CHADEMA imepoteza kabisa ushawishi kwa Watanzania

Ndugu zangu Watanzania

Baada ya kufunguliwa na kuruhusiwa kwa mikutano ya vyama vya siasa hapa nchini tulishuhudia mbwembwe na vitisho vya hapa na pale kutoka kwa viongozi na wanachama wa chadema kuwa Wana kwenda kutikisa na kuipa shida CCM.

lakini Cha ajabu Baada ya ufunguzi wa mikutano Yao kilichofuata ni kichekesho na fedheha kubwa Sana, maana badala ya kuwaunganisha wanachama wake wamebaki wamegawanyika na kuanza kutafutana Ni Nani mchawi na msaliti wa chama,Ni Nani Kamanda wa ukweli na Nani aliye ramba asali nyingi,Ni Nani Ni CCM B na Nani anatakiwa kumpisha fulani,Ni Nani amepanda kalewa jukwaani na Nani kazungumza masuala ya wananchi.

Tumeshuhudia Wana chadema wakilaumiana na kutiliana mashaka wao kwa wao,kwamba kwanini Mwenyekiti hajawashambulia Sana CCM ,kwanini amempongeza Mwenyekiti wa CCM,kwanini sauti yake ilikuwa hivi na vile, yaani Sasa chama kina mpasuko mkubwa huku wengi wakimsubili Lisu ili waje wasikie atatukana matusi mangapi,wao furaha Yao Ni kutaka kuona anayepanda jukwaani anaropoka matusi utafikiri kakatika mishipa ya fahamu na kuvuruga ubongo wake.

Kinachowachanganya Zaid Ni mapokeo ya watanzania kwa namna walivyo wapuuza na kuwadharau kwa Sasa,maana wanaona watanzania hawana habari nao,hawana habari na mikutano Yao,wanawakosoa na kuwapinga kila mahali,wanamtetea, kumsemea na kumpongeza Rais Samia kwa uchapa kazi wake uliotukuka na kuahidi kumuunga mkono katika kila hatua ya ujenzi wa Taifa letu.

Kwa Sasa Chadema Imepoteza ule mvuto na ushawishi iliokuwa nao kutokana na utendaji kazi wa mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani kufanyia kazi kero na changamoto zote zinazogusa na kuwa kikwazo katika maisha yao,wameona chadema Ni watu wasio na misimamo na vigeu geu,wameona chadema Ni njaa tupu tu na mkusanyiko wa wasaka tonge,ndio sababu ya Kuendelea kuwa na Imani na CCM na serikali yake chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Mama Samia.

CHADEMA kimebaki Ni chama kisicho na dira Wala muelekeo,hakina ajenda Wala Sera kinayoisimamia yenye kuwashawishi watanzania kuwaunga mkono,Hakina watu Wala viongozi wenye ushawishi na wenye kuteka hisia za watanzania,Hawana kiongozi au viongozi wenye uwezo wa Kuiteka mioyo ya watanzania kuweza kuwaunga mkono katika harakati zao,Hakina ngome yoyote kutoka kundi lolote katika jamii yetu,

Ni chama Cha matukio,hakina watu au viongozi wenye uwezo wa kujenga hoja zenye kuvuta hisia za watu,kila mmoja anapuyanga kivyake,Hakuna Sera za pamoja Wala ajenda za pamoja Wala mikakati ya pamoja Wala muelekeo wa pamoja ,ndio maana mwingine anatumia muda wake wote kujitetea kuwa hajalamba asali ,huku mwingine akijitetea kuwa amepoteza mabillioni chamani kana kwamba Ni Saccos au kikoba ambacho wanaangalia nani mwenye Hisa nyingi,

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
Hivi kati yako na CHADEMA ni nani kapoteza ushawishi? Namba ya simu ya nini JF? Unataka kupigiwa na nani ili useme mimi ndiye yule kiboko wa CHADEMA JF naomba kazi?
 
Mkuu wangu nilikuwa naangalia mahali ulipoandika kuwa namba imekuzuia kuelewa ujumbe Wangu lakini kwa bahati mbaya sijapakuta ,hivyo naamini ujumbe Wangu umenielewa vyema
 
Sawa nashukuru Wala haina shida maana huo Ni mtizamo wako kulingana na ulivyoelewa hoja yangu na kuona kuwa hayo ndio majibu yake ya kile nilichokiandika
 
Lucas mwashambwa ni chawa wa ovyo kabisa kuwahi kutokea JF
Mimi Ni msema kweli wakati wote,Embu niambie Ni mtanzania yupi mwenye Akili Timamu anayeweza kuwaunga mkono CHADEMA walikwambia aandamane Kama Lisu alivyotaka awadanganye 2020 huku yeye akiwa amejificha ubalozini
 
Taifa haliwezi kuwa la bodaboda pekee,ndio maana Mimi nimejiajiri katika kilimo na kufaidika na juhudi za mh Rais katika kukipa thamani kilimo na kumuinua kiuchumi mkulima kwa kuhakikisha anafaidika na jasho lake kwa kauli mbiu ya kilimo Ni Biashara
Sawa bwana shamba hongera kwa kujiajiri kwenye kilimo,
 
Ukweli mtupu.
Mbowe ameanza vibaya.

Chadema haikujengwa na Mbowe ni upumbavu mkubwa kusema kuwa Mbowe ndiye amajenga Chadema.

Kuna watu wamepoteza KAZI,maisha,na vifungo Kwa ajili ya Chadema.
Walikuwepo Akina Ndesamburo ,Dr.Slaa, Sugu kule Mbeya. Chacha Wangwe kule Musoma, Lisu kule Singida , Lema Arusha na wengie wengi. Mbowe ni mnufaika Wa kukikopesha Chama na KUFANYA manunuzi kinyemela na kujifanya Yeye ndiye Chadema.

Mbowe alipokua Gerezani chama kiliendeshwa Kwa ufanisi na kisomi kuliko Mbowe alipotoka gerezani.

Mbowe amefanya uzinduzi Wa hovyo na kuifanya mikutano Yote kuwa na mwendelezo Wa hovyo.

Anayebisha atuambie Slogan aliyokuja nayo Mbowe ambayo ameitumia kwenye mkutano Wa uzinduzi Juzi!!!

Mkapa alikuja na Ukweli na uwazi.

Kikwete alikuja na Ari mpya ,Nguvu mpya na Kasi mpya.

Magufuli alikuja na hapa KAZI tu kutumbua majipu .

Mama akaja na KAZI iendelee na Salam ya Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania KAZI iendelee.

Dr. Slaa alikua na kuwakataa na kuwazokea Mafisadi na Ukoo Wa panya na mchwa. Watu wakayakariri Kila MTU na Jirani yake wakazitaja Kwa Moyo mmoja.

Mtikila aliwataja magobachori na wakatetemeka na kukosa Amani Kila walipopita mitaani.

Sasa Mbowe Kiongozi Wa chama kikubwa kabisa Cha Upinzani Kwa Miaka Mitano Hana slogan yoyote aliyokuja nayo.
Huyo Mbowe ni Mlevi tu sio lolote sio chochote.
Tumsubiri MH. Tundu Lisu. Angalau anaonekana ni MTU mwenye ujuzi Wa mambo Mengi ya kitaifa na kimataifa na historia ya Nchi na dunia Kwa Ujumla .
Lisu asifuate nyayo za Yule mlevi anayepanda majukwaani akiwa amelewa chakari. Aibu kubwa sana.

Uchaguzi ujao NDANI ya Chama Mbowe ni Wa kupigwa chini mapema. Vinginevyo Chadema kitaendelea kuwa chama cha upinzani milele .
Watu aina ya Mbowe wanacheleweshaga mageuzi Kwa kujitafutia umaarufu Binafsi.
 
Oya luka mbona hiyo namba napiga haupatikani? Kesho asubuhi saa 4 tukutane ofisi ndogo lumumba kuna kazi ya kufanya. Njoo PM kwa maelekezo zaidi
 
😆😆😆😆 Ngoja aje asome hapa Erythrocyte
 
Unakuta mjinga kama huyu ana ndugu zake
 
Oya luka mbona hiyo namba napiga haupatikani? Kesho asubuhi saa 4 tukutane ofisi ndogo lumumba kuna kazi ya kufanya. Njoo PM kwa maelekezo zaidi
Lumumba Ni ofisi siyo mahali pa kupigia soga Kama wale wa ufipa mahali pa kupangia mipango ya kutafuna Ruzuku na michango ya wanachama wake,karibu ushike jembe maana huko ndiko ninakoshinda Mimi kuunga juhudi za mh Rais wetu mpendwa mama Samia
 
Unalima saa ngapi huku uko busy na uchawa 24/7, wadanganye tonge nyama wenzako
 
Ndugu zangu Watanzania

Baada ya kufunguliwa na kuruhusiwa kwa mikutano ya vyama vya siasa hapa nchini tulishuhudia mbwembwe na vitisho vya hapa na pale kutoka kwa viongozi na wanachama wa chadema kuwa Wana kwenda kutikisa na kuipa shida CCM.

lakini Cha ajabu Baada ya ufunguzi wa mikutano Yao kilichofuata ni kichekesho na fedheha kubwa Sana, maana badala ya kuwaunganisha wanachama wake wamebaki wamegawanyika na kuanza kutafutana Ni Nani mchawi na msaliti wa chama,Ni Nani Kamanda wa ukweli na Nani aliye ramba asali nyingi,Ni Nani Ni CCM B na Nani anatakiwa kumpisha fulani,Ni Nani amepanda kalewa jukwaani na Nani kazungumza masuala ya wananchi.

Tumeshuhudia Wana chadema wakilaumiana na kutiliana mashaka wao kwa wao,kwamba kwanini Mwenyekiti hajawashambulia Sana CCM ,kwanini amempongeza Mwenyekiti wa CCM,kwanini sauti yake ilikuwa hivi na vile, yaani Sasa chama kina mpasuko mkubwa huku wengi wakimsubili Lisu ili waje wasikie atatukana matusi mangapi,wao furaha Yao Ni kutaka kuona anayepanda jukwaani anaropoka matusi utafikiri kakatika mishipa ya fahamu na kuvuruga ubongo wake.

Kinachowachanganya Zaid Ni mapokeo ya watanzania kwa namna walivyo wapuuza na kuwadharau kwa Sasa,maana wanaona watanzania hawana habari nao,hawana habari na mikutano Yao,wanawakosoa na kuwapinga kila mahali,wanamtetea, kumsemea na kumpongeza Rais Samia kwa uchapa kazi wake uliotukuka na kuahidi kumuunga mkono katika kila hatua ya ujenzi wa Taifa letu.

Kwa Sasa Chadema Imepoteza ule mvuto na ushawishi iliokuwa nao kutokana na utendaji kazi wa mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani kufanyia kazi kero na changamoto zote zinazogusa na kuwa kikwazo katika maisha yao,wameona chadema Ni watu wasio na misimamo na vigeu geu,wameona chadema Ni njaa tupu tu na mkusanyiko wa wasaka tonge,ndio sababu ya Kuendelea kuwa na Imani na CCM na serikali yake chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Mama Samia.

CHADEMA kimebaki Ni chama kisicho na dira Wala muelekeo,hakina ajenda Wala Sera kinayoisimamia yenye kuwashawishi watanzania kuwaunga mkono,Hakina watu Wala viongozi wenye ushawishi na wenye kuteka hisia za watanzania,Hawana kiongozi au viongozi wenye uwezo wa Kuiteka mioyo ya watanzania kuweza kuwaunga mkono katika harakati zao,Hakina ngome yoyote kutoka kundi lolote katika jamii yetu,

Ni chama Cha matukio,hakina watu au viongozi wenye uwezo wa kujenga hoja zenye kuvuta hisia za watu,kila mmoja anapuyanga kivyake,Hakuna Sera za pamoja Wala ajenda za pamoja Wala mikakati ya pamoja Wala muelekeo wa pamoja ,ndio maana mwingine anatumia muda wake wote kujitetea kuwa hajalamba asali ,huku mwingine akijitetea kuwa amepoteza mabillioni chamani kana kwamba Ni Saccos au kikoba ambacho wanaangalia nani mwenye Hisa nyingi,

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
WAJINGA mnaongezeka kwa kasi kubwa na mpo wengi sana nchi hii
Wakati wa UTAWALA KATILI wa yule Mwendazake mpaka sasa UNGEKUWA MKUU WA MKOA ila kwa huyu Mama Unahangaika tu HATA UkiWeka EMAIL yako HUPATI hata UKATIBU tawi
1657801760543.jpg
 
Watu niwengi ila haina maana Kwa sababu tutaiba kura tu ndio sisi na hamna lakufanya toeni jasho la Bure 😀😀😁🤣🤣🤣🤣na walinzi mabaunsa wamevaa nguo zimepauka
 
Magu ni nani tena mbwa wewe? Laana laana. Laana anayo mamako
Mbona Ni Kama akili yako umevurugwa? Au Mbowe kawafanya ambacho hamkutegemea kwa kuwaambia ukweli mchungu wa kazi kubwa na za kutukuka alizofanya mh Rais?
 
Lumumba Ni ofisi siyo mahali pa kupigia soga Kama wale wa ufipa mahali pa kupangia mipango ya kutafuna Ruzuku na michango ya wanachama wake,karibu ushike jembe maana huko ndiko ninakoshinda Mimi kuunga juhudi za mh Rais wetu mpendwa mama Samia
Kama hautaki nikupigie umeweka namba zako za nini sasa?
 
Back
Top Bottom