Moha Mfinanga
Member
- Jan 1, 2019
- 61
- 26
Tunachoitaji ni mabadiliko ya katiba ambayo itawabana mafisadi wala rushwa. Bila kujali cheo chake, mifumo mizuri ya utawala alafu ata uje uongozi wa namna gani tayari ni rahisi maana mifumo tunayo. Katiba mpia ndio mkombozi awa wanasiasa kubadilika ni mda mchache sana.Hivi nikikuuliza mambo ya Chadema yanakuhusu nini! utajibu nini?
Wewe ni kada wa ccm, na pia chawa wa mama. Unatakiwa uwekeze nguvu zako huko. Mambo ya Chadema, waachie wenyewe! Sawa?