comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiheshimu basi bro! 😪 sasa hili ni bandiko?
Hivi ni upi mchango wa Chawa's kwenye hili kumbukumbu mbaya kwa taifa😂😂😂Leaders’ Capacity Building: Workshop in cooperation with CHADEMA
CHADEMA: 2011/2016 Strategic Plan
From 01/09 until 05/09/2011, KAS Tanzania will hold a workshop for national trainers in order to prepare the implementation of CHADEMA's training programme.
Hivi tuwe na chama watu wake wanafundishwa hata namana ya kuongea hadharani kuna tofauti gani na nchi kuomba kusaidiwa uendeshaji wa bandari na kufundisha watu wetu pale bandarini. Ukifundishwa na mfundishaji anabaki pale pale ni sawa na kutokuwa na ukomo. Hii hapa picha ya mwalimu wao mkuu .Wewe ni fala Mkuu, sasa uwekezaji ambao mkataba wake hauna mwisho na kufundishwa vinafanana.
Kwa hii concept yako unataka ku justify nn? Kwamba banda bora liuzwe ama?Leaders’ Capacity Building: Workshop in cooperation with CHADEMA
CHADEMA: 2011/2016 Strategic Plan
From 01/09 until 05/09/2011, KAS Tanzania will hold a workshop for national trainers in order to prepare the implementation of CHADEMA's training programme.
Kama chama kama CHADEMA kimekodishwa kwa na kuendeshwa na NGO KAS, halafu CHADEMA hao hao wanapinga uwekezaji wa kuendeleza na kuongeza ufanisi wa bandari, this is a justifiable cause of courseKwa hii concept yako unataka ku justify nn? Kwamba banda bora liuzwe ama?
Kwa mantiki hii CDM hawapaswi kutetea maslahi ya Taifa bora bandari liuzwe tuu?Kama chama kama CHADEMA kimekodishwa kwa na kuendeshwa na NGO KAS, halafu CHADEMA hao hao wanapinga uwekezaji wa kuendeleza na kuongeza ufanisi wa bandari, this is a justifiable cause of course
Kama nyie CHADEMA hajashituka chama chenu kuuatamiwa, kutotolewa, kuelelewa na kufundishwa kila kitu na NGO ya KAS where do you get the moral to question agreement of improving the service of the bandari ambayo wote tunaona yafanyi vizuri? Basi mngekuwa mnahoji kwa fact ila inaudhi sana mnapoweka uzushi na chumvihakuna aliekataa mkataba ila tumekataa upumbavu wa ma CCM kuuza nchi
Kama nyie CHADEMA haMjashituka chama chenu kuuatamiwa, kutotolewa, kuelelewa na kufundishwa kila kitu na NGO ya KAS where do you get the moral to question agreement of improving the service of the bandari ambayo wote tunaona yaIfanyi vizuri? Basi mngekuwa mnahoji kwa fact ila inaudhi sana mnapoweka uzushi na chumvi. JIBU LANGU NI NDIYOKwa mantiki hii CDM hawapaswi kutetea maslahi ya Taifa bora bandari liuzwe tuu?
Nyie CDM ❌ Hao CDM ✔️!! Usinijumuishe huko ila CDM kuna mamb meng sana bungeni walisaidia kuyafunua na kupinga miswada kama hii ambayo ni hasara kwa Taifa!! Ila sikulaum maan mwanaccm yoyote hawez pinga muswada wowote.. kwasaab za kimaslahi ✔️Kama nyie CHADEMA hajashituka chama chenu kuuatamiwa, kutotolewa, kuelelewa na kufundishwa kila kitu na NGO ya KAS where do you get the moral to question agreement of improving the service of the bandari ambayo wote tunaona yafanyi vizuri? Basi mngekuwa mnahoji kwa fact ila inaudhi sana mnapoweka uzushi na chumvi. JIBU LANGU NI NDIYO
Samahani kwa kukuweka huko. Ila ujue hakuna mtu asiye na maslahiNyie CDM ❌ Hao CDM ✔️!! Usinijumuishe huko ila CDM kuna mamb meng sana bungeni walisaidia kuyafunua na kupinga miswada kama hii ambayo ni hasara kwa Taifa!! Ila sikulaum maan mwanaccm yoyote hawez pinga muswada wowote.. kwasaab za kimaslahi ✔️
1. UMESHAJALI KWA KUCHANGIAKwa andiko lako hili la kipimbi unafikiri kuna anayekujari ??? Zaidi zaidi unajitia kidole cha matako bila kujua
Chadema imehusikaje na mikataba ya kimangungo ?? Ni mkataba upi chadema wamehusika??1. UMESHAJALI KWA KUCHANGIA
2. MUNGU HASIMAMI NA WANAFIKI KAMA CHADEMA NA WEWE.
3. HUWEZI MHUKUMU MTU KWA DHAMBI AMBAYO NA WEWE UNAIFANYA HALAFU UKABAKI SALAMA
Na wewe ni k kama kLeaders’ Capacity Building: Workshop in cooperation with CHADEMA
CHADEMA: 2011/2016 Strategic Plan
From 01/09 until 05/09/2011, KAS Tanzania will hold a workshop for national trainers in order to prepare the implementation of CHADEMA's training programme.