Chadema inapoomba kushiriki uchaguzi, huku ikiendeleza kampeni yake ya N. R. N. E, Tuielewaje?

Mimi siamini kabisa kwamba chadema hawatoshiriki uchaguzi, naona kuna hekima itatumika katika hili . Niwaombe wazee wetu wenye busara katika nchi hii ,kwa kushirikiana na wenye mamlaka basi wafanye kitu ili kuliokoa taifa.
 
Wanaamini kutakuwa na reform ili kuhepuka no Election. Kwa hiyo watashiriki.
Mbona akili ndogo tu zinahitajika kuwalewa
Reform zifanywe na watu wanaomshikilia Mwenyekiti wao? Wakiruhusiwa hata bila reforms watashiriki. Wamegundua kuwa G55 walikuwa sahihi.

Amandla...
 
Reactions: Tui
Mimi siamini kabisa kwamba chadema hawatoshiriki uchaguzi, naona kuna hekima itatumika katika hili . Niwaombe wazee wetu wenye busara katika nchi hii ,kwa kushirikiana na wenye mamlaka basi wafanye kitu ili kuliokoa taifa.
Kuna swali Chadema huwa wanapenda kuuliza: "washiriki ili iwaje?"

Amandla...
 
Reactions: Tui
Kesi sio confidential kaka, ni kitu cha wazi. Umedanganywa. Kwamba media zote ziwe kimya kwa kesi yenye mvuto kama hio?
Labda nimetoa fununu mapema mno let wait, better day are coming utayasikia tu very soon.
 
Reactions: Tui
Kwa maana ya kwamba, wakishiriki kwa sheria hizi hizi, watafaidika nini wakati hakuna mabadiliko yoyote kwemye sheria za uchaguzi na kanuni za tume?
Stay tunes......! (unveiled soon)
 
Watu wa chadema wajinga sana, we mtu unakubalije kuongozwa na Mwenyekiti kichaa ana faili milembe, Heche anavuta bangi hadharani kila akihutubia ni mapambano hadi kuongea anatumia msuli, busara ziro, Lema mnywa bapa mpaka analala usingizi mahakamani, sasa we hapo kuna chama kweli!!
 
Reactions: Tui
Ccm je???
 
Wapi chama kimetowa tarifa rasmi kinataka kushiriki uchaguzi?
 
Watu wa chadema wajinga sana, we mtu unakubalije kuongozwa na Mwenyekiti kichaa ana faili milembe, Heche anavuta bangi hadharani kila akihutubia ni mapambano hadi kuongea anatumia msuli, busara ziro, Lema mnywa bapa mpaka analala usingizi mahakamani, sasa we hapo kuna chama kweli!!
Ccm je???
Nini!!?
 
 
Chadema imeomba kushiriki uchaguzi no matter what, hata hoja zao zisipotekelezwa, nadhani umenielewa!
Tuwekee hapa barua iliyo halisi tuone CHADEMA walivyoomba kushiriki uchaguzi.
Bila hivyo, huu ni ulaghai kama ulivyo ulaghai, uongo na utapeli wa CCM wa siki zote, kwani CCM ni baba wa uongo.

Baba wa uongo ni shetani.
CCM ni baba wa uongo.
Hivyo basi, CCM ni ......
 
Weka ushahidi hapa, kumuamini mwanaCCM ni kumuamini baba wa uongo, shetani.
NASTAAJABU SANA INAMAANA CHADEMA MEMBERS HAMFAHAMU YA KUWA VIONGOZI WENU WAMEKWENDA KUFUNGUA SHTAKA LA KUDAI KURUDI KWENYE UCHAGUZI?, AJABU SANA HII
 
Hawa wasiruhusiwe tuone watafanya nini
 
Ni kweli, unashiriki kwa mikakati, kila kata unaandaa vijana walau20 watakaokuwa macho kwa namna zote kuzuia upitishaji wa kura.... Hawa vijana wanaahidiwa kitu wakifanya kazi yao kwa ufasaha.

Ni wazi polisi waliopo hawawezi kujigawa kuzuia vurugu kwa kata zote tanzania, so ushindi ni guarantee kwa sehwmu kubwa. Mikakati tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…