CHADEMA inahitaji mabadiliko ila sio kwa mtu kama Lissu

Kun nchi iliwahi kuongozwa na Mgonjwa wa akili....sembuse Lissu!?
 
Yeye na wanachama wamesema wakati wa busara umepita. Huu ni wakati wa mshikemshike.
Amandla...
 
Muda utaongea ila utakuja kujua kwamba Lissu ni kiongozi wa kupigiwa mfano. Ni vile hujajuwa bado, upe muda nafasi mkuu
 
Inskuhusu nini wewe chawa? Toka lini ukaitakia mema cdm?
 
Pole san A umechelewa, upo nje ya Muda, maoni yako yapo nje ya Muda
 
Tuliza komwe mkuu ikibidi nunua mzuzu ulihifadhi watajua ndo linakuongoza
 
Waliomchagua ndiyo wanajua mabadiliko gani wanataka, na amekaa tayari, sema lingine broo
 
TULETEE WEWE HAYO MABADILIKO TAFADHALI.
 
Kabla mlimsema ana wapiga kura wa JF. Hashindi au keyboard voters. Imekuwaje ameshinda. Tanzania hii hata akipewa darasa la 7 anaongoza sembuse Lissu kuongoza Chadema.
 


Kiongozi wa upinzani lazima uwe na mambo kama lisu

Na sio unakuwa unapelekwa pelekwa tu
 
Una mfano hata mmoja wa kile aloharibu?
Mnataka mkuharibu membelezwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…