Idimi
Platinum Member
- Mar 18, 2007
- 15,667
- 11,760
Kesi sio confidential kaka, ni kitu cha wazi. Umedanganywa. Kwamba media zote ziwe kimya kwa kesi yenye mvuto kama hio?Hiyo na nyingine pia, labda mmefichwa!
Kesi sio confidential kaka, ni kitu cha wazi. Umedanganywa. Kwamba media zote ziwe kimya kwa kesi yenye mvuto kama hio?Hiyo na nyingine pia, labda mmefichwa!
Reform zifanywe na watu wanaomshikilia Mwenyekiti wao? Wakiruhusiwa hata bila reforms watashiriki. Wamegundua kuwa G55 walikuwa sahihi.Wanaamini kutakuwa na reform ili kuhepuka no Election. Kwa hiyo watashiriki.
Mbona akili ndogo tu zinahitajika kuwalewa
Kuna swali Chadema huwa wanapenda kuuliza: "washiriki ili iwaje?"Mimi siamini kabisa kwamba chadema hawatoshiriki uchaguzi, naona kuna hekima itatumika katika hili . Niwaombe wazee wetu wenye busara katika nchi hii ,kwa kushirikiana na wenye mamlaka basi wafanye kitu ili kuliokoa taifa.
Kwa maana ya kwamba, wakishiriki kwa sheria hizi hizi, watafaidika nini wakati hakuna mabadiliko yoyote kwemye sheria za uchaguzi na kanuni za tume?Kuna swali Chadema huwa wanapenda kuuliza: "washiriki ili iwaje?"
Amandla...
Labda nimetoa fununu mapema mno let wait, better day are coming utayasikia tu very soon.Kesi sio confidential kaka, ni kitu cha wazi. Umedanganywa. Kwamba media zote ziwe kimya kwa kesi yenye mvuto kama hio?
Stay tunes......! (unveiled soon)Kwa maana ya kwamba, wakishiriki kwa sheria hizi hizi, watafaidika nini wakati hakuna mabadiliko yoyote kwemye sheria za uchaguzi na kanuni za tume?
Watu wa chadema wajinga sana, we mtu unakubalije kuongozwa na Mwenyekiti kichaa ana faili milembe, Heche anavuta bangi hadharani kila akihutubia ni mapambano hadi kuongea anatumia msuli, busara ziro, Lema mnywa bapa mpaka analala usingizi mahakamani, sasa we hapo kuna chama kweli!!Nimepata dondoo za chadema kufungua shauri mahakamani kuomba huruma itumike waruhusiwe kujaza form ya maadili ili washiriki uchaguzi, infact nimeshindwa kuwaelewa?
Mkazo na dhamira zao haziendani na yale wanayoyafanya kwa sasa,
Tunataraji msimamo imara toka kwenye Tume yetu ya uchaguzi juu ya suala hili, wasiruhusiwe Ile iwe funzo kwa dharau walizozionyesha kwa Tume yetu.
Dondoo amezitoa #salum mwalim, jana katika Mkutano uliokuwa umesheheni watanzania wengi waliokuwa na Furaha kwa sera safi za chama hiki.View attachment 3357845
Ccm je???Watu wa chadema wajinga sana, we mtu unakubalije kuongozwa na Mwenyekiti kichaa ana faili milembe, Heche anavuta bangi hadharani kila akihutubia ni mapambano hadi kuongea anatumia msuli, busara ziro, Lema mnywa bapa mpaka analala usingizi mahakamani, sasa we hapo kuna chama kweli!!
Wapi chama kimetowa tarifa rasmi kinataka kushiriki uchaguzi?Nimepata dondoo za chadema kufungua shauri mahakamani kuomba huruma itumike waruhusiwe kujaza form ya maadili ili washiriki uchaguzi, infact nimeshindwa kuwaelewa?
Mkazo na dhamira zao haziendani na yale wanayoyafanya kwa sasa,
Tunataraji msimamo imara toka kwenye Tume yetu ya uchaguzi juu ya suala hili, wasiruhusiwe Ile iwe funzo kwa dharau walizozionyesha kwa Tume yetu.
Dondoo amezitoa #salum mwalim, jana katika Mkutano uliokuwa umesheheni watanzania wengi waliokuwa na Furaha kwa sera safi za chama hiki.View attachment 3357845
Watu wa chadema wajinga sana, we mtu unakubalije kuongozwa na Mwenyekiti kichaa ana faili milembe, Heche anavuta bangi hadharani kila akihutubia ni mapambano hadi kuongea anatumia msuli, busara ziro, Lema mnywa bapa mpaka analala usingizi mahakamani, sasa we hapo kuna chama kweli!!Nimepata dondoo za chadema kufungua shauri mahakamani kuomba huruma itumike waruhusiwe kujaza form ya maadili ili washiriki uchaguzi, infact nimeshindwa kuwaelewa?
Mkazo na dhamira zao haziendani na yale wanayoyafanya kwa sasa,
Tunataraji msimamo imara toka kwenye Tume yetu ya uchaguzi juu ya suala hili, wasiruhusiwe Ile iwe funzo kwa dharau walizozionyesha kwa Tume yetu.
Dondoo amezitoa #salum mwalim, jana katika Mkutano uliokuwa umesheheni watanzania wengi waliokuwa na Furaha kwa sera safi za chama hiki.View attachment 3357845
Nini!!?Ccm je???
Haya. Tupo paleee 👇 👇 👇 👇Stay tunes......! (unveiled soon)
Nimepata dondoo za chadema kufungua shauri mahakamani kuomba huruma itumike waruhusiwe kujaza form ya maadili ili washiriki uchaguzi, infact nimeshindwa kuwaelewa?
Mkazo na dhamira zao haziendani na yale wanayoyafanya kwa sasa,
Tunataraji msimamo imara toka kwenye Tume yetu ya uchaguzi juu ya suala hili, wasiruhusiwe Ile iwe funzo kwa dharau walizozionyesha kwa Tume yetu.
Dondoo amezitoa #salum mwalim, jana katika Mkutano uliokuwa umesheheni watanzania wengi waliokuwa na Furaha kwa sera safi za chama hiki.View attachment 3357845
Tuwekee hapa barua iliyo halisi tuone CHADEMA walivyoomba kushiriki uchaguzi.Chadema imeomba kushiriki uchaguzi no matter what, hata hoja zao zisipotekelezwa, nadhani umenielewa!
NASTAAJABU SANA INAMAANA CHADEMA MEMBERS HAMFAHAMU YA KUWA VIONGOZI WENU WAMEKWENDA KUFUNGUA SHTAKA LA KUDAI KURUDI KWENYE UCHAGUZI?, AJABU SANA HII
We kweli zamwamwa, kwani wanaopga kura mitandaoni ni maroboti au?Vote za kimtandao huwa za hovyo tu na huwa si za kweli wala hazina impact yoyote!
#CHAUMA
#ALUTA CONTINUA
Ni kweli, unashiriki kwa mikakati, kila kata unaandaa vijana walau20 watakaokuwa macho kwa namna zote kuzuia upitishaji wa kura.... Hawa vijana wanaahidiwa kitu wakifanya kazi yao kwa ufasaha.Chadema hawajakataa kushiriki uchaguzi bali wanataka mabadiliko yafanyike kwanza kwenye Tume,
Ila mimi naona bora washiriki huenda mwaka huu baada ya kelele hizi police na tume itabadili tabia japo ni ngumu sana maana mama ameshaona wazi hakubaliki tena huku kwa ground,wengi hawampendi maana hajawahi kumtetea mtanzania wa hali ya chini,