CHADEMA inapokea Ruzuku ya Tsh. Millioni 107 kwa mwezi sawa na Tsh. Billion 1 na Millioni 284 Kwa mwaka!

Tozo zimefanya kazi kubwa sana katika maeneo mbalimbali.mfano ni kupitia tozo vilijengwa vituo vya afya 234 maeneo mbalimbali hapa nchini. Vipi embu niambie huwa mnafanyia na kupeleka wapi pesa za Ruzuku ninyi CHADEMA?
Majizi
 
Waulize Kwanza CCM wanakwiba ngapi selikalini na Wanapokea ruzuku kiasi Gani wakati huo wakienderea kuitia umasikini inchi yetu lini wizi utakoma? Huko CCM
 
Waulize Kwanza CCM wanakwiba ngapi selikalini na Wanapokea ruzuku kiasi Gani wakati huo wakienderea kuitia umasikini inchi yetu lini wizi utakoma? Huko CCM
hapo hujajibu hoja na siyo ujibuji wa hoja. Jibu hoja iliyopo mezani ndio uanze habari zako zingine.
 
Mpaka Lissu ameamua akomae Mwenyewe kuombaa Msaada wa michango ya kununua gari.
Lissu kajimaliza kisiasa kwa mtego mdogo sana. Ni aibu kubwa kwa mgombea urais kujitokeza hadharani na kuomba anunuliwe V8 huku mwenyekiti wake akiwa kimya bila kusema kitu. Mbowe sio mtu mzuri aisee. Ila mimi ninamsifu Mbowe kwa kufanikiwa kumwingiza Lissu kingi...
 
CVM INAPOKEA SH NGAPI? MBONA INATUMIA MAGARI YA SERIKALI WANACHOFANYA NI KUBANDIKA NAMBA BINAFSI,MBONA WANATUMIA KUMBI ZA SERIKALI IKULU BADALA YA KUKODI KUMBI? MUDA MWINGINE TUMIA AKILI ZA MKEO
 
Nini matokeo ya Ruzuku mnazopokea? Mnafanyia kazi gani? Mbona ofisi zinafungwa huku chini kwa kukosa kodi?
Waambie wenzio warudishe viwanja vyote vya mpira mlivyojimilikisha kuanzia CCM Kirumba na vingine.
 
ulifanikiwa kuisoma na kuidurusu taarifa ya CAG
 
Mnapokea mamillioni ya Ruzuku halafu bado haieleweki hata mnafanyia nini zaidi ya kuzitafuna tu. Maana ofisi tu huku chini mnashindwa kulipa kodi mpaka zinafungwa.
Kwa taarifa yako, siku CCM itakapo kuwa chama cha upinzani, hali ita kuwa mbaya sana heri ya CDM, maana wakati huo hata maokoto ya viwanja vya mpira wa miguu mtaya kumbuka. Jaribuni tuwe na Uchaguzi MKUU wa Haki muone. Maana mna mzigo mkubwa wa bajeti mliyonayo leo hii, hivyo mkiwa NJE YA SERIKALI hakuna rangi mtaacha kuiona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…