Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ndugu haya yanafanyika kwa nia uvu.Uraia Ni suala mtambuka wewe
Anatory Amani wa ccm alishawahi kupokwa uraia wake katika mazingirq Kama haya ya uchaguzi,Kama uraia wako hauna utata ya nini kujipa presha?
Viongozi wa dini kwa sasa wapo kwa ajili ya SADAKAViongozi wa dini wapo kimya wanasubiri sadaka leo jumapili. Wao wako bize kujipendekeza kwa sanamu Yao waliyojichongea.
Mi nshaacha kupeleka sadaka hawana maana kabisa!Viongozi wa dini kwa sasa wapo kwa ajili ya SADAKA
Wewe muumini wa dini unafanya nn?Viongozi wa dini wapo kimya wanasubiri sadaka leo jumapili. Wao wako bize kujipendekeza kwa sanamu Yao waliyojichongea.
Lisu kwanza anazunguka kwenye majimbo yaliyokuwa na wabunge wa chadema hivyo Ni rahisi kukusanya watu, pili watu wanaenda kumwangalia Kama kweli kawa kilema, Ila wanakatishwa tamaa na kauli zake,Bagamoyo
Nimekua nikitazama video mbalimbali za mapokezi ya Lissu,watu wanaompokea Ni maelfu kwa maelfu.
Ila hi ya Songwe nimeitazama mwanzo mwisho,aisee hi naona imevunja rekodi,watu mi wengi Sana.
Sioni Lissu atashindwa Uchaguzi huu.
Nakuhakikishia kuwa,kwa kura za kudumbukiza ndani ya ballot box Lisu atashinda.
Narudia Tena Lissu atashinda.
Naomba tume itende Hali tu.
Wapo,Chamwino huko wanapiga siasa mimbarini muda huu.Viongozi wa dini wapo kimya wanasubiri sadaka leo jumapili. Wao wako bize kujipendekeza kwa sanamu Yao waliyojichongea.
Magufuli Huyu aliyejifungia juzi dodoma na kupitisha Watoa rushwa wakawe wagombea ubunge ndiyo anapimwa kwa kupambana na ufisadi? Nitajie mgombea wa Ccm ambaye hajatoa RUSHWA nikuwekee hapa na majina na viwango.Uraia Waweza hojiwa muda wowote kabla 2015 Magufuli hakuwa madarakani rushwa na ufisadi ulikuwa nje nje kaingia kuhoji ruksa Kama mtu raia Hana Cha kuogopa
Hata wagombea urais wanatakiwa kuchunguzwa uraia wao, tukianza na mgombea wa ccmUraia Ni suala mtambuka wewe
Anatory Amani wa ccm alishawahi kupokwa uraia wake katika mazingirq Kama haya ya uchaguzi,Kama uraia wako hauna utata ya nini kujipa presha?
Aisee acheni kulia lia basi haitowasaidia..Chukueni hatua kama hamuwezi kaeni kimya maisha yaendelee...CDM miaka yote nyie mnalalamika tu mnaonewa kwenye hili lile kila siku, miaka yote..CHUKUENI HATUA KAMA MNA UHAKIKA MKO UPANDE WA HAKI...
Mhhuu Eddy watu wanakatishwa tamaa umepata wapi data hizo au wewe umekata tamaa usiwasemee watu.Lisu kwanza anazunguka kwenye majimbo yaliyokuwa na wabunge wa chadema hivyo Ni rahisi kukusanya watu, pili watu wanaenda kumwangalia Kama kweli kawa kilema, Ila wanakatishwa tamaa na kauli zake,
mpango umekamilika.22 August 2020
Tunduma, Songwe
Tanzania
CHADEMA imeomba vyombo husika vifuatilie tetesi za kuwepo mipango ya kuvuruga mchakato wa kuelekea katika hatua za kurudisha fomu za wagombea. Hivyo wameomba uchunguzi na hatua za haraka za kiuchunguzi zifanyike ili kama kweli mipango hiyo ipo basi vyombo husika vilivyoahidi kusimamia uchaguzi huru na haki vizuie njama hizo ovu.
Tayari wagombea kadhaa wa udiwani wa CHADEMA waliohudumu muda mrefu kabla mabaraza ya madiwani hayajavunjwa kufuatia kumalizika kwa kazi zao 2015 -2020 wameitwa kuhojiwa uraia wao.
CHADEMA inashangaa vipi viongozi hao waliohudumu katika Baraza la Madiwani la Halmashauri waanze kuhojiwa kipindi hiki kuelekea mchakato wa kurudisha fomu unaotarajiwa kuhitimishwa tarehe 25 Agosti 2020 ili waweze kuomba kuchaguliwa na wananchi wa Tunduma.
Madiwani teule waliopendekezwa na CHADEMA, mbele ya waandishi wa habari waongea kuhusu kupokea simu zilizopigwa na watu waliojitambulisha ni maofisa wa Idara ya Uhamiaji kuitwa kwenda kuhojiwa uraia wao. Diwani wa kata ya Sogea Tunduma alihojiwa kwa masaa kadhaa ktk ofisi za Uhamiaji Tunduma na kutakiwa kupeleka viambatisho vya vyeti vya kuzaliwa kesho kutwa Jumatatu tarehe 24 Agosti huku madiwani wengine wa CHADEMA walioshindwa kufika ofisi za Uhamiaji wakiendelea kuombwa kufika ofisi za Uhamiaji.
Viongozi wa CHADEMA Tunduma wanasema hizo ni njama za kutengeneza mazingira madiwani wa CCM wapite bila kupingwa katika uchaguzi wa Oktoba 2020. Kwani mmoja wa wagombea wa udiwani wa CHADEMA aliyeitwa Uhamiaji ana kaka yake ambaye ni mgombea wa udiwani wa CCM lakini huyu wa CCM hajaitwa kuhojiwa uraia.
Source : DSS Tunduma