johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hongereni kwa ubunifu!Achana na chadema wewe, inakuhusu nini? Wewe waambie wenzako ccm waache kuwateka chadema, kuwaua, kuwabambikia kesi , kuwapoteza, kukataza mikutano yao na mengine unayoyaratibu wewe hapo utakuwa umeisaidia chadema na si porojo zako hizi mfu za pesa
Pongezi ni pongezi!Asanteni kwa pongezi za kinafiki
Waombe tu bwashee!Kumbe na Mimi nikiwaomba watanzania million mbili shilingi 2500 nakuwa na billion tano
Hizo Ada za uanachama ni HISA kabisa. Haiwezekani mtu alipe ada ya Tsh 200,000 halafu akatwe, apitishwe John Mrema au Joyce Minja.Mleta mada mi naona kama anademka tu. Chadema walikuwa wanapokea milioni 300 na ushee kila mwezi lakini hata ofisi ya maana hawana, pamojana kuwa walikuwa wanapata milioni 300 lakini hata buku alikufika katiaka wilata wala kata ndo useme kwa ada ya 2500 mtatoboa, ni kijilisha upepo, labda mbadilishe gia angani muanze kuchukuwa ada za akina Halima mdee sawa.
Alafu wahenga walisema lisemwalo lipo na kama halipo linakuja, Chadema inaitwa SACCOS. Ni kituo cha makusanyo ya sadaka kama kanisani sisi huku kanisani utakiwi kuuliza pesa inaenda kwa Mungu unauliza nini. Ndiyo maana ata Chadema nako ukiuliza tu jibu linajulikana. Kanisani tunakutenga na nyinyi ndiyo mnamaliza kabisa, tofauti yetu ndogo sana.
Mfumo siyo siri bwashee!Hizo Ada za uanachama ni HISA kabisa. Haiwezekani mtu alipe ada ya Tsh 200,000 halafu akatwe, apitishwe John Mrema au Joyce Minja.
Na uthibitisho wa upigaji, possibly huo mfumo utakuwa SIRI.
Haitajulikana nani mwenye kadi ipi na mnyonge ana kadi ipi.
Hivi kumbe wewe ni Platinum?Kiukweli CHADEMA kwa utaratibu wao mpya wa mfumo wa ada za uanachama wanaweza kufanya vizuri zaidi hata kama hawatapata ruzuku ya Serikali.
Kama wanachama milioni mbili wa CHADEMA watalipa tsh 2500 ambayo ni ada ya chini kabisa basi chama kitaingiza Tsh 5 bilioni kwa mwaka.
Hapo hujatuingiza sisi Platnum wa tsh 100,000 na wale wanene wengine wa Tsh 200,000
Hongereni CHADEMA kwa ubunifu.
Peoples........power!
Kazi Iendelee.
Wewe kachunge ng'ombe haya yamekuzidi umriMleta mada mi naona kama anademka tu. Chadema walikuwa wanapokea milioni 300 na ushee kila mwezi lakini hata ofisi ya maana hawana, pamojana kuwa walikuwa wanapata milioni 300 lakini hata buku alikufika katiaka wilata wala kata ndo useme kwa ada ya 2500 mtatoboa, ni kijilisha upepo, labda mbadilishe gia angani muanze kuchukuwa ada za akina Halima mdee sawa.
Alafu wahenga walisema lisemwalo lipo na kama halipo linakuja, Chadema inaitwa SACCOS. Ni kituo cha makusanyo ya sadaka kama kanisani sisi huku kanisani utakiwi kuuliza pesa inaenda kwa Mungu unauliza nini. Ndiyo maana ata Chadema nako ukiuliza tu jibu linajulikana. Kanisani tunakutenga na nyinyi ndiyo mnamaliza kabisa, tofauti yetu ndogo sana.
Huwa najiuliza hili swali sipati jibu, hivi zile mil 300 na michango ya wabunge kila mwezi zilikuwa zinaenda wapi? Leo hii washindwe hata kulipa mishahara? Ukiongeza kipindi cha miaka 5 iliyopita matumizi yalikuwa madogo sana, mikutano ya hadhara haikuwepo (ambayo inaweza kuwa kisingizio cha matumizi ya hela), chaguzi nyingi hawakushiriki (ikiwepo serikali za mitaa na za marudio) na hata hela za uchaguzi mkuu walioshiriki Lissu alikuwa anachangisha kwa njia mbalimbali, waliogombea ubunge pia hawakupelekewa hela kutoka makao makuu. Hizo hela zote zimeenda wapi?Mleta mada mi naona kama anademka tu. Chadema walikuwa wanapokea milioni 300 na ushee kila mwezi lakini hata ofisi ya maana hawana, pamojana kuwa walikuwa wanapata milioni 300 lakini hata buku alikufika katiaka wilata wala kata ndo useme kwa ada ya 2500 mtatoboa, ni kijilisha upepo, labda mbadilishe gia angani muanze kuchukuwa ada za akina Halima mdee sawa.
Alafu wahenga walisema lisemwalo lipo na kama halipo linakuja, Chadema inaitwa SACCOS. Ni kituo cha makusanyo ya sadaka kama kanisani sisi huku kanisani utakiwi kuuliza pesa inaenda kwa Mungu unauliza nini. Ndiyo maana ata Chadema nako ukiuliza tu jibu linajulikana. Kanisani tunakutenga na nyinyi ndiyo mnamaliza kabisa, tofauti yetu ndogo sana.
Wewe unadhani kampeni za 2020 timu mbili ya Tundu Lisu na Salumu Mwalimu walikuwa wanakula mawe?Huwa najiuliza hili swali sipati jibu, hivi zile mil 300 na michango ya wabunge kila mwezi zilikuwa zinaenda wapi? Leo hii washindwe hata kulipa mishahara? Ukiongeza kipindi cha miaka 5 iliyopita matumizi yalikuwa madogo sana, mikutano ya hadhara haikuwepo (ambayo inaweza kuwa kisingizio cha matumizi ya hela), chaguzi nyingi hawakushiriki (ikiwepo serikali za mitaa na za marudio) na hata hela za uchaguzi mkuu walioshiriki Lissu alikuwa anachangisha kwa njia mbalimbali, waliogombea ubunge pia hawakupelekewa hela kutoka makao makuu. Hizo hela zote zimeenda wapi?
Hilo swali halijawahi kupata JIBU na hakuna mwanaCHADEMA mwenye uwezo wa kuuliza akabaki SALAMA.Huwa najiuliza hili swali sipati jibu, hivi zile mil 300 na michango ya wabunge kila mwezi zilikuwa zinaenda wapi? Leo hii washindwe hata kulipa mishahara? Ukiongeza kipindi cha miaka 5 iliyopita matumizi yalikuwa madogo sana, mikutano ya hadhara haikuwepo (ambayo inaweza kuwa kisingizio cha matumizi ya hela), chaguzi nyingi hawakushiriki (ikiwepo serikali za mitaa na za marudio) na hata hela za uchaguzi mkuu walioshiriki Lissu alikuwa anachangisha kwa njia mbalimbali, waliogombea ubunge pia hawakupelekewa hela kutoka makao makuu. Hizo hela zote zimeenda wapi?
Linasokoro kwinyo na roho yake mbaya, si ndio hili kenge linaota ruzuku, linajiongeresha kuwa chadema tunachukua ruzuku silipendi Mjaa laana hilo natamani ligongwe na gari lifie polini. LiCCM laana.Achana na chadema wewe, inakuhusu nini? Wewe waambie wenzako ccm waache kuwateka chadema, kuwaua, kuwabambikia kesi , kuwapoteza, kukataza mikutano yao na mengine unayoyaratibu wewe hapo utakuwa umeisaidia chadema na si porojo zako hizi mfu za pesa