Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Leo kupitia uzinduzi wa hii kampeni ya tonetone, Watanzania wote tunashuhudia ni namna gani hiki chama kina watu smart, walio na maarifa sahihi ya kulipeleka hili Taifa mbele.
Leo tunashuhudia kuwa yale maneno ya CCM kuwa CHADEMA haina watu wanaoweza kuliongoza hili Taifa ni maneno ya kipuuzi ambayo kumbe kiuhalisia ni CCM iliyokosa watu wenye uwezo sqhihi maana CHADEMA ina watu na vijana smart sana.
Katika uzinduzi wa Kampeni ya Tonetone leo, tumeshuhudia vijana wa CHADEMA walivyo na maarifa ya kuweza kuiongoza nchi yetu katika dunia hii ya sayansi na teknolojia kwa kuonesha namna gani wanaweza kukusanya michango ya kuendesha chama chao kwa kutumia sayansi na teknolojia.
Hongereni sana CHADEMA. Mungu azidi kuwanyanyua.