Zanzibar 2020 CHADEMA inawaona Wazanzibar ni wajinga?

Zanzibar 2020 CHADEMA inawaona Wazanzibar ni wajinga?

Piga spana kwa Wasaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert [emoji28][emoji28]
Inamaana mkipiga porojo kama hivi mmeshaingiza buku saba kwa siku...kweli nimeamini pesa haina thamani
Mgombea urais wa Chadema kwa ngazi ya urais JMT alienda Zanzibar akafanya mkutano,na katika mkutano alioufanya aliongea mambo mengi,ikiwemo kutaka kuwe na muungano wa serikali tatu. Lakini alienda mbele na kutoa kauli za kuonyesha hatambui kitu kinachoitwa Tanzania bara,bali anatambua uwepo wa Tanganyika.Na ndio maana alikazia maneno kuwa Tanganyika inaikalia kimabavu Zanzibar.

Mbali ya hayo alimalizia kwa kusema yeye anamuunga mkono mgombea wa Act wazalendo. Jambo la kushangaza ni kuwa Chadema wameweka mgombea Zanzibar.

Je kama mgombea urais wa Chadema anamuunga mkono maalim Seif,je ni kwa nini waweke mgombea Zanzibar? Je huku sio kuwadharau wazanzibar na kuwaona wajinga? Kwa nini Chadema wasingeacha kuweka mgombea kama wanamuunga mkono maalim Seif.

Je hizo kampeni wanaenda kufanya za nini huko Zanzibar kama wanamuunga mkono maalim Seif?
 
Lini wametamka? Maana hiyo ndoa ya mkeka ilikuwa ifungwe jana.
Itafungwa tu walishakubaliana na hata akina zito walishatangaza kwa hiyo kushirikiana kupo huwezi kuzuia watu kwenye sanduku la kura.
 
Tembelea tovuti ya NEC utakuta majina ya wagombea wote 16 wa urais JMT!
Jibu swali ni nani huyo mgombea? Maana Mrema alisema kwa ngazi ya urais haweki mtu maana JPM amefanya kazi ya maana.
 
..Hawajaweka.

..Lakini nimekueleza kwanini Cdm waliweka mgombea Znz na kwanini sasa hivi wameamua kumuunga mkono Maalim Seif.
Kama mnaweka mgombea Zanzibar alafu mnamuunga mkono maalim Seif huyo mgombea wenu wa nini? Mnawafanya watanzania visiwani wajinga?
 
..Pia huku Tanganyika kulikuwa na uwezekano wa Tundu Lissu au Bernard Membe kuenguliwa na tume.
Kama ingetokea Membe akawa na support kubwa kiasi huku bara, nina uhakika ACT wasingebow down na wangekomaa mpaka mwisho.

Kwanza hadi leo Zitto na Membe wake bado wana kigugumizi na hawajawahi kuikanusha ile tweet ya Membe
 
Subiri Oct 28 wazanzibar watakuonesha kama CHADEMA inawadharau wazanzibar au haiwadharau. 2015 walimuonesha Magufuli hatakiwi Zanzibar kwa kumpa kura nyingi Lowasa kuliko Magufuli
 
TLP ina mgombea urais wa JMT!

Vitu vingine rahisi sana.
Bwashee mbona unajiabisha?
Screenshot_20201004-144038.png
 
Mnawaona Watanzania Zanzibar wajinga? Chama kinaweka mgombea,alafu mgombea wenu anamuunga mkono maalim Seif.

Nadhani wewe ulikuwa ni mfaidika wa kugawa kura za Zanzibar. Sasa unaona hilo haliwezekani.

Walichofanya hakiwezi kutokea kwa CCM kwa sababu ina wapiga kura wengi. Ungekuwa upande wa pili ungetambua kuwa ACT ina nguvu sana visiwani na sio CHADEMA wala vyama vingine vidogo vidogo.

Hilo swala la kuwaona wajinga siwezi kulijibia kwa sababu sio hata maneno yaliyonukuriwa. Ni mtazamo wako. Sasa unataka mtazamo wako utolewe maelezo na mtu mwingine? Umekwama wapi mkuu??
 
Kama ingetokea Membe akawa na support kubwa kiasi huku bara, nina uhakika ACT wasingebow down na wangekomaa mpaka mwisho.

Kwanza hadi leo Zitto na Membe wake bado wana kigugumizi na hawajawahi kuikanusha ile tweet ya Membe

..hali halisi ya kampeni imewalazimisha kuunganisha nguvu zao.
 
..Hawajaweka.

..Lakini nimekueleza kwanini Cdm waliweka mgombea Znz na kwanini sasa hivi wameamua kumuunga mkono Maalim Seif.
Hajui kuwa Chama kimeshatangaza mgombea wao ajitoe muda si mrefu kilaza wa lumumba huyu
 
Nadhani wewe ulikuwa ni mfaidika wa kugawa kura za Zanzibar. Sasa unaona hilo haliwezekani.

Walichofanya hakiwezi kutokea kwa CCM kwa sababu ina wapiga kura wengi. Ungekuwa upande wa pili ungetambua kuwa ACT ina nguvu sana visiwani na sio CHADEMA wala vyama vingine vidogo vidogo.

Hilo swala la kuwaona wajinga siwezi kulijibia kwa sababu sio hata maneno yaliyonukuriwa. Ni mtazamo wako. Sasa unataka mtazamo wako utolewe maelezo na mtu mwingine? Umekwama wapi mkuu??
Dharau ni kuweka mgomea huku mgombea wenu hamuungi mkono. Dharau kubwa sana.
 
Back
Top Bottom