MWANAHARAKATI MWEMA
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 235
- 336
WKutoshiriki uchaguzi ni kujiua kisiasa!
Uwezo wa kuzuia uchaguzi hawana!
Waasisi wao na wanamageuzi wote Tangu 1995 walilitambua hili vizuri kabisa!
WALIZUIWA NA NANI? SHERIA HAISEMI KAMA HUYO MSAJILI ALIVYOSEMA KILICHOPO NI KUWA WATU WANAJARIBU KILA NAMNA KAMA SERIKALI ITAONA HAIBU IFANYE MAREKEBISHO LAKINI HAKUNA SHERIA ILIYOWAZUIA ILA KWA KUWA WANAOSIMAMIA IZO SHERIA NI SEHEMU YA SYSTEM NA INAWEZEKANA WATU WA NDANI YA SERIKALI AMBAO WANAWAUNGA MKONO WAMEWAELEZA KUWA MAMBO NI MAGUMU NA UWEZEKANO NI MDOGO SASA PAMBANENI MUSHIRIKI UCHAGUZI LABDA MUNAWEZA KUAMBULIA CHOCHOTE, KUMBUKA WAHUSIKA WAMESHIKA MPINI CHADEMA WAMESHIKA MAKALI NDIO MAANA WANAWAFANYIA WANACHOTAKA NA HAYA MAMBO NI KUTOKANA NA WATANZANIA WENGI HAWAJITAMBUI NA HAWAJUI NI KWANINI NI MUHIMU KUONGANISHA NGUVU KUITAJI TUME HURU.NASTAAJABU SANA INAMAANA CHADEMA MEMBERS HAMFAHAMU YA KUWA VIONGOZI WENU WAMEKWENDA KUFUNGUA SHTAKA LA KUDAI KURUDI KWENYE UCHAGUZI?, AJABU SANA HII
Hujui wewe kwani polisi wakifika na wakasema wanakagua vituo na wako doria wakaingia kwenye kituo utawazuia na huku wameweka kura feki kwenye mavazi yao utazuia wewe wasiingie.Ni kweli, unashiriki kwa mikakati, kila kata unaandaa vijana walau20 watakaokuwa macho kwa namna zote kuzuia upitishaji wa kura.... Hawa vijana wanaahidiwa kitu wakifanya kazi yao kwa ufasaha.
Ni wazi polisi waliopo hawawezi kujigawa kuzuia vurugu kwa kata zote tanzania, so ushindi ni guarantee kwa sehwmu kubwa. Mikakati tu
Wakipiga magoti na kuomba wasamehewe wagombee, nami nitawaombea wasamehewe.Nimepata dondoo za chadema kufungua shauri mahakamani kuomba huruma itumike waruhusiwe kujaza form ya maadili ili washiriki uchaguzi, infact nimeshindwa kuwaelewa?
Mkazo na dhamira zao haziendani na yale wanayoyafanya kwa sasa,
Tunataraji msimamo imara toka kwenye Tume yetu ya uchaguzi juu ya suala hili, wasiruhusiwe Ile iwe funzo kwa dharau walizozionyesha kwa Tume yetu.
Dondoo amezitoa #salum mwalim, jana katika Mkutano uliokuwa umesheheni watanzania wengi waliokuwa na Furaha kwa sera safi za chama hiki.View attachment 3357845
Sisiemu wabadilike bila refa asie wao..?Chadema hawajakataa kushiriki uchaguzi bali wanataka mabadiliko yafanyike kwanza kwenye Tume,
Ila mimi naona bora washiriki huenda mwaka huu baada ya kelele hizi police na tume itabadili tabia japo ni ngumu sana maana mama ameshaona wazi hakubaliki tena huku kwa ground,wengi hawampendi maana hajawahi kumtetea mtanzania wa hali ya chini,
Tulifanya 2015 na iliwork.Hujui wewe kwani polisi wakifika na wakasema wanakagua vituo na wako doria wakaingia kwenye kituo utawazuia na huku wameweka kura feki kwenye mavazi yao utazuia wewe wasiingie.
Wameomba lini kushiriki?Nimepata dondoo za chadema kufungua shauri mahakamani kuomba huruma itumike waruhusiwe kujaza form ya maadili ili washiriki uchaguzi, infact nimeshindwa kuwaelewa?
Mkazo na dhamira zao haziendani na yale wanayoyafanya kwa sasa,
Tunataraji msimamo imara toka kwenye Tume yetu ya uchaguzi juu ya suala hili, wasiruhusiwe Ile iwe funzo kwa dharau walizozionyesha kwa Tume yetu.
Dondoo amezitoa #salum mwalim, jana katika Mkutano uliokuwa umesheheni watanzania wengi waliokuwa na Furaha kwa sera safi za chama hiki.View attachment 3357845
Kwahiyo Wameikana NRNE ???Chadema imeomba kushiriki uchaguzi no matter what, hata hoja zao zisipotekelezwa, nadhani umenielewa!
Sasa bila wazee wa ndumuz kura zitalindwaje?Hujui wewe kwani polisi wakifika na wakasema wanakagua vituo na wako doria wakaingia kwenye kituo utawazuia na huku wameweka kura feki kwenye mavazi yao utazuia wewe wasiingie.
2024 ilifanikiwaTulifanya 2015 na iliwork.
Il kura yako iwe salama,baki nayo.Nimepata dondoo za chadema kufungua shauri mahakamani kuomba huruma itumike waruhusiwe kujaza form ya maadili ili washiriki uchaguzi, infact nimeshindwa kuwaelewa?
Mkazo na dhamira zao haziendani na yale wanayoyafanya kwa sasa,
Tunataraji msimamo imara toka kwenye Tume yetu ya uchaguzi juu ya suala hili, wasiruhusiwe Ile iwe funzo kwa dharau walizozionyesha kwa Tume yetu.
Dondoo amezitoa #salum mwalim, jana katika Mkutano uliokuwa umesheheni watanzania wengi waliokuwa na Furaha kwa sera safi za chama hiki.View attachment 3357845
No reform no electionNimepata dondoo za chadema kufungua shauri mahakamani kuomba huruma itumike waruhusiwe kujaza form ya maadili ili washiriki uchaguzi, infact nimeshindwa kuwaelewa?
Mkazo na dhamira zao haziendani na yale wanayoyafanya kwa sasa,
Tunataraji msimamo imara toka kwenye Tume yetu ya uchaguzi juu ya suala hili, wasiruhusiwe Ile iwe funzo kwa dharau walizozionyesha kwa Tume yetu.
Dondoo amezitoa #salum mwalim, jana katika Mkutano uliokuwa umesheheni watanzania wengi waliokuwa na Furaha kwa sera safi za chama hiki.View attachment 3357845
Wewe ukiacha kuwa na ufahamu kuhusu tiba asili, sehemu zingine wewe ni bure kabisaNimepata dondoo za chadema kufungua shauri mahakamani kuomba huruma itumike waruhusiwe kujaza form ya maadili ili washiriki uchaguzi, infact nimeshindwa kuwaelewa?
Mkazo na dhamira zao haziendani na yale wanayoyafanya kwa sasa,
Tunataraji msimamo imara toka kwenye Tume yetu ya uchaguzi juu ya suala hili, wasiruhusiwe Ile iwe funzo kwa dharau walizozionyesha kwa Tume yetu.
Dondoo amezitoa #salum mwalim, jana katika Mkutano uliokuwa umesheheni watanzania wengi waliokuwa na Furaha kwa sera safi za chama hiki.View attachment 3357845
Stay tune, siongei sana!Wewe ukiacha kuwa na ufahamu kuhusu tiba asili, sehemu zingine wewe ni bure kabisa
Watanzania wengine ni mazuzu. Hujui kama wewe na uchawa wako unatumika kupoteza maisha ya watu. Yaani uchawa wako hapa kuna vijana wanapoteza maisha kwasababu ya ujinga na uchawa wenu. Mnapata faida gani. Fungueni macho acheni kushabikia ujinga hii nchi mtaipeleka kuwa ya familia na sio ya watanzania. Mnafikiria ni kwanini hao watawala hawataki haki, sio kwasbabu wanakujali wewe ni wanajali familia zao tu!Nimepata dondoo za chadema kufungua shauri mahakamani kuomba huruma itumike waruhusiwe kujaza form ya maadili ili washiriki uchaguzi, infact nimeshindwa kuwaelewa?