cha kushangaza zaidi wanaojificha nyuma ya mlango 🐒Nimepata dondoo za chadema kufungua shauri mahakamani kuomba huruma itumike waruhusiwe kujaza form ya maadili ili washiriki uchaguzi, infact nimeshindwa kuwaelewa?
Mkazo na dhamira zao haziendani na yale wanayoyafanya kwa sasa,
Tunataraji msimamo imara toka kwenye Tume yetu ya uchaguzi juu ya suala hili, wasiruhusiwe Ile iwe funzo kwa dharau walizozionyesha kwa Tume yetu.
Dondoo amezitoa #salum mwalim, jana katika Mkutano uliokuwa umesheheni watanzania wengi waliokuwa na Furaha kwa sera safi za chama hiki.
Ile ya jana ni ya pili kuondolewa, nilisema kuwa hii haitadumu, Samia alikuwa anagaragazwa vibaya mno, kwa kumlindia heshima yake kidigo iliyobaki ikabidi mods waifute.Admin kulikua na poll humu ya kupiga kura kwa ajili ya SAMIA abaki au la kwann mumeiondoa?Mnatumika na wakoloni weusi?
Ile ya jana ni ya pili kuondolewa, nilisema kuwa hii haitadumu, Samia alikuwa anagaragazwa vibaya mno, kwa kumlindia heshima yake kidigo iliyobaki ikabidi mods waifute.
Hivi ni kwa nini Wapumbavu pumbavu kama nyinyi mnazidi kuongezeka sana humu?Nimepata dondoo za chadema kufungua shauri mahakamani kuomba huruma itumike waruhusiwe kujaza form ya maadili ili washiriki uchaguzi, infact nimeshindwa kuwaelewa?
Mkazo na dhamira zao haziendani na yale wanayoyafanya kwa sasa,
Tunataraji msimamo imara toka kwenye Tume yetu ya uchaguzi juu ya suala hili, wasiruhusiwe Ile iwe funzo kwa dharau walizozionyesha kwa Tume yetu.
Dondoo amezitoa #salum mwalim, jana katika Mkutano uliokuwa umesheheni watanzania wengi waliokuwa na Furaha kwa sera safi za chama hiki.
Clarify vizuri, lipi hapo la kipumnavu, hujui chadema inachokisimamia?, hujui ilichokwenda kukifungua na kukiomba mahakamani?, kipi hapo cha KIPUMBAVU?Hivi ni kwa nini Wapumbavu pumbavu kama nyinyi mnazidi kuongezeka sana humu?
Vote za kimtandao huwa za hovyo tu na huwa si za kweli wala hazina impact yoyote!
NASTAAJABU SANA INAMAANA CHADEMA MEMBERS HAMFAHAMU YA KUWA VIONGOZI WENU WAMEKWENDA KUFUNGUA SHTAKA LA KUDAI KURUDI KWENYE UCHAGUZI?, AJABU SANA HIINimepata dondoo za chadema kufungua shauri mahakamani kuomba huruma itumike waruhusiwe kujaza form ya maadili ili washiriki uchaguzi, infact nimeshindwa kuwaelewa?
Mkazo na dhamira zao haziendani na yale wanayoyafanya kwa sasa,
Tunataraji msimamo imara toka kwenye Tume yetu ya uchaguzi juu ya suala hili, wasiruhusiwe Ile iwe funzo kwa dharau walizozionyesha kwa Tume yetu.
Dondoo amezitoa #salum mwalim, jana katika Mkutano uliokuwa umesheheni watanzania wengi waliokuwa na Furaha kwa sera safi za chama hiki.
Hujui Heche alisema "hatutashiriki na hata kukifuta chama wakifute kuliko kushiriki uchaguzi huu" "Labda kukuweka sawa CDM haijasusia uchaguzi kama hao matapeli wanavyopotosha na swala la kusaini pia umefanyika uhuni tu kama alivyofanya msajili muda wakusaini hauna ukomo kwa mujibu wa sheria kama reforms zikifanyika hata kesho leteni uchaguzi tuwachezeshee kichapo
huko ndiyo kukimbia uchaguzi kusipofanyika reform inamaana hawashiriki sasa si wamekimbia uchaguzi tofauti nini hapoLabda kukuweka sawa CDM haijasusia uchaguzi kama hao matapeli wanavyopotosha na swala la kusaini pia umefanyika uhuni tu kama alivyofanya msajili muda wakusaini hauna ukomo kwa mujibu wa sheria kama reforms zikifanyika hata kesho leteni uchaguzi tuwachezeshee kichapo
Chadema imeomba kushiriki uchaguzi no matter what, hata hoja zao zisipotekelezwa, nadhani umenielewa
Uchaguzi hautakuwepo bila reformhuko ndiyo kukimbia uchaguzi kusipofanyika reform inamaana hawashiriki sasa si wamekimbia uchaguzi tofauti nini hapo
Uchaguzi hautakuwepo bila reforms kama hauamini na nyie zungukeni mkawaulize wananchi kama watashirikiHujui Heche alisema "hatutashiriki na hata kukifuta chama wakifute kuliko kushiriki uchaguzi huu" "
MANENO YAKE MWENYEWE AMESHINDWA KUYASIMAMIA!, JE HAPO KUNA VIONGOZI?
Kweli nimeona kama vile mambo yanaenda bila kufuata utaratibuLabda kukuweka sawa CDM haijasusia uchaguzi kama hao matapeli wanavyopotosha na swala la kusaini pia umefanyika uhuni tu kama alivyofanya msajili muda wakusaini hauna ukomo kwa mujibu wa sheria kama reforms zikifanyika hata kesho leteni uchaguzi tuwachezeshee kichapo
Kuna kitu naona hujakielewa bro. Kesi iliyofunguliwa ni dhidi ya msajili wa vyama vya siasa kutotambua uongozi wa akina John Mnyika, Amani Golugwa na wengine walioteuliwa na kuthibitishwa na mkutano mkuu siku ya uchaguzi. Madai hayo yalianzishwa na Lembrus Mchome, msajili akadakia bila kuelewa. Hakuna kesi yoyote ambayo Chadema wamefungua mahakamani dhidi ya tume ya uchaguzi.Nimepata dondoo za chadema kufungua shauri mahakamani kuomba huruma itumike waruhusiwe kujaza form ya maadili ili washiriki uchaguzi, infact nimeshindwa kuwaelewa?
Mkazo na dhamira zao haziendani na yale wanayoyafanya kwa sasa,
Tunataraji msimamo imara toka kwenye Tume yetu ya uchaguzi juu ya suala hili, wasiruhusiwe Ile iwe funzo kwa dharau walizozionyesha kwa Tume yetu.
Dondoo amezitoa #salum mwalim, jana katika Mkutano uliokuwa umesheheni watanzania wengi waliokuwa na Furaha kwa sera safi za chama hiki.
Hiyo na nyingine pia, labda mmefichwa!Kuna kitu naona hujakielewa bro. Kesi iliyofunguliwa ni dhidi ya msajili wa vyama vya siasa kutotambua uongozi wa akina John Mnyika, Amani Golugwa na wengine walioteuliwa na kuthibitishwa na mkutano mkuu siku ya uchaguzi. Madai hayo yalianzishwa na Lembrus Mchome, msajili akadakia bila kuelewa. Hakuna kesi yoyote ambayo Chadema wamefungua mahakamani dhidi ya tume ya uchaguzi.
Kuzuia uchaguzi ni kuwa hautafanyika kwani kama akifa mtafanya uchaguzi gani?Kutoshiriki uchaguzi ni kujiua kisiasa!
Uwezo wa kuzuia uchaguzi hawana!
Waasisi wao na wanamageuzi wote Tangu 1995 walilitambua hili vizuri kabisa!
Hii nchi ngumu sana.Labda kukuweka sawa CDM haijasusia uchaguzi kama hao matapeli wanavyopotosha na swala la kusaini pia umefanyika uhuni tu kama alivyofanya msajili muda wakusaini hauna ukomo kwa mujibu wa sheria kama reforms zikifanyika hata kesho leteni uchaguzi tuwachezeshee kichapo