Chadema inapoomba kushiriki uchaguzi, huku ikiendeleza kampeni yake ya N. R. N. E, Tuielewaje?

Nimepata dondoo za chadema kufungua shauri mahakamani kuomba huruma itumike waruhusiwe kujaza form ya maadili ili washiriki uchaguzi, infact nimeshindwa kuwaelewa?

Mkazo na dhamira zao haziendani na yale wanayoyafanya kwa sasa,

Tunataraji msimamo imara toka kwenye Tume yetu ya uchaguzi juu ya suala hili, wasiruhusiwe Ile iwe funzo kwa dharau walizozionyesha kwa Tume yetu.

Dondoo amezitoa #salum mwalim, jana katika Mkutano uliokuwa umesheheni watanzania wengi waliokuwa na Furaha kwa sera safi za chama hiki.
cha kushangaza zaidi wanaojificha nyuma ya mlango 🐒
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Wanafanya siasa za mihemko na harakati.Kama kweli wameona watafute namna yakushiriki uchaguzi maana yake wameona wanapoteza muda kuwaaminisha wafuasi wao kila mahali kua hakuna kushiriki uchaguzi bila mabadiliko alafu uko kwa wenye mamlaka yakukubali mabadiliko hakuna anayeangaika kusikiliza madai yao lazima wabadili gia.Wakiendelea kukaza fuvu muda utawakuta wana miaka 5 mingine yakulalamika.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ile ya jana ni ya pili kuondolewa, nilisema kuwa hii haitadumu, Samia alikuwa anagaragazwa vibaya mno, kwa kumlindia heshima yake kidigo iliyobaki ikabidi mods waifute.
Screenshot_20250605_223710_Chrome.jpg
 
Nimepata dondoo za chadema kufungua shauri mahakamani kuomba huruma itumike waruhusiwe kujaza form ya maadili ili washiriki uchaguzi, infact nimeshindwa kuwaelewa?

Mkazo na dhamira zao haziendani na yale wanayoyafanya kwa sasa,

Tunataraji msimamo imara toka kwenye Tume yetu ya uchaguzi juu ya suala hili, wasiruhusiwe Ile iwe funzo kwa dharau walizozionyesha kwa Tume yetu.

Dondoo amezitoa #salum mwalim, jana katika Mkutano uliokuwa umesheheni watanzania wengi waliokuwa na Furaha kwa sera safi za chama hiki.
Hivi ni kwa nini Wapumbavu pumbavu kama nyinyi mnazidi kuongezeka sana humu?
 
Clarify vizuri, lipi hapo la kipumnavu, hujui chadema inachokisimamia?, hujui ilichokwenda kukifungua na kukiomba mahakamani?, kipi hapo cha KIPUMBAVU?
 
Nimepata dondoo za chadema kufungua shauri mahakamani kuomba huruma itumike waruhusiwe kujaza form ya maadili ili washiriki uchaguzi, infact nimeshindwa kuwaelewa?

Mkazo na dhamira zao haziendani na yale wanayoyafanya kwa sasa,

Tunataraji msimamo imara toka kwenye Tume yetu ya uchaguzi juu ya suala hili, wasiruhusiwe Ile iwe funzo kwa dharau walizozionyesha kwa Tume yetu.

Dondoo amezitoa #salum mwalim, jana katika Mkutano uliokuwa umesheheni watanzania wengi waliokuwa na Furaha kwa sera safi za chama hiki.
NASTAAJABU SANA INAMAANA CHADEMA MEMBERS HAMFAHAMU YA KUWA VIONGOZI WENU WAMEKWENDA KUFUNGUA SHTAKA LA KUDAI KURUDI KWENYE UCHAGUZI?, AJABU SANA HII
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Labda kukuweka sawa CDM haijasusia uchaguzi kama hao matapeli wanavyopotosha na swala la kusaini pia umefanyika uhuni tu kama alivyofanya msajili muda wakusaini hauna ukomo kwa mujibu wa sheria kama reforms zikifanyika hata kesho leteni uchaguzi tuwachezeshee kichapo
Hujui Heche alisema "hatutashiriki na hata kukifuta chama wakifute kuliko kushiriki uchaguzi huu" "
MANENO YAKE MWENYEWE AMESHINDWA KUYASIMAMIA!, JE HAPO KUNA VIONGOZI?
 
huko ndiyo kukimbia uchaguzi kusipofanyika reform inamaana hawashiriki sasa si wamekimbia uchaguzi tofauti nini hapo
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hujui Heche alisema "hatutashiriki na hata kukifuta chama wakifute kuliko kushiriki uchaguzi huu" "
MANENO YAKE MWENYEWE AMESHINDWA KUYASIMAMIA!, JE HAPO KUNA VIONGOZI?
Uchaguzi hautakuwepo bila reforms kama hauamini na nyie zungukeni mkawaulize wananchi kama watashiriki
 
Attachments

  • FB_IMG_1749139137988.jpg
    FB_IMG_1749139137988.jpg
    34.5 KB · Views: 17
Salsa na wao wanashiriki uchaguzi wa nini wakati wanajua kabisa sio wa huru na haki wala auna uwazi wakishindwa itakuaje si bora waeendelee kupambani reforms
 
Labda kukuweka sawa CDM haijasusia uchaguzi kama hao matapeli wanavyopotosha na swala la kusaini pia umefanyika uhuni tu kama alivyofanya msajili muda wakusaini hauna ukomo kwa mujibu wa sheria kama reforms zikifanyika hata kesho leteni uchaguzi tuwachezeshee kichapo
Kweli nimeona kama vile mambo yanaenda bila kufuata utaratibu
 
Nimepata dondoo za chadema kufungua shauri mahakamani kuomba huruma itumike waruhusiwe kujaza form ya maadili ili washiriki uchaguzi, infact nimeshindwa kuwaelewa?

Mkazo na dhamira zao haziendani na yale wanayoyafanya kwa sasa,

Tunataraji msimamo imara toka kwenye Tume yetu ya uchaguzi juu ya suala hili, wasiruhusiwe Ile iwe funzo kwa dharau walizozionyesha kwa Tume yetu.

Dondoo amezitoa #salum mwalim, jana katika Mkutano uliokuwa umesheheni watanzania wengi waliokuwa na Furaha kwa sera safi za chama hiki.
Kuna kitu naona hujakielewa bro. Kesi iliyofunguliwa ni dhidi ya msajili wa vyama vya siasa kutotambua uongozi wa akina John Mnyika, Amani Golugwa na wengine walioteuliwa na kuthibitishwa na mkutano mkuu siku ya uchaguzi. Madai hayo yalianzishwa na Lembrus Mchome, msajili akadakia bila kuelewa. Hakuna kesi yoyote ambayo Chadema wamefungua mahakamani dhidi ya tume ya uchaguzi.
 
Hiyo na nyingine pia, labda mmefichwa!
 
Kutoshiriki uchaguzi ni kujiua kisiasa!

Uwezo wa kuzuia uchaguzi hawana!

Waasisi wao na wanamageuzi wote Tangu 1995 walilitambua hili vizuri kabisa!
Kuzuia uchaguzi ni kuwa hautafanyika kwani kama akifa mtafanya uchaguzi gani?
 
Labda kukuweka sawa CDM haijasusia uchaguzi kama hao matapeli wanavyopotosha na swala la kusaini pia umefanyika uhuni tu kama alivyofanya msajili muda wakusaini hauna ukomo kwa mujibu wa sheria kama reforms zikifanyika hata kesho leteni uchaguzi tuwachezeshee kichapo
Hii nchi ngumu sana.

No reforms no Election unaelewa mama yake?
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Tatizo CHADEMA hawaamini na hawaaminiani katika, wanachopigania!
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
kama kweli kuna kesi basi itakuwa na public interest isome katika mahakama ya wazi na ile live kwenye tv kama kesi ya Lissu wanachama wahudhurie
 
Back
Top Bottom