Kadri unavozidi kuandika ninapata mashaka sana na uwezo wako wa akili mkuu.Hivi tuwe na chama watu wake wanafundishwa hata namana ya kuongea hadharani kuna tofauti gani na nchi kuomba kusaidiwa uendeshaji wa bandari na kufundisha watu wetu pale bandarini. Ukifundishwa na mfundishaji anabaki pale pale ni sawa na kutokuwa na ukomo. Hii hapa picha ya mwalimu wao mkuu .
Yaani huyu akisema neno Mbowe anaenda anakimbiaView attachment 2651492
Public speaking ni skill inafundishwa kabisa kwa hiyo sioni cha ajabu kwa hao Chadema.
Lakini huu mkataba ambao serikali inataka kuingia ndio unanitatiza, kwanza watacontrol bandari zote nchini,pili mkataba hauna kikomo,na tatu serikali haitaweza kuvunja mkataba hata kama masharti ya mkataba yasipotimizwa.
Hivi wewe unaona hili swala la mkataba linahusiana na mfano uliotoa kuhusu Chadema???
Muda mwingine jaribu kuficha ujinga wako Mkuu.