CHADEMA inaunga mkono Rasimu ya Katiba mpya - Mbowe

CHADEMA inaunga mkono Rasimu ya Katiba mpya - Mbowe

Anatapatapa kuna uzi wake upo jukwaa la katiba anasema watanzania kataeni serikali tatu, hapa Mbowe anataka serikali tatu, wewe unataka serikali ngapi?

Mbona nishasema mara kibao humu. Mi nataka serekali tatu: Serekali ya Tanganyika, serekali ya Unguja na serekali ya Pemba. Serekali tatu ndo jibu la utata wote ulipo hapa Mkuu. Nje ya hapo labda serekali moja naweza kuifikiria. Na hili ndo lilikuwa wazo la Mwanakijiji. Naamini hata chadema wanawaza hilo pia la uwezekano wa serekali moja. Lakini kwa kuwa Wazenji hawataki hilo wazo, dawa ni serekali tatu tu. Tanganyika, Unguja na Pemba. Hiyo nyingine unayoisemasema hapa mi siitaki. Huo ni mwanya wa usumbufu na utapeli kama wa awali tu hapo.
 
Habari ndiyo hiyo na leo CCM nao wanaunga mkono rasimu ya katiba basi shughuli imeisha, Mbowe ndiyo kaishaamua nani atapinga.

Nakuhakikishia Mkuu Ritz CCM watapinga muundo wa serikali tatu.
 
Last edited by a moderator:
Inamaana mbowe anakubaliana na rais kuteuwa mwenyeketi wa tume ya uchaguzi? Anakubaliana jimbo kutoa wabunge wawili? Anapingana na mwanzilishi wa chama chake kuhusu serikali tatu?

ndiyo!
 
Mbowe alitangaza kujitoa leo yamemfika kakosa pa kutokea?,hayo ndiyo madhla ya kukuruka kutoa matamko,alisema tume haina weredi lakini kazi yake kaikubari kazi kweli.
 
Mbona mnapingana na mshauri wenu wa chama Mzee Mwanakijiji.

Ritz,

Acha hizo.Kila mtu ana mawazo yake.Hata ndani ya vyama CCM na Chadema kuna watu wenye mawazo tofauti.Ni muda mrefu nilikua nikiongelea Serikali Moja ambayo ni Federal.Tugawanye Tanganyika na Zanzibar kwenye majimbo na yapewe nguvu kama ilivyo India na hata Kenya walivyofanya juzi ingawa kuna tofauti kidogo.

So kila mtu ana mtazamo wake lakini mwisho wa siku mtatoka na msimamo wa pamoja kama chama.Acha jaribio hili la upotoshaji na propaganda
 
Last edited by a moderator:
Kwa mawazo yangu srikali tatu ni kujiongezea mzigo. Napendekeza serikali 2, ya Tanganyika na ya Zanzibar...
 
Mbowe amesema jambo kubwa lililofanyiwa kazi ni kurejeshwa kwa serikali ya Tanganyika.

.
Mimi naona ni vizuri Tukawa na serikali moja, Zaidi ya hapo ni usanii ni bora tukaacha tukakutana afrika mashariki..
 
Ritz,

Acha hizo.Kila mtu ana mawazo yake.Hata ndani ya vyama CCM na Chadema kuna watu wenye mawazo tofauti.Ni muda mrefu nilikua nikiongelea Serikali Moja ambayo ni Federal.Tugawanye Tanganyika na Zanzibar kwenye majimbo na yapewe nguvu kama ilivyo India na hata Kenya walivyofanya juzi ingawa kuna tofauti kidogo.

So kila mtu ana mtazamo wake lakini mwisho wa siku mtatoka na msimamo wa pamoja kama chama.Acha jaribio hili la upotoshaji na propaganda
Mkuu Ben serikali tatu ndio mwanzo wa majimbo. Nakuapia CCM hawatoweza kukwepa sera ya CDM ya kuigawanya hii nchi kwenye majimbo yetu macho Mkuu
 
Mbowe ameongea point .. pro cdm okoteni hayo maneno ..
 
Kwa mawazo yangu srikali tatu ni kujiongezea mzigo. Napendekeza serikali 2, ya Tanganyika na ya Zanzibar...
Hata mimi hapo ndio napataka na kila serikali zijitegemee tukutane kwenye East Africa tu kama ilivyo kenya na Uganda
 
Baada ya kuchoka na ulalamishi wa znz usiokwisha imebainika njia pekee ya kuwakimbia na kuzinusulu fedha nyingi zinazotumika kuwahudumia ni kuleta serikari tatu ambapo itasaidia znz kujitenga na kuwa koloni la waarabu na kuhamishia ulalamishi wao huko .na hapo tz bara itakuwa tajiri kwani haitakuwa na mzigo tena uchumi utakuwa kwa kasi raia wote wa znz watakuwa raia wa kigeni watalipia viza umeme na chakula toka bara vitapanda bei .cha msingi ni rais ahamie dodoma na bandari za tanga lindi na mtwara zipanuliwe meli zishushe mizigo huko kuondoa msongamano dsm na foleni isiyokwisha
 
Siungi mkono serikali tatu,nchi moja serikali moja ndiyo mpango sahihi zaidi.
 
Kwa mawazo yangu srikali tatu ni kujiongezea mzigo. Napendekeza serikali 2, ya Tanganyika na ya Zanzibar...
Si mzigo isipokuwa ndio njia rahisi ya kujivua zigo la kuihudumia zenji na kuepukana na ulalamishi usiokwisha
 
Siungi mkono serikali tatu,nchi moja serikali moja ndiyo mpango sahihi zaidi.

Wana akili yao kumbuka kule URUSI SERIKARI TATU ZILIVUNJA MUUNGANO kuna ajenda ya siri kuwa mpole
 
Si mzigo isipokuwa ndio njia rahisi ya kujivua zigo la kuihudumia zenji na kuepukana na ulalamishi usiokwisha

Mi nadhani tuachane nao jumla. Maana kuna mambo ya muungano yatakayokuwa yanajirudia kwenye serikali washirika, yakilazimu gharama za ziada wakati hayazalishi...
 
Hakuna mtu hata mmoja wa chadema mwenye hoja ya kuipinga rasimu hii zingine kelele tu.
 
Chadema hawajitambui, wanababaika tu. Juzi walitangaza kuigomea na kujitoa kwenye mchakato leo wanatangaza kuiunga mkono. Hawafai
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Chadema wamshukuru sana baregu, kawafichia aibu alipong'ang'ana kukataa kujitoa ktk tume ya katiba
 
Ritz,

Acha hizo.Kila mtu ana mawazo yake.Hata ndani ya vyama CCM na Chadema kuna watu wenye mawazo tofauti.Ni muda mrefu nilikua nikiongelea Serikali Moja ambayo ni Federal.Tugawanye Tanganyika na Zanzibar kwenye majimbo na yapewe nguvu kama ilivyo India na hata Kenya walivyofanya juzi ingawa kuna tofauti kidogo.

So kila mtu ana mtazamo wake lakini mwisho wa siku mtatoka na msimamo wa pamoja kama chama.Acha jaribio hili la upotoshaji na propaganda

hamjielewi kama chama nyie, mbona juzi mmetangaza kugoma, kuandamana na kujitoa kwenye mchakato? Leo mmekula matapishi yenu bila aibu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom