CHADEMA inaweza kufanya vizuri bila ruzuku kwa sababu ada za Wanyonge (2500/=) zitawaingizia zaidi ya Tsh 5 Bilioni kwa mwaka

CHADEMA inaweza kufanya vizuri bila ruzuku kwa sababu ada za Wanyonge (2500/=) zitawaingizia zaidi ya Tsh 5 Bilioni kwa mwaka

Linasokoro kwinyo na roho yake mbaya, si ndio hili kenge linaota ruzuku, linajiongeresha kuwa chadema tunachukua ruzuku silipendi Mjaa laana hilo natamani ligongwe na gari lifie polini. LiCCM laana.
Unateseka sana!
 
Kabla walikuwa wakipata Sh 450 million kila mwezi sawa na Sh 5.4 billion kwa mwaka. Hapo hujajumulisha makato ya Sh 1.5 million kila mwezi kutoka kwa wabunge wao 75 na michango ya mamillion ya USD toka kwa ndugu zao wa Ubeligiji na Ujerumani. Lakini kazi ilishindwa kuendelea! Watu walikihama chama na ilipofika 2020 chama kiliangukia pua na kupoteza fahamu.
Nimekuelewa bwashee!
 
Kiukweli CHADEMA kwa utaratibu wao mpya wa mfumo wa ada za uanachama wanaweza kufanya vizuri zaidi hata kama hawatapata ruzuku ya Serikali.

Kama wanachama milioni mbili wa CHADEMA watalipa tsh 2500 ambayo ni ada ya chini kabisa basi chama kitaingiza Tsh 5 bilioni kwa mwaka.

Hapo hujatuingiza sisi Platnum wa tsh 100,000 na wale wanene wengine wa Tsh 200,000

Hongereni CHADEMA kwa ubunifu.

Peoples........power!

Kazi Iendelee.
Tunakusoma Yohana Mbatizaji.
 
Wewe unadhani kampeni za 2020 timu mbili ya Tundu Lisu na Salumu Mwalimu walikuwa wanakula mawe?

CAG kapita na hakuona tatizo lolote!
So hela yote iliisha kwenye kampeni za uchaguzi wa 2020? Kucheza na data ili kuwadanganya wakaguzi ni jambo rahisi sana, especially kwa ofisi yetu ya ukaguzi ambayo ina tatizo kubwa la manpower
 
Huwa najiuliza hili swali sipati jibu, hivi zile mil 300 na michango ya wabunge kila mwezi zilikuwa zinaenda wapi? Leo hii washindwe hata kulipa mishahara? Ukiongeza kipindi cha miaka 5 iliyopita matumizi yalikuwa madogo sana, mikutano ya hadhara haikuwepo (ambayo inaweza kuwa kisingizio cha matumizi ya hela), chaguzi nyingi hawakushiriki (ikiwepo serikali za mitaa na za marudio) na hata hela za uchaguzi mkuu walioshiriki Lissu alikuwa anachangisha kwa njia mbalimbali, waliogombea ubunge pia hawakupelekewa hela kutoka makao makuu. Hizo hela zote zimeenda wapi?
Kwa hiyo kwa akili zako finyu mikutano ya ndani ilifanyikaje? na hizo gharama za kuendesha kesi nyingi za kubambika kwa wanachama wao ziliendeshwaje na mawakili wao walifanyaje kazi zao?

Tunajua ulikuwa mkakati wa jiwe kuwadhoofisha lakini inshallah Mungu kawatendea haki wale wote waliopanga hiyo mipango miovu. Leo hii jiwe yupo wapi?
 
Kabla walikuwa wakipata Sh 450 million kila mwezi sawa na Sh 5.4 billion kwa mwaka. Hapo hujajumulisha makato ya Sh 1.5 million kila mwezi kutoka kwa wabunge wao 75 na michango ya mamillion ya USD toka kwa ndugu zao wa Ubeligiji na Ujerumani. Lakini kazi ilishindwa kuendelea! Watu walikihama chama na ilipofika 2020 chama kiliangukia pua na kupoteza fahamu.
Unaongelea huo uchafuzi wa jiwe akiwatumia watendaji wa tume? we kweli kichwa tupu
 
So hela yote iliisha kwenye kampeni za uchaguzi wa 2020? Kucheza na data ili kuwadanganya wakaguzi ni jambo rahisi sana, especially kwa ofisi yetu ya ukaguzi ambayo ina tatizo kubwa la manpower
Hela lazima iishe Chadema siyo chama cha wapare au wakinga!
 
Umesahau michango waliyokuwa wanapitisha kwa ajili ya hizo kesi+dhamana? Akina mdee na huyo Mbowe si walichangiwa ili watoke Segerea? Endelea kuamini kila uletewalo kama jinga flani
 
Kiukweli CHADEMA kwa utaratibu wao mpya wa mfumo wa ada za uanachama wanaweza kufanya vizuri zaidi hata kama hawatapata ruzuku ya Serikali.

Kama wanachama milioni mbili wa CHADEMA watalipa tsh 2500 ambayo ni ada ya chini kabisa basi chama kitaingiza Tsh 5 bilioni kwa mwaka.

Hapo hujatuingiza sisi Platnum wa tsh 100,000 na wale wanene wengine wa Tsh 200,000

Hongereni CHADEMA kwa ubunifu.

Peoples........power!

Kazi Iendelee.

Kiukweli CHADEMA kwa utaratibu wao mpya wa mfumo wa ada za uanachama wanaweza kufanya vizuri zaidi hata kama hawatapata ruzuku ya Serikali.

Kama wanachama milioni mbili wa CHADEMA watalipa tsh 2500 ambayo ni ada ya chini kabisa basi chama kitaingiza Tsh 5 bilioni kwa mwaka.

Hapo hujatuingiza sisi Platnum wa tsh 100,000 na wale wanene wengine wa Tsh 200,000

Hongereni CHADEMA kwa ubunifu.

Peoples........power!

Kazi Iendelee.

Agenda ya Viwanda ilikuwa kwa ajili ya Tanzania pekeyake.? Angalia Lesotho ilivyoteka soko la Ulaya.​

Lesotho’s textiles, apparel and footwear manufacturing industry​

09 Apr 2017
Source: Lesotho Ministry of Trade & IndustryVisit website

Lesotho’s textiles, apparel and footwear manufacturing industry

Photo credit: John Hogg | World Bank

Africa’s inspired apparel sourcing hotspot

Employment, wages & working conditions
The combined, textile, apparel and footwear manufacturing industry remains Lesotho’s largest formal private sector employer – employing around 46 500 workers. Its current employment is below its early-2003 peak of about 54 000 workers. The industry suffered large declines in employment in the period after the phase-out of the Multi-Fibre Arrangement (MFA); and, in the aftermath the 2008 global financial crisis. As with other garment industries about 82% of all industry jobs are occupied by women.
The contribution of the industry to Lesotho’s economy goes beyond the sector itself – there are important employment and economic multipliers. A range of formal/informal sector activities occur that feed into/off the industry, e.g. a small packaging industry, road freight transporters, courier services, clearing agents, security, passenger transport, traders that sell food to workers, residential accommodation, water, electrical and telecommunication utilities, etc.
The wages earned by employees engaged in Lesotho’s textiles, apparel and footwear industry are of vital importance to Lesotho’s economy. It is estimated that sector production workers alone could collectively earn basic wages of about US$50m per annum – incomes would be higher taking into account that some firms pay wages above the minimums (e.g. to workers with special skills; and, for over-time payments).
With effect from April 2016 skilled garment workers are paid a monthly minimum wage of about US$94, and an unskilled worker’s monthly minimum wage would be approximately US$86.
Lesotho’s labour laws enshrine all aspects of the ILO’s core conventions (no child or forced labour; non-discrimination; freedom of association), regulate maximum working hours (45 normal & 11 hours overtime per week); and guarantee minimum paid leave.
While the application of Lesotho’s labour laws is regulated by the inspectorate of the Lesotho Ministry of Employment & Labour, many retailers/brands (including Levi Strauss, The Children’s Place, the Gap, etc) that source garments from Lesotho also monitor factory conditions in their Lesotho vendors. Recently (in 2016) a donor driven ILO programme “Betterwork Lesotho” wrapped-up an eight year programme involving factory compliance with the local and global standards. Currently six Lesotho factories (all US exporters) have Worldwide Responsible Apparel Production accreditation.

Sub sectoral value chain producers – firms, jobs & production volumes
FirmsJobsApproximate Units of Basic Garments Produced Per Annum
Textile11 220Yarn - 18 000t
Fabric – 15.6m linear meters
Denim (woven bottoms)913 12423 304 000
Non–denim Woven Fashion41 5806 360 000
Industrial Workwear64 69611 003 800
Knit Garments3324 513115 143 600
Footwear21 2537 200 000 pairs
Supporting Industry11218-
TOTAL6646 604155 811 400
(typical clothing units)
7 200 000
(pairs of typical shoes)

Source: Lesotho’s textiles, apparel and footwear manufacturing industry (2017)

Textile manufacturing in Lesotho
Lesotho has a single vertically integrated spin-yarn dye-weave textile mill that specialises in the manufacture of denim fabrics. Formosa Textiles (headquartered in Taipei; established in 2004; current employment about 1 200 people) sources cotton lint (in 2015 105 000 bales) from a range of Southern African countries including: Zimbabwe, Zambia, South Africa, Mozambique and Malawi. It uses this cotton to make about 700t of open end (OE) yarns per month (typical counts 6-12Ne), and 800t per month of ring spun (RS) yarns (generally 40% combed; 60% carded; with an average count of 25Ne (it does make blended yarns).
100% of the OE yarns are utilised in-house to make denim fabrics; 30% of the RS yarns are used in-house and 70% are sold in South Africa (mainly), Swaziland and Mauritius. Much of the fabric (typically the plant makes about 1.3m yards per month; 40% are 8-10oz fabrics; 60% are 13oz fabrics) is used by the parent company’s related jeans manufacturing operations that are located in Maseru. Limited quantities of fabrics are sold in the Southern Africa marketplace. Formosa has the space to install additional spinning equipment and looms.

Denim jeans manufacturing in Lesotho
Lesotho’s jeans manufacturers make approximately 23.3m pairs of typical (average styled) jeans a year (9 firms employing about 13 100 workers).
The industry is dominated by the Nien Hsing corporation’s three garment plants. The Nien Hsing group also owns Formosa Textiles which makes denim textiles in Lesotho. These garment plants export >98% of their production to North America – mainly to the United States, but limited volumes also enter Canada. The plants make jeans for well-known brands such as: Levis Strauss, the VF Corporation (Lee and Wrangler); and, The Children’s Place – two of the plants are accredited Gap Inc. suppliers.
The remaining jeans manufacturers concentrate on supplying the South African market place. The largest of these is the CGM group (comprising two manufacturing units). For four of these South African orientated plants wet finishing is not undertaken in Lesotho due to the fact that there are no publicly accessible effluent treatment plants that can reprocess denim water wastes. From time to time some of these plants also make limited volumes of cargo pants, chinos and industrial workwear.
Most of the jeans orders are managed via the brands/retailers themselves.

Woven garments manufacturing in Lesotho (non-denim; non-workwear)
There are four Lesotho garment plants which specialise in making woven garments – that do not fall into the categories of denims or workwear. One firm makes higher end garments destined for two of South Africa’s premium apparel retailers; another two only make shirts typically worn by school students in Southern Africa. The owners of all of these plants, all headquartered in South Africa, collectively make approximately 6.3m clothing units per annum; and they employ about 1 580 workers.
It must be noted that a number of Lesotho’s traditional knit garment manufacturers occasionally make limited amounts of woven workwear (e.g. Shinning Century, CMT Trading, Leo Garments). Long River has the ability to make knit garments too.

Knit garments manufacturing in Lesotho
The Lesotho knit garment industry is the largest component of Lesotho’s apparel industry – with 33 firms currently employing approximately 24 500 workers. This employment is set to grow as newly established manufacturing enterprises are scaling up their production. A diverse range of products are made. From commodity cotton t-shirts, dresses, tracksuits, through to sportswear,
12 firms (employing approximately 6 200 workers) concentrate on supplying the South African market place. Most of these orders are given to Lesotho plants by a number of garment design/sourcing houses based in (mainly) Durban or Cape Town; only a limited number of orders are given directly by the Southern African retailers.
21 firms (employing about 18 600 workers) focus on the United States’ (US) market place. US orders are generally secured via sourcing agents based in the east (mainly Taiwan). An important feature of the knit garment manufacturing industry focused on the US market is that there is a core of firms that are able to secure orders from the agents – should they have excess orders they share this production with a number of plants (who have Asian origin owners) that only undertake CMT work.
In the past five years there has been a significant shift away from producing cotton knit garments for export to the US; now many firms tend to concentrate on making commodity garments whose fabrics are mainly composed of man-made fabrics (i.e. chief value synthetic – “CVS”). The reason for this switch is that CVS type garments typically attract US Most Favoured Nation (MFN) customs duties of between 25-35%; as opposed to cotton commodity type garments whose US MFN duties are much lower.
Many of the US orientated knit garment manufacturers have in-house laundry and embroidery facilities (e.g. Tai Tuan/J&S Fashions, Lesotho Precious Garments, Shinning Century and TZICC). Six knit garment manufacturers have obtained Worldwide Responsible Accredited Production (WRAP – Eclat Evergood, Hippo Knitting, Lesotho Precious Garments, Supper Knitting, Tai Yuan and TZICC) certification.
Two of Lesotho’s knit garment manufacturers are directly connected to textile (spin/knit/dye) manufacturing operations located in South Africa – Basotho Leisurewear (linked to Tradelink Industries – a vertically integrated knit fabric mill located in South Africa’s Western Cape province), and Fantastic Clothing (linked to Tai Yuen – a spin-knit-dye fabric mill based in South Africa’s KwaZulu-Natal province).
It must be noted that some of the predominantly knit garment manufacturers are versatile enough to undertake the production of woven garments (e.g. CMT Trading, Leo Garments, Shinning Century), while some of the woven manufacturers do undertake knit garment manufacture (e.g. Jonsson Manufacturing, Long River Garments, Middle Sky Lesotho, etc).

Industrial workwear manufacturing in Lesotho
The Lesotho industry currently comprises six firms that collectively employ about 4 700 workers; who make about 11m units of workwear per annum.
The workwear produced in Lesotho is typically used by workers in the mining, agricultural and manufacturing; and some retail operations. For example: one/two piece overalls/boiler suits, hi-visibility products, freezer-wear; as well as products used by fast food restaurant staff, retail store assistants, etc).
Aside from two small producers that focus on supplying the domestic Lesotho workwear market, most of the firms concentrate on supplying the South(ern) Africa marketplace. Jonsson Manufacturing employs 2 800 people and is a fully supported by a substantial in-house design centre which develops Jonsson’s branded products. Jonsson’s exports mainly into South Africa, but to a number of destinations within Southern and Eastern Africa; as well as into Australia.

Footwear manufacturing in Lesotho
Lesotho’s footwear industry currently consists of two footwear manufacturers; industry employment is approximately 1 253; and these firms produce about 7.2m pairs of (typical) shoes a year. Jaguar Shoes (formally “Springfield Footwear” used to make branded pool sandals for Puma – until Puma decided to exit this market niche) is now establishing itself with other retailers and scaling up production.

Lesotho’s textile-clothing-footwear industry support firms
The garment industry is supported by: two commission embroidery firms and two commission garment screen-printers; a limited packaging industry exists (two firms make corrugated cartons for garment exporters); and one coat hanger factory makes hangers for garments destined to be exported to the US. There are no commission laundries (although some firms have their own in-house laundries which can be rented), garment dye facilities, garment label printers, zip manufacturers, thread dye firms, etc. Most garment trims are imported into the country – from South Africa and the East.
 
Kiukweli CHADEMA kwa utaratibu wao mpya wa mfumo wa ada za uanachama wanaweza kufanya vizuri zaidi hata kama hawatapata ruzuku ya Serikali.

Kama wanachama milioni mbili wa CHADEMA watalipa tsh 2500 ambayo ni ada ya chini kabisa basi chama kitaingiza Tsh 5 bilioni kwa mwaka.

Hapo hujatuingiza sisi Platnum wa tsh 100,000 na wale wanene wengine wa Tsh 200,000

Hongereni CHADEMA kwa ubunifu.

Peoples........power!

Kazi Iendelee.
Nakung'ata sikio , Chadema ina wanachama mil 11 , kabla ya CHADEMA DIGITAL ( Tunatarajia kufikisha mil 20 mpaka July ) , huku ikiwa na wapenzi wanaokadiriwa kufika mil 15
 
Wewe kenge wa kijani ya chadema tuachie wenyewe, ukilala chadema ukiamka Mbowe. Unaumia chadema kujitegemea.
kafie lumumba huko kwa MaCCM laana wenzio.
Hahahaaaa...... Umefura kabisa kama " kifutu"
 
Hahahaaaa...... Umefura kabisa kama " kifutu"
Soo kufura tu, mwendawazimu amenijenga na ile roho yake mbaya, ya kuua na kutesa watanzania, siku moja naiomba kila siku nisije kufa kabla sajapasua tumbo na kula maini ya MaCCM.
Nawachukia sana MaCCM.
 
Kiukweli CHADEMA kwa utaratibu wao mpya wa mfumo wa ada za uanachama wanaweza kufanya vizuri zaidi hata kama hawatapata ruzuku ya Serikali.

Kama wanachama milioni mbili wa CHADEMA watalipa tsh 2500 ambayo ni ada ya chini kabisa basi chama kitaingiza Tsh 5 bilioni kwa mwaka.

Hapo hujatuingiza sisi Platnum wa tsh 100,000 na wale wanene wengine wa Tsh 200,000

Hongereni CHADEMA kwa ubunifu.

Peoples........power!

Kazi Iendelee.
Umesahau bado kuna wanachama wengine wa Lumumba nao watachukua kadi za Chadema
 
Mleta mada mi naona kama anademka tu. Chadema walikuwa wanapokea milioni 300 na ushee kila mwezi lakini hata ofisi ya maana hawana, pamojana kuwa walikuwa wanapata milioni 300 lakini hata buku alikufika katiaka wilata wala kata ndo useme kwa ada ya 2500 mtatoboa, ni kijilisha upepo, labda mbadilishe gia angani muanze kuchukuwa ada za akina Halima mdee sawa.

Alafu wahenga walisema lisemwalo lipo na kama halipo linakuja, Chadema inaitwa SACCOS. Ni kituo cha makusanyo ya sadaka kama kanisani sisi huku kanisani utakiwi kuuliza pesa inaenda kwa Mungu unauliza nini. Ndiyo maana ata Chadema nako ukiuliza tu jibu linajulikana. Kanisani tunakutenga na nyinyi ndiyo mnamaliza kabisa, tofauti yetu ndogo sana.
Huko ccm wanachama wanauliza ruzuku inakwenda wapi? pamoja na fedha za miradi ikiwamo viwanja vya mpira wa miguu mlivyojimilikishia, viwanja vya wazi na mafremu ya maduka?
 
Hizo Ada za uanachama ni HISA kabisa. Haiwezekani mtu alipe ada ya Tsh 200,000 halafu akatwe, apitishwe John Mrema au Joyce Minja.

Na uthibitisho wa upigaji, possibly huo mfumo utakuwa SIRI.

Haitajulikana nani mwenye kadi ipi na mnyonge ana kadi ipi.
Huku chadema hamna wanyonge wapo ccm
 
Ligongwe na gari la tela linalokwenda Zambia......
Linasokoro kwinyo na roho yake mbaya, si ndio hili kenge linaota ruzuku, linajiongeresha kuwa chadema tunachukua ruzuku silipendi Mjaa laana hilo natamani ligongwe na gari lifie polini. LiCCM laana.
...
 
Kabla walikuwa wakipata Sh 450 million kila mwezi sawa na Sh 5.4 billion kwa mwaka. Hapo hujajumulisha makato ya Sh 1.5 million kila mwezi kutoka kwa wabunge wao 75 na michango ya mamillion ya USD toka kwa ndugu zao wa Ubeligiji na Ujerumani. Lakini kazi ilishindwa kuendelea! Watu walikihama chama na ilipofika 2020 chama kiliangukia pua na kupoteza fahamu.
Wakati uo nyie ccm ruzuku mnapelekaga wapi ? Ukizingatia ofisi zenu na viwanja mlipora tu , kazi kujisifia kumiliki v8 , ludishen mali za umma NDO mseme mna ofisi ngapi?
 
Wakati uo nyie ccm ruzuku mnapelekaga wapi ? Ukizingatia ofisi zenu na viwanja mlipora tu , kazi kujisifia kumiliki v8 , ludishen mali za umma NDO mseme mna ofisi ngapi?
Tunalipa mishahara minono ya watumishi wetu wote na viongozi wetu tunawanunulia mavieite na kupata clean certificate kutoka kwa CAG! Nyie mnanunua majumba ya kifahari Dubai na Ubeligiji na mikutano ya chama chenu mnafanyia Mlimani City, Serena Hotel na Bahari Beach.
 
Back
Top Bottom