Ndiyo matumizi ya pesa ni kipaombele gani unataka?Tunalipa mishahara minono ya watumishi wetu wote na viongozi wetu tunawanunulia mavieite na kupata clean certificate kutoka kwa CAG! Nyie mnanunua majumba ya kifahari Dubai na Ubeligiji na mikutano ya chama chenu mnafanyia Mlimani City, Serena Hotel na Bahari Beach.