Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Hii ni porojo!Kwa taarifa yako ni kwamba ninavyoandika hapa chadema hawana mgombea urais Zanzibar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ndo maamuzi ya chadema???? Jinga kweli we jamaaKuwa mgombea wa Zanzibar kupitia Chadema ni boya tu,ndio maana mnawahadaa watanzania Zanzibar.
Hapa hakuna makubaliano kama ya ukawa 2015. Ccm imeshinda inasubiri kutangazwa tu.Mgombea wa chadema Zanzibar akijitoa itakuwa safi sana, ili ule utaratibu wa ccm kuiba kura kwa % utakuwa umekwama.
Ajitoe mapema, ili pia tume ya uchaguzi wamtoe na kwenye ballot paper kabisa.
..Mrema alisema chama cha TLP kinamuunga mkono Jpm ktk nafasi ya Uraisi wa muungano.
..tena alitangaza msimamo huo ktk mkutano mkuu wa ccm na Shisty Nahodha alikuwa pembeni ya Mzee Mrema wakati akitoa tamko hilo.
Lakin Tlp hawajaweka mgombea urais wa JMT. Mgombea wao ni JPM.
Mijizi inalazimisha ushindi. Tutaiua mi ccm yote mwaka huuHapa hakuna makubaliano kama ya ukawa 2015. Ccm imeshinda inasubiri kutangazwa tu.
lissu atapata kura tatu...ya kwake,mke wake na Robati wa AmstPiga spana kwa Wasaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert [emoji28][emoji28]
Mgombea urais wa Chadema kwa ngazi ya urais JMT alienda Zanzibar akafanya mkutano,na katika mkutano alioufanya aliongea mambo mengi,ikiwemo kutaka kuwe na muungano wa Serikali tatu. Lakini alienda mbele na kutoa kauli za kuonyesha hatambui kitu kinachoitwa Tanzania bara, bali anatambua uwepo wa Tanganyika.Na ndio maana alikazia maneno kuwa Tanganyika inaikalia kimabavu Zanzibar.
Mbali ya hayo alimalizia kwa kusema yeye anamuunga mkono mgombea wa Act wazalendo. Jambo la kushangaza ni kuwa CHADEMA wameweka mgombea Zanzibar.
Je, kama mgombea urais wa CHADEMA anamuunga mkono maalim Seif, je ni kwa nini waweke mgombea Zanzibar? Je huku sio kuwadharau wazanzibar na kuwaona wajinga? Kwanini CHADEMA wasingeacha kuweka mgombea kama wanamuunga mkono Maalim Seif.
Je, hizo kampeni wanaenda kufanya za nini huko Zanzibar kama wanamuunga mkono maalim Seif?