CHADEMA inahitaji mabadiliko ila sio kwa mtu kama Lissu

Ni kweli kwamba Chadema inahitaji uongozi mpya baada ya miaka 20 ya Mbowe.

Ila sio kwa mtu kama Lisu.

Tatizo la lisu ni mihemko isiyokuwa na mipaka.

Uongozi wa Taasisi unahitaji mtu mwenye tabia za kokoro, kwamba anauwezo wa kubeba kila uchafu , kuchuja na kubakia na product safi.

Sasa mtu wa kaliba ya Lisu ambaye hana uvumilivu , ni dakika sifuri tu kuharibu kila kitu.

Huyu asipotanguliza busara mbele , atawapoteza wenzake.
Kwahiyo kwa mtazamo wako ni nani pale chadema uliona anafaa kuwa mwenyekiti?
 
Aliiharibu vipi TLS. Tunakumbuka alitoka mahakamani akapanda ndege saa hiyo hiyo chap mara baada ya dhamana akawahi uchaguzi Arusha na akashinda.
Ulizia sasahivi chama cha wanasheria kilivyo hoi, yote hii ni kazi ya Lisu na Fatma karume.
 
Ni kweli kwamba Chadema inahitaji uongozi mpya baada ya miaka 20 ya Mbowe.

Ila sio kwa mtu kama Lisu.

Tatizo la lisu ni mihemko isiyokuwa na mipaka.

Uongozi wa Taasisi unahitaji mtu mwenye tabia za kokoro, kwamba anauwezo wa kubeba kila uchafu , kuchuja na kubakia na product safi.

Sasa mtu wa kaliba ya Lisu ambaye hana uvumilivu , ni dakika sifuri tu kuharibu kila kitu.

Huyu asipotanguliza busara mbele , atawapoteza wenzake.
Tulia hivyo hivyo dawa iingie, ndo kwanza sindano ya kwanza umekula!
 
Ni kweli kwamba Chadema inahitaji uongozi mpya baada ya miaka 20 ya Mbowe.

Ila sio kwa mtu kama Lisu.

Tatizo la lisu ni mihemko isiyokuwa na mipaka.

Uongozi wa Taasisi unahitaji mtu mwenye tabia za kokoro, kwamba anauwezo wa kubeba kila uchafu , kuchuja na kubakia na product safi.

Sasa mtu wa kaliba ya Lisu ambaye hana uvumilivu , ni dakika sifuri tu kuharibu kila kitu.

Huyu asipotanguliza busara mbele , atawapoteza wenzake.
Bado unaweweseka. Kama unampenda sana Mbowe amua kuishi naye. Chadema has voted.
 
Mbowe ni Big no ana utoto na ujinga mwingi..Wajinga wameanza kumuogopesha lisu.namwambia lisu ukibadilisha misimamo ukaanza busara za mbowe wananchi tunakukataa mapema.watu ambao hawaeleweki wapigwe nyundo mafisadi akina wenje.
 
Acha tu awapoteze, Mbowe mlikuwa mnampamba ana busara, kumbe sio busara, bali ni kukalia kimya chaguzi kunajisiwa. Cdm wasije wakaingia mtego wa mijadala na ccm/serekali isiyo na utekelezaji.
Je, Serikali isipotaka kuongea mtaifanyaje?
 
Alikuwa Rais wa TLS akaiharibu.
Ikawaje na nani akaifanyia Reforms Yani indicators au viashiria vya uharibifu ni vipi na kwamba ulipaswa iweje ikawaje?
Pili usisahau chini ya Jiwe walimlazimisha kwenda kuzimu wakaishia kumuacha kitandani Yani mgonjwa kipindi chote ambacho alikua ahudumu kama Rais! Kwahiyo aliutumia muda wake wa uongozi katika matibabu! Au imepigwa stroke ya ufahamu kulitambua hilo
 
Ni kweli kwamba Chadema inahitaji uongozi mpya baada ya miaka 20 ya Mbowe.

Ila sio kwa mtu kama Lisu.

Tatizo la lisu ni mihemko isiyokuwa na mipaka.

Uongozi wa Taasisi unahitaji mtu mwenye tabia za kokoro, kwamba anauwezo wa kubeba kila uchafu , kuchuja na kubakia na product safi.

Sasa mtu wa kaliba ya Lisu ambaye hana uvumilivu , ni dakika sifuri tu kuharibu kila kitu.

Huyu asipotanguliza busara mbele , atawapoteza wenzake.
Emotional Intelligence ya kila mtu ni tofauti, siyo lazima iwe sawa, sasa kama wewe unaona hafai nani anafaa? Je yule anayefaa alikua mgombea ? Demokrasia imemchagua Lisu kwa mabadiriko. Hata kabla hujaandika hii thread ungejiuliza maswali haya haungeandika huu uozo. Ungejiuliza kwa nini 85% ya wajumbe wamemchagua huyu Lisu kwenye huu uchaguzi ulikonkua Very Very open & transparent? Sasa ungelinganisha na yule Bi Tozo Ushungi kule Dodoma, ndiyo ungejua Demokrasia maana yake nini.

Cha Ajabu wote mlioumia kushindwa kwa Mbowe ni CCM wakati Mbowe mwenyewe kafurahia. Wachawi nyie.
 
Haujaelewa thread yangu.
 
Hapo kwenu hamtaki mabadiliko ila kwa jirani zenu mnatamani na kufosi mab⁵adiliko?
 
Emotional Intelligence ya kila mtu ni tofauti, siyo lazima iwe sawa, sasa kama wewe unaona hafai nani anafaa? Je yule anayefaa alikua mgombea ? Demokrasia imemchagua Lisu kwa mabadiriko. Hata kabla hujaandika hii thread ungejiuliza maswali haya haungeandika huu uozo. Ungejiuliza kwa nini 85% ya wajumbe wamemchagua huyu Lisu kwenye huu uchaguzi ulikonkua Very Very open & transparent? Sasa ungelinganisha na yule Bi Tozo Ushungi kule Dodoma, ndiyo ungejua Demokrasia maana yake nini.

Cha Ajabu wote mlioumia kushindwa kwa Mbowe ni CCM wakati Mbowe mwenyewe kafurahia. Wachawi nyie.
Nimependa ulivyomaliza. Umempa sa uso vilivyo.

Kushinda kashinda Lissu, kuumia waumie CCM. Kweli maajabu ya dunia haya
 
Back
Top Bottom