johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kiukweli CHADEMA kwa utaratibu wao mpya wa mfumo wa ada za uanachama wanaweza kufanya vizuri zaidi hata kama hawatapata ruzuku ya Serikali.
Kama wanachama milioni mbili wa CHADEMA watalipa tsh 2500 ambayo ni ada ya chini kabisa basi chama kitaingiza Tsh 5 bilioni kwa mwaka.
Hapo hujatuingiza sisi Platnum wa tsh 100,000 na wale wanene wengine wa Tsh 200,000
Hongereni CHADEMA kwa ubunifu.
Peoples........power!
Kazi Iendelee.