Moha Mfinanga
Member
- Jan 1, 2019
- 61
- 26
Tunachoitaji ni mabadiliko ya katiba ambayo itawabana mafisadi wala rushwa. Bila kujali cheo chake, mifumo mizuri ya utawala alafu ata uje uongozi wa namna gani tayari ni rahisi maana mifumo tunayo. Katiba mpia ndio mkombozi awa wanasiasa kubadilika ni mda mchache sana.Hivi nikikuuliza mambo ya Chadema yanakuhusu nini! utajibu nini?
Wewe ni kada wa ccm, na pia chawa wa mama. Unatakiwa uwekeze nguvu zako huko. Mambo ya Chadema, waachie wenyewe! Sawa?
Bila utashi wa kisiasa hata ulete katiba nzuri kiasi gani itaonekana haifaiTunachoitaji ni mabadiliko ya katiba ambayo itawabana mafisadi wala rushwa. Bila kujali cheo chake, mifumo mizuri ya utawala alafu ata uje uongozi wa namna gani tayari ni rahisi maana mifumo tunayo. Katiba mpia ndio mkombozi awa wanasiasa kubadilika ni mda mchache sana.
Bila utashi wa kisiasa hata ulete katiba nzuri kiasi gani itaonekana haifaiTanzania
Tanzania nchi huru ina kila kitu, wasomi na rasilimali kibao kwa nn tutumie katiba ya mkoloni??? Why inatukandamiza na kutupotezea mambo kibao.Bila utashi wa kisiasa hata ulete katiba nzuri kiasi gani itaonekana haifai
Chadema Ni wanafiki ,vigeu geu,hawana misimamo Wala Dira,Hawaaminiki kwa watanzania na hawapaswi kuaminika na kuaminiwaMungu ibariki chadema iisimamie VIZURI ccm Chama changu kisijisahau!