CHADEMA inapokea Ruzuku ya Tsh. Millioni 107 kwa mwezi sawa na Tsh. Billion 1 na Millioni 284 Kwa mwaka!

CHADEMA nzima inazidiwa maarifa na uthubutu na wasanii kama Diamond aliye na kituo cha Tv pamoja na Redio. Inazidiwa hadi na Millard Ayo.
-Huku wakijinasibu ni akili kubwa 😁😁😁
-Chadema ni mpango wa Mungu marifi yanyu!
 
Achana kabisa na CCM Chama kiongozi barani Afrika chenye maendeleo chungu nzima na miradi ya kila aina kwa kutumia pesa zake halali. CCM Ina shule kibao,vyombo vya habari,fremu au vibanda vya biashara,viwanja vya michezo n.k.
 
Mimi kwa sasa nimejielekeza kukishukuru CHADEMA kutusaidia kujua kinakubalika kwa kiasi gani kupitia michango ya kununua V8 la Lissu. Kimsingi CHADEMA kimesuswa na wapiga kura. Kwenye 500m za kununua gari la kifahari la Lissu zimepatikana 20m tu.
Kipindi hiki cha mama ni fursa nzuri kwao chadema kufungua TV ,Redio na Magazeti ili kuwafikia wananchi kwa urahisi
 
Kipindi hiki cha mama ni fursa nzuri kwao chadema kufungua TV ,Redio na Magazeti ili kuwafikia wananchi kwa urahisi
Mawazo yao wao wanawaza matumizi yao binafsi na kulipana mishahara na posho nene nene .
 
Vp ripot za CAG Huwa zinalenga Serikali na wate daji wa Chadema😜.
Endelea kukipromote mkuu,Safi Sana.
 
Nguvu hii hii itumie kuhoji kilipo kile kivuko kilicholipiwa 7b, ni nyingi mara Saba ya hiyo ruzuku ya cdm, na kupelekwa Mombasa kwa matengenezo. Cdm wanahitaji miaka 7 kula kiwango kinachokuumiza, wakati uko kimya kwa hiyo 7b ya kivuko.
 
Hapo hujajibu hoja hata moja ndugu yangu. Niambie Ruzuku ya CHADEMA inakwenda wapi na inafanya kazi gani? Mbona ofisi za mikoani zipo hoi bin taabani?
 
yet, wameshindwa kununua gari ya tundulisu?
 
Hapo hujajibu hoja hata moja ndugu yangu. Niambie Ruzuku ya CHADEMA inakwenda wapi na inafanya kazi gani? Mbona ofisi za mikoani zipo hoi bin taabani?
Narudia tena, 1b is nothing compared to 7b, ungewekeza nguvu kwenye hiki kiwango ningejua una hoja za msingi. Umbea sio hoja boss.
 
Katibu WA CCM wilaya analipwa mshahara Tsh 500,000/= kwa mwezi,Huwa wanaishije?
Ukiona hivyo posho ya siku ni kubwa kiasi kwamba ingekuwa kwa mwezi anapata mara 2 au zaidi ya mshahara wa laki 5, kinyume na hapo huyu angeachana kabisa na ukatibu mkuu na kwenda kulima!
 
Kipindi hiki cha mama ni fursa nzuri kwao chadema kufungua TV ,Redio na Magazeti ili kuwafikia wananchi kwa urahisi
Walishawahi kufanya mpango wa kuwa na gazeti kupitia wafadhili ila Mbowe akajipa huo mradi baada ya kupokea hela za wafadhili.
 
Kwahiyo unawashwa na kitu gani wewe chawa?
 
Duuuu kumbe mtibwa ipo chini ya vigogo wa CCM?
Hii ni balaa jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…