King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Safi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naona ni vizuri Tukawa na serikali moja, Zaidi ya hapo ni usanii ni bora tukaacha tukakutana afrika mashariki..
Siungi mkono serikali tatu,nchi moja serikali moja ndiyo mpango sahihi zaidi.
Ritz,
Acha hizo.Kila mtu ana mawazo yake.Hata ndani ya vyama CCM na Chadema kuna watu wenye mawazo tofauti.Ni muda mrefu nilikua nikiongelea Serikali Moja ambayo ni Federal.Tugawanye Tanganyika na Zanzibar kwenye majimbo na yapewe nguvu kama ilivyo India na hata Kenya walivyofanya juzi ingawa kuna tofauti kidogo.
So kila mtu ana mtazamo wake lakini mwisho wa siku mtatoka na msimamo wa pamoja kama chama.Acha jaribio hili la upotoshaji na propaganda
Habari ndiyo hiyo na leo CCM nao wanaunga mkono rasimu ya katiba basi shughuli imeisha, Mbowe ndiyo kaishaamua nani atapinga.
Serikali moja hoja zipo tena zenye mantiki ktk Muungano ila sasa hizo hoja Wazenji wanaweza kukubali...?kwani ni lazima kila mtu aunge mkono Serikali tatu? Inawezekana wale wanaodai serikali moja wana hoja zaidi kuliko wanaodai serikali tatu. KUtofautiana huku haina maana wenye kudai serikali tatu basi wanaitakia Tanzania mema zaidi kuliko wanaotaka serikali moja.
Mbona mnapingana na mshauri wenu wa chama Mzee Mwanakijiji.
CDM huwa wananifurahisha yaani wamekuwa watumwa wa kifikira kuwa atakachosema Mbowe, Silaa na Lema basi hakuna wa kukipinga yaani wamenyimwa ufahamu kabisa wa kufikiri na kuchambua. Nafikiri hata wakiambiwa hata wakiambiwa watembee kinyumenyume watatembea ili iradi kauli hii iwe imetoka kwa waziri wa mambo ya ndani Lema, Mwenyekiti Mbowe na Katibu Slaa a.k.a Mzee wa onyo.