CHADEMA imwombe radhi Paul Makonda kwa kumchafulia jina

Huna akili wewe

Kikubwa marekani iliwasaidia kumuondoa kwenye ramani
 
Naona unamtafutia promo baada ya kusahaulika
 
We ni kiazi,

Kwan wewe hukuiona clip inamuonesha huyo makonda anaingia studio na mtutu kwa sababu za kipumbafu??

Yale makontena yake unayakumbuk?

Umetumwa na familia kumsafisha bashite?
 
Watanzania hawana noma Mkuu, tatizo ni Chadomo, wakishasambaratishwa hao utaona nchi itavyotulia
 
Yeaaah.... Na ninyi mmeshindwa la kunifanya mpaka leo pamoja na yote niliyowatendea.... Kwa sababu ya woga wenu...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Naona unamtafutia promo baada ya kusahaulika
 
Umetumwa???,Kutoshitakiwa haimaanishi kuwa hana hatia,Kwa taarifa yako Watu wengi tuna hatia za makosa kibao tu ambayo tunatenda kila siku lkn utofauti wetu na wale walioko Magerezani ni kuwa"Wale walioko Magerezani ni wakosefu waliokutwa na hatia wakati sisi tulioko mtaani tukila bata,ni wakosefu ambao bado hatujakutwa na hatia".
 
HADI SASA HAKUNA ANAELIMUDU HILI JIJI SIO MAKALLA WALA YULE ALIEPITA KUNENGE
Kulimudu kwa namna gani?, Kusema Wanawake waliotelekezwa na waume zao waende Ofisini kwa mkuu wa mkoa?, Kupima DNA?,Kukithiri kwa miili ya watu kwenye viroba ktk fukwe za bahari?,Kutamka maneno ya hovyo kwa Watumishi wa Serikali sikukuu ya Mei mosi kuwa "Laiti wangekuja na mabango yanayodai nyongeza ya mishahara angewachapa bakora?,Kuwadharau viongozi wenzake waandamizi km Mr.Chongolo utadhani mtoto mdogo?,Kujitapa mbele ya viongozi wenzake waandamizi kuwa Mkuu wa nchi anamsikiliza yeye?,Au kujifanya analeta kontena la madawati kutoka China Kumbe ni upigaji?,Kuchangisha michango ya maendeleo ya Elimu halafu hakuna Ripoti ya matumizi ya pesa hiyo?.Usitufanye Watanzania ni Wajinga.
 
Utaamsha yaliyolala...alienusurika baada ya kifo cha mkuu wa awamu ya tano akae kimya na ndo maana Makonda ka[emoji850] kabisa wewe unataka kumzulia balaa...
 

Sema KIMEUMANA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…