CHADEMA imejishusha toka chama cha siasa hadi kikundi cha kinaharakati ilikoanzia

CHADEMA imejishusha toka chama cha siasa hadi kikundi cha kinaharakati ilikoanzia

viungozi na wanaharakati wa saut ya umma wakiongozwa na dr. slaa nilikua nawaskiza walikua wakidanganyana wao kwa wao eti serikali imetishika na hiyo nyomi ya wana mbeya, na kwenye maandamano yajayo watajiandaa na misumari kutega magari ya serikali yapate pancha wanapokua wanafanya maandamano yao 😛

eti shughuli zote zunapaswa kusimama siku iyo....

Niakaona kwamba kukosa kazi ukiwa mtu mzima huwa ni changamoto sana na kwakweli unakua unawaza kitoto zaidi..
Interesting 😎
 
In today's world politics ishakuwa a bad word (wanasiasa hawaaminiki) binafsi bora niwe na wanaharakati wa kweli wanaopigania issues hapa na pale kila zinapotokea kuliko watafuta Kura ili waende Kula... (Hapa wala siongelei CHADEMA wala CCM) bali the political scenario the world over (kinachoendelea ni Politics of Attack and Survival) na sio dealing with the issues za kumtoa mwananchi hapa mpaka pale....
 
Back
Top Bottom