CHADEMA imepoteza kabisa ushawishi kwa Watanzania

Hivi nikikuuliza mambo ya Chadema yanakuhusu nini! utajibu nini?

Wewe ni kada wa ccm, na pia chawa wa mama. Unatakiwa uwekeze nguvu zako huko. Mambo ya Chadema, waachie wenyewe! Sawa?
Hujuwi kuwa Chadema kimekula Sana Ruzuku zetu ambazo Ni Kodi zetu? Au hujuwi zile Ruzuku alizotafuna Mbowe na genge lake Ni Kodi zetu? Cha ajabu walitafuna Kodi zote Hadi wakasahau kupaka hata rangi za milango pale ufipa,chama kimebaki Kama Saccos ndio maana mwenye kigoda anasema amepoteza mabillioni take pale ,kwa hiyo huu Ni wakati wake wakuzitafuna sent zote zinazoingia chamani ili afidie mabillioni yake
 
Kwa hali hii hata akitokea mtu akaamua kukutukana, naona atakuwa sahihi kwa 100%
 
Nape mzuzuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwan umelazimishwa kuchangia?? Wanaochangia hawalalamiki km wewe husochangia, tulia we mwanamke mabwana tuko wengi kama wataka mume
Wanao changia wanahoji fedha zinakwenda wapi Hadi mnazidiwa na Act wazalendo yenye ofisi nzuri na ya kupendeza wakati nyie mnaishia kurundikana mule ndani miaka yote sehemu ambayo hata madirisha hayapitishi hewa ya kutosha? Au mwenye kigoda anafidia mabillioni yake aliyosem ameyapoteza hapo kwa kuhakikisha anazitafuna Kama mchwa?
 
Uwe unafupisha maandiko yako. Maelezo marefu alafu mambo yale yale tu unayarudia katika andiko ilo ilo. Mbaya zaidi hakuna point yoyote ya maana
 
Km umezaliwa kuanzia 1993 hadi 1998 means hadi sasa una miaka 25 au 30, Serikali inaajiri vijana wenye umri huo not above, sasa sasa km ulizaliwa 1992 kushuka chini weka Cheti chako kabatini tafuta mtu mwambie akufunze kuendesha boda boda au bajaji au jifunze kuzungusha mboga mboga mtaani utanishukuru baadae, sawa my brothers & sisters, usijesema sikukwambia, if you're above 30 Jiajiri start now acha kusubiria ajira

Sorry nipo nje ya mada
 
Kwa hali hii hata akitokea mtu akaamua kukutukana, naona atakuwa sahihi kwa 100%
Usimsubili mtu aje anitukane maana hata wewe unao uwezo huo wa kunitukana maana siwezi kushangaa kwa kuwa hiyo ndio Sera yenu ya kutukana utafikiri mmepigwa shoti ya akili
 
Usimsubili mtu she anitukane maana hata wewe unao uwezo huo wa kunitukana maana siwezi kushangaa kwa kuwa hiyo ndio Sera yenu ya kutukana utafikiri mmepigwa shoti ya akili
Una uhakika mimi ni mwananchama wa Chadema?
 
Mimi Ni mkulima na Jembe ndio kalamu yangu wakati Shamba ndio Daftari langi na mabega yangu ndio begi langu na nakula kwa nguvu na jasho langu kupitia mikono yangu
 
Uwe unafupisha maandiko yako. Maelezo marefu alafu mambo yale yale tu unayarudia katika andiko ilo ilo. Mbaya zaidi hakuna point yoyote ya maana
Wala usijari mkuu maana Kama Ni refu waweza kusoma mpaka pale ambapo uwezo wako umeishia wa kuweza kusoma na kuelewa
 
Mimi Ni mkulima na Jembe ndio kalamu yangu wakati Shamba ndio Daftari langi na mabega yangu ndio begi langu na nakula kwa nguvu na jasho langu kupitia mikono yangu
Sasa kuna wenzio wapo mtaani wanasubiria ajira, ajira zimetoka Ila umri ni challenge, kwa hio nmetoa angalizo kwa wengine wenye umri huo wachangamkie fursa na waliozidi umri wachangamke kua boda boda mtaani wasahau masuala ya kuajiriwa,
 
Namba ya simu ya nini?
 
Taifa haliwezi kuwa la bodaboda pekee,ndio maana Mimi nimejiajiri katika kilimo na kufaidika na juhudi za mh Rais katika kukipa thamani kilimo na kumuinua kiuchumi mkulima kwa kuhakikisha anafaidika na jasho lake kwa kauli mbiu ya kilimo Ni Biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…