CHADEMA inapinga uwekezaji wakati wao wanafundishwa kila kitu na KAS ya Ujerumani

Kadri unavozidi kuandika ninapata mashaka sana na uwezo wako wa akili mkuu.
Public speaking ni skill inafundishwa kabisa kwa hiyo sioni cha ajabu kwa hao Chadema.
Lakini huu mkataba ambao serikali inataka kuingia ndio unanitatiza, kwanza watacontrol bandari zote nchini,pili mkataba hauna kikomo,na tatu serikali haitaweza kuvunja mkataba hata kama masharti ya mkataba yasipotimizwa.
Hivi wewe unaona hili swala la mkataba linahusiana na mfano uliotoa kuhusu Chadema???
Muda mwingine jaribu kuficha ujinga wako Mkuu.
 
Chadema ni lini imepinga uwekezaji.
 
Samahani kwa kukuweka huko. Ila ujue hakuna mtu asiye na maslahi
Exactly ✔️!! But Taifa mbele kwanza. Lkn kwa CCM wanasema chama kwanza, huoni hili ni tatizo ndilo linaleta haya yote?
 
Bandilisha mada, si uwekezaji ni UUZWAJI wa Bandari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…