Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Kilichofanywa na tume huru ya uchaguzi ni uhuni, kwa nin uwazuie watu kushiriki uchaguzi kisa kutosaini mabadiliko siku moja? Mie sijawahi sikia chadema ikisema haitashiriki uchaguziNimepata dondoo za chadema kufungua shauri mahakamani kuomba huruma itumike waruhusiwe kujaza form ya maadili ili washiriki uchaguzi, infact nimeshindwa kuwaelewa?
Mkazo na dhamira zao haziendani na yale wanayoyafanya kwa sasa,
Tunataraji msimamo imara toka kwenye Tume yetu ya uchaguzi juu ya suala hili, wasiruhusiwe Ile iwe funzo kwa dharau walizozionyesha kwa Tume yetu.
Dondoo amezitoa #salum mwalim, jana katika Mkutano uliokuwa umesheheni watanzania wengi waliokuwa na Furaha kwa sera safi za chama hiki.
Nimepata dondoo za chadema kufungua shauri mahakamani kuomba huruma itumike waruhusiwe kujaza form ya maadili ili washiriki uchaguzi, infact nimeshindwa kuwaelewa?
Mkazo na dhamira zao haziendani na yale wanayoyafanya kwa sasa,
Tunataraji msimamo imara toka kwenye Tume yetu ya uchaguzi juu ya suala hili, wasiruhusiwe Ile iwe funzo kwa dharau walizozionyesha kwa Tume yetu.
Dondoo amezitoa #salum mwalim, jana katika Mkutano uliokuwa umesheheni watanzania wengi waliokuwa na Furaha kwa sera safi za chama hiki.
Yaani wewe Jamaa ni empty box kabisaNimepata dondoo za chadema kufungua shauri mahakamani kuomba huruma itumike waruhusiwe kujaza form ya maadili ili washiriki uchaguzi, infact nimeshindwa kuwaelewa?
Chakandumuz wamejitoa uchaguzi wenyewe na mnyika alisema wazi kwamba hataenda kusaini na hajakaimisha mtuLabda kukuweka sawa CDM haijasusia uchaguzi kama hao matapeli wanavyopotosha na swala la kusaini pia umefanyika uhuni tu kama alivyofanya msajili muda wakusaini hauna ukomo kwa mujibu wa sheria kama reforms zikifanyika hata kesho leteni uchaguzi tuwachezeshee kichapo
Chadema imeomba kushiriki uchaguzi no matter what, hata hoja zao zisipotekelezwa, nadhani umenielewa!Labda kukuweka sawa CDM haijasusia uchaguzi kama hao matapeli wanavyopotosha na swala la kusaini pia umefanyika uhuni tu kama alivyofanya msajili muda wakusaini hauna ukomo kwa mujibu wa sheria kama reforms zikifanyika hata kesho leteni uchaguzi tuwachezeshee kichapo
Unaweza ukatupa ibara inayosema hamna time limit? Lakini pia sioni haja ya kwenda mahakamani maana bado hamna reform kwenye tume kwahiyo tuachane na ilo twendelee na NRNELabda kukuweka sawa CDM haijasusia uchaguzi kama hao matapeli wanavyopotosha na swala la kusaini pia umefanyika uhuni tu kama alivyofanya msajili muda wakusaini hauna ukomo kwa mujibu wa sheria kama reforms zikifanyika hata kesho leteni uchaguzi tuwachezeshee kichapo
Chadomo ni matapeli. Wamepigwa pini na msajili wameufyata na wamekubali kufuata taratibu. Manyumbu yao hakuna na uzi walioposti. Aibu.Nimepata dondoo za chadema kufungua shauri mahakamani kuomba huruma itumike waruhusiwe kujaza form ya maadili ili washiriki uchaguzi, infact nimeshindwa kuwaelewa?
Mkazo na dhamira zao haziendani na yale wanayoyafanya kwa sasa,
Tunataraji msimamo imara toka kwenye Tume yetu ya uchaguzi juu ya suala hili, wasiruhusiwe Ile iwe funzo kwa dharau walizozionyesha kwa Tume yetu.
Dondoo amezitoa #salum mwalim, jana katika Mkutano uliokuwa umesheheni watanzania wengi waliokuwa na Furaha kwa sera safi za chama hiki.
Kutoshiriki uchaguzi ni kujiua kisiasa!
Uwezo wa kuzuia uchaguzi hawana!
Waasisi wao na wanamageuzi wote Tangu 1995 walilitambua hili vizuri kabisa!
No reforms no electionChadema hawajakataa kushiriki uchaguzi bali wanataka mabadiliko yafanyike kwanza kwenye Tume,
Ila mimi naona bora washiriki huenda mwaka huu baada ya kelele hizi police na tume itabadili tabia japo ni ngumu sana maana mama ameshaona wazi hakubaliki tena huku kwa ground,wengi hawampendi maana hajawahi kumtetea mtanzania wa hali ya chini,
Umeiweka vema sana , mtoa mada aache USIMBE kama Salum MwalimuLabda kukuweka sawa CDM haijasusia uchaguzi kama hao matapeli wanavyopotosha na swala la kusaini pia umefanyika uhuni tu kama alivyofanya msajili muda wakusaini hauna ukomo kwa mujibu wa sheria kama reforms zikifanyika hata kesho leteni uchaguzi tuwachezeshee kichapo