zake)

Kuna mambo yakikaa sawa ndani kambi ya upinzani.
Utaelewa nini maana ya upinzani na nguvu halisi waliyonayo.

Watu ni wamechoka ila anakosekana shujaa mmoja wa kutuongoza katika kuuangusha utawala wa kidhalimu wa sasa.
 
View attachment 2911056Hii ni Mbeya + viongozi wote wa kitaifa + waandishi wa habari+kwa yeyote anayejisikia
viungozi na wanaharakati wa saut ya umma wakiongozwa na dr. slaa nilikua nawaskiza walikua wakidanganyana wao kwa wao eti serikali imetishika na hiyo nyomi ya wana mbeya, na kwenye maandamano yajayo watajiandaa na misumari kutega magari ya serikali yapate pancha wanapokua wanafanya maandamano yao 😛

eti shughuli zote zunapaswa kusimama siku iyo....

Niakaona kwamba kukosa kazi ukiwa mtu mzima huwa ni changamoto sana na kwakweli unakua unawaza kitoto zaidi..
 
Back
Top Bottom