MrFroasty
JF-Expert Member
- Jun 23, 2009
- 1,195
- 595
Watanzania Zanzibar ? Kuna shida gani ya kusema wazanzibari ?Mnawaona Watanzania Zanzibar wajinga? Chama kinaweka mgombea,alafu mgombea wenu anamuunga mkono maalim Seif.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania Zanzibar ? Kuna shida gani ya kusema wazanzibari ?Mnawaona Watanzania Zanzibar wajinga? Chama kinaweka mgombea,alafu mgombea wenu anamuunga mkono maalim Seif.
Unakusudia katiba ya Tanganyika iyo.Katiba ya JMT ndio inatambua hivyo.
..kulikuwa na uwezekano wa Tume kutokumteua Maalim Seif kugombea Uraisi wa Znz.
..sasa maadam jina la Maalim Seif liko ktk ballot, basi Chadema hawana haja ya kuendelea kusimamisha mgombea wa Uraisi wa Znz.
..Pia huku Tanganyika kulikuwa na uwezekano wa Tundu Lissu au Bernard Membe kuenguliwa na tume.
..Sasa kwasababu wote wapo ktk ballot paper, na imebainika kwamba Lissu anaungwa mkono zaidi, basi hakuna haja ya vyama vya ACT na Chadema kugawana kura ktk nafasi ya Uraisi wa muungano.
Kulikuwa na kila dalili kuwa maalim angeenguliwa sasa kama ingetokea mgombea wa cdm angeungwa mkono na vyama hivyo pia bara ilitarajiwa lisu angeenguliwa badala yake angekuwa membeMgombea urais wa Chadema kwa ngazi ya urais JMT alienda Zanzibar akafanya mkutano,na katika mkutano alioufanya aliongea mambo mengi,ikiwemo kutaka kuwe na muungano wa Serikali tatu. Lakini alienda mbele na kutoa kauli za kuonyesha hatambui kitu kinachoitwa Tanzania bara, bali anatambua uwepo wa Tanganyika.Na ndio maana alikazia maneno kuwa Tanganyika inaikalia kimabavu Zanzibar.
Mbali ya hayo alimalizia kwa kusema yeye anamuunga mkono mgombea wa Act wazalendo. Jambo la kushangaza ni kuwa CHADEMA wameweka mgombea Zanzibar.
Je, kama mgombea urais wa CHADEMA anamuunga mkono maalim Seif, je ni kwa nini waweke mgombea Zanzibar? Je huku sio kuwadharau wazanzibar na kuwaona wajinga? Kwanini CHADEMA wasingeacha kuweka mgombea kama wanamuunga mkono Maalim Seif.
Je, hizo kampeni wanaenda kufanya za nini huko Zanzibar kama wanamuunga mkono maalim Seif?
Mataga mtataga mwaka huu. Inzi wa kijani nyieMgombea urais wa Chadema kwa ngazi ya urais JMT alienda Zanzibar akafanya mkutano,na katika mkutano alioufanya aliongea mambo mengi,ikiwemo kutaka kuwe na muungano wa Serikali tatu. Lakini alienda mbele na kutoa kauli za kuonyesha hatambui kitu kinachoitwa Tanzania bara, bali anatambua uwepo wa Tanganyika.Na ndio maana alikazia maneno kuwa Tanganyika inaikalia kimabavu Zanzibar.
Mbali ya hayo alimalizia kwa kusema yeye anamuunga mkono mgombea wa Act wazalendo. Jambo la kushangaza ni kuwa CHADEMA wameweka mgombea Zanzibar.
Je, kama mgombea urais wa CHADEMA anamuunga mkono maalim Seif, je ni kwa nini waweke mgombea Zanzibar? Je huku sio kuwadharau wazanzibar na kuwaona wajinga? Kwanini CHADEMA wasingeacha kuweka mgombea kama wanamuunga mkono Maalim Seif.
Je, hizo kampeni wanaenda kufanya za nini huko Zanzibar kama wanamuunga mkono maalim Seif?
WAMETOA Fursa ya goli la mkonoMbali ya hayo alimalizia kwa kusema yeye anamuunga mkono mgombea wa Act wazalendo. Jambo la kushangaza ni kuwa CHADEMA wameweka mgombea Zanzibar
Wazanzibar siyo wajinga na Wala chadema siyo wajinga wewe Ndiyo MJINGA . Kilichofanyika ni kukwepa mishale ya tume ya ccm yaani NEC na ZEC. Hii kitaalamu inaitwa hiden coalition.Mgombea urais wa Chadema kwa ngazi ya urais JMT alienda Zanzibar akafanya mkutano,na katika mkutano alioufanya aliongea mambo mengi,ikiwemo kutaka kuwe na muungano wa Serikali tatu. Lakini alienda mbele na kutoa kauli za kuonyesha hatambui kitu kinachoitwa Tanzania bara, bali anatambua uwepo wa Tanganyika.Na ndio maana alikazia maneno kuwa Tanganyika inaikalia kimabavu Zanzibar.
Mbali ya hayo alimalizia kwa kusema yeye anamuunga mkono mgombea wa Act wazalendo. Jambo la kushangaza ni kuwa CHADEMA wameweka mgombea Zanzibar.
Je, kama mgombea urais wa CHADEMA anamuunga mkono maalim Seif, je ni kwa nini waweke mgombea Zanzibar? Je huku sio kuwadharau wazanzibar na kuwaona wajinga? Kwanini CHADEMA wasingeacha kuweka mgombea kama wanamuunga mkono Maalim Seif.
Je, hizo kampeni wanaenda kufanya za nini huko Zanzibar kama wanamuunga mkono maalim Seif?
Katiba ya Tanganyika na nembo vilibadilishwa tuu na kuitwa Tanzania. Hakuna kitu kama icho, ndio ukweli. Unauma but thats exactly what happened.Kaa kimya.
Fala tuu uyo, kapewa buku 5 za ugali na mrinda basi anadhani atababaisha watu.Wazanzibar siyo wajinga na Wala chadema siyo wajinga wewe Ndiyo MJINGA . Kilichofanyika ni kukwepa mishale ya tume ya ccm yaani NEC na ZEC. Hii kitaalamu inaitwa hiden coalition.
Kama ccm inavyowaona wazanzibar wajinga kwa kuwapelekea mgombea akitokea dodoma:Mgombea urais wa Chadema kwa ngazi ya urais JMT alienda Zanzibar akafanya mkutano,na katika mkutano alioufanya aliongea mambo mengi,ikiwemo kutaka kuwe na muungano wa Serikali tatu. Lakini alienda mbele na kutoa kauli za kuonyesha hatambui kitu kinachoitwa Tanzania bara, bali anatambua uwepo wa Tanganyika.Na ndio maana alikazia maneno kuwa Tanganyika inaikalia kimabavu Zanzibar.
Mbali ya hayo alimalizia kwa kusema yeye anamuunga mkono mgombea wa Act wazalendo. Jambo la kushangaza ni kuwa CHADEMA wameweka mgombea Zanzibar.
Je, kama mgombea urais wa CHADEMA anamuunga mkono maalim Seif, je ni kwa nini waweke mgombea Zanzibar? Je huku sio kuwadharau wazanzibar na kuwaona wajinga? Kwanini CHADEMA wasingeacha kuweka mgombea kama wanamuunga mkono Maalim Seif.
Je, hizo kampeni wanaenda kufanya za nini huko Zanzibar kama wanamuunga mkono maalim Seif?
Wewe nae utakuta hata la saba hujamaliza. Ila smartphone ndio inakupa kiburi cha kuchangia humu Jf. Kwani mchakato wa kumpata mgombea wa Ccm Zanzibar hauufahahamu?Kama ccm inavyowaona wazanzibar wajinga kwa kuwapelekea mgombea akitokea dodoma:
KimaWewe nae utakuta hata la saba hujamaliza. Ila smartphone ndio inakupa kiburi cha kuchangia humu Jf. Kwani mchakato wa kumpata mgombea wa Ccm Zanzibar hauufahahamu?
Katiba ya Tanganyika? Ipi hiyo?Katiba ya Tanganyika na nembo vilibadilishwa tuu na kuitwa Tanzania. Hakuna kitu kama icho, ndio ukweli. Unauma but thats exactly what happened.
Leo Magufuli anasema mapato ya mafuta atawapa wenyewe wazanzibari. Kwani yaliingiwazaje katika masuala ya muungano ? Labda angetupatia historia kidogo ya mchakato wa kuyaingiza kwenye katiba ya Tanganyika.
Nathubutu kuita huu ni wizi tena wa mchana.
Kama unaona ya kwamba wazanzibari wamedharauliwa na kuonekana wajinga, je unazungumziaje kwa wa TZ wote kwa ujumla kutokana na ACT - Wazalendo kumuunga mkono Lissu (chadema) katika nafasi ya uraisi wa JMT hali ya kuwa wamesimamisha mgombea wao?Mgombea urais wa Chadema kwa ngazi ya urais JMT alienda Zanzibar akafanya mkutano,na katika mkutano alioufanya aliongea mambo mengi,ikiwemo kutaka kuwe na muungano wa Serikali tatu. Lakini alienda mbele na kutoa kauli za kuonyesha hatambui kitu kinachoitwa Tanzania bara, bali anatambua uwepo wa Tanganyika.Na ndio maana alikazia maneno kuwa Tanganyika inaikalia kimabavu Zanzibar.