Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Ni kweli kwamba Chadema inahitaji uongozi mpya baada ya miaka 20 ya Mbowe.
Ila sio kwa mtu kama Lisu.
Tatizo la lisu ni mihemko isiyokuwa na mipaka.
Uongozi wa Taasisi unahitaji mtu mwenye tabia za kokoro, kwamba anauwezo wa kubeba kila uchafu , kuchuja na kubakia na product safi.
Sasa mtu wa kaliba ya Lisu ambaye hana uvumilivu , ni dakika sifuri tu kuharibu kila kitu.
Huyu asipotanguliza busara mbele , atawapoteza wenzake.