Zanzibar 2020 CHADEMA inawaona Wazanzibar ni wajinga?


Asiekuelewa hapo tumuombee kwa mungu
 
Kulikuwa na kila dalili kuwa maalim angeenguliwa sasa kama ingetokea mgombea wa cdm angeungwa mkono na vyama hivyo pia bara ilitarajiwa lisu angeenguliwa badala yake angekuwa membe
Sasa kwa kuwa wote wamepita hakuna jinsi ushirikiano usiovunja kanuni unatumika
 
Hiki chama hakina kabisa wazalendo wa kuunda serikali .
 
Mataga mtataga mwaka huu. Inzi wa kijani nyie
 
Mbali ya hayo alimalizia kwa kusema yeye anamuunga mkono mgombea wa Act wazalendo. Jambo la kushangaza ni kuwa CHADEMA wameweka mgombea Zanzibar
WAMETOA Fursa ya goli la mkono
 
Wazanzibar siyo wajinga na Wala chadema siyo wajinga wewe Ndiyo MJINGA . Kilichofanyika ni kukwepa mishale ya tume ya ccm yaani NEC na ZEC. Hii kitaalamu inaitwa hiden coalition.
 
Kaa kimya.
Katiba ya Tanganyika na nembo vilibadilishwa tuu na kuitwa Tanzania. Hakuna kitu kama icho, ndio ukweli. Unauma but thats exactly what happened.

Leo Magufuli anasema mapato ya mafuta atawapa wenyewe wazanzibari. Kwani yaliingiwazaje katika masuala ya muungano ? Labda angetupatia historia kidogo ya mchakato wa kuyaingiza kwenye katiba ya Tanganyika.

Nathubutu kuita huu ni wizi tena wa mchana.
 
Wazanzibar siyo wajinga na Wala chadema siyo wajinga wewe Ndiyo MJINGA . Kilichofanyika ni kukwepa mishale ya tume ya ccm yaani NEC na ZEC. Hii kitaalamu inaitwa hiden coalition.
Fala tuu uyo, kapewa buku 5 za ugali na mrinda basi anadhani atababaisha watu.
 
Kama ccm inavyowaona wazanzibar wajinga kwa kuwapelekea mgombea akitokea dodoma:
 
Kama ccm inavyowaona wazanzibar wajinga kwa kuwapelekea mgombea akitokea dodoma:
Wewe nae utakuta hata la saba hujamaliza. Ila smartphone ndio inakupa kiburi cha kuchangia humu Jf. Kwani mchakato wa kumpata mgombea wa Ccm Zanzibar hauufahahamu?
 
Katiba ya Tanganyika? Ipi hiyo?
 
Kama unaona ya kwamba wazanzibari wamedharauliwa na kuonekana wajinga, je unazungumziaje kwa wa TZ wote kwa ujumla kutokana na ACT - Wazalendo kumuunga mkono Lissu (chadema) katika nafasi ya uraisi wa JMT hali ya kuwa wamesimamisha mgombea wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…