johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Unateseka sana!Linasokoro kwinyo na roho yake mbaya, si ndio hili kenge linaota ruzuku, linajiongeresha kuwa chadema tunachukua ruzuku silipendi Mjaa laana hilo natamani ligongwe na gari lifie polini. LiCCM laana.
Nimekuelewa bwashee!Kabla walikuwa wakipata Sh 450 million kila mwezi sawa na Sh 5.4 billion kwa mwaka. Hapo hujajumulisha makato ya Sh 1.5 million kila mwezi kutoka kwa wabunge wao 75 na michango ya mamillion ya USD toka kwa ndugu zao wa Ubeligiji na Ujerumani. Lakini kazi ilishindwa kuendelea! Watu walikihama chama na ilipofika 2020 chama kiliangukia pua na kupoteza fahamu.
Tunakusoma Yohana Mbatizaji.Kiukweli CHADEMA kwa utaratibu wao mpya wa mfumo wa ada za uanachama wanaweza kufanya vizuri zaidi hata kama hawatapata ruzuku ya Serikali.
Kama wanachama milioni mbili wa CHADEMA watalipa tsh 2500 ambayo ni ada ya chini kabisa basi chama kitaingiza Tsh 5 bilioni kwa mwaka.
Hapo hujatuingiza sisi Platnum wa tsh 100,000 na wale wanene wengine wa Tsh 200,000
Hongereni CHADEMA kwa ubunifu.
Peoples........power!
Kazi Iendelee.
So hela yote iliisha kwenye kampeni za uchaguzi wa 2020? Kucheza na data ili kuwadanganya wakaguzi ni jambo rahisi sana, especially kwa ofisi yetu ya ukaguzi ambayo ina tatizo kubwa la manpowerWewe unadhani kampeni za 2020 timu mbili ya Tundu Lisu na Salumu Mwalimu walikuwa wanakula mawe?
CAG kapita na hakuona tatizo lolote!
Kwa hiyo kwa akili zako finyu mikutano ya ndani ilifanyikaje? na hizo gharama za kuendesha kesi nyingi za kubambika kwa wanachama wao ziliendeshwaje na mawakili wao walifanyaje kazi zao?Huwa najiuliza hili swali sipati jibu, hivi zile mil 300 na michango ya wabunge kila mwezi zilikuwa zinaenda wapi? Leo hii washindwe hata kulipa mishahara? Ukiongeza kipindi cha miaka 5 iliyopita matumizi yalikuwa madogo sana, mikutano ya hadhara haikuwepo (ambayo inaweza kuwa kisingizio cha matumizi ya hela), chaguzi nyingi hawakushiriki (ikiwepo serikali za mitaa na za marudio) na hata hela za uchaguzi mkuu walioshiriki Lissu alikuwa anachangisha kwa njia mbalimbali, waliogombea ubunge pia hawakupelekewa hela kutoka makao makuu. Hizo hela zote zimeenda wapi?
Unaongelea huo uchafuzi wa jiwe akiwatumia watendaji wa tume? we kweli kichwa tupuKabla walikuwa wakipata Sh 450 million kila mwezi sawa na Sh 5.4 billion kwa mwaka. Hapo hujajumulisha makato ya Sh 1.5 million kila mwezi kutoka kwa wabunge wao 75 na michango ya mamillion ya USD toka kwa ndugu zao wa Ubeligiji na Ujerumani. Lakini kazi ilishindwa kuendelea! Watu walikihama chama na ilipofika 2020 chama kiliangukia pua na kupoteza fahamu.
Hela lazima iishe Chadema siyo chama cha wapare au wakinga!So hela yote iliisha kwenye kampeni za uchaguzi wa 2020? Kucheza na data ili kuwadanganya wakaguzi ni jambo rahisi sana, especially kwa ofisi yetu ya ukaguzi ambayo ina tatizo kubwa la manpower
Kiukweli CHADEMA kwa utaratibu wao mpya wa mfumo wa ada za uanachama wanaweza kufanya vizuri zaidi hata kama hawatapata ruzuku ya Serikali.
Kama wanachama milioni mbili wa CHADEMA watalipa tsh 2500 ambayo ni ada ya chini kabisa basi chama kitaingiza Tsh 5 bilioni kwa mwaka.
Hapo hujatuingiza sisi Platnum wa tsh 100,000 na wale wanene wengine wa Tsh 200,000
Hongereni CHADEMA kwa ubunifu.
Peoples........power!
Kazi Iendelee.
Kiukweli CHADEMA kwa utaratibu wao mpya wa mfumo wa ada za uanachama wanaweza kufanya vizuri zaidi hata kama hawatapata ruzuku ya Serikali.
Kama wanachama milioni mbili wa CHADEMA watalipa tsh 2500 ambayo ni ada ya chini kabisa basi chama kitaingiza Tsh 5 bilioni kwa mwaka.
Hapo hujatuingiza sisi Platnum wa tsh 100,000 na wale wanene wengine wa Tsh 200,000
Hongereni CHADEMA kwa ubunifu.
Peoples........power!
Kazi Iendelee.
| Firms | Jobs | Approximate Units of Basic Garments Produced Per Annum | |
| Textile | 1 | 1 220 | Yarn - 18 000t Fabric – 15.6m linear meters |
| Denim (woven bottoms) | 9 | 13 124 | 23 304 000 |
| Non–denim Woven Fashion | 4 | 1 580 | 6 360 000 |
| Industrial Workwear | 6 | 4 696 | 11 003 800 |
| Knit Garments | 33 | 24 513 | 115 143 600 |
| Footwear | 2 | 1 253 | 7 200 000 pairs |
| Supporting Industry | 11 | 218 | - |
| TOTAL | 66 | 46 604 | 155 811 400 (typical clothing units) 7 200 000 (pairs of typical shoes) |
Nakung'ata sikio , Chadema ina wanachama mil 11 , kabla ya CHADEMA DIGITAL ( Tunatarajia kufikisha mil 20 mpaka July ) , huku ikiwa na wapenzi wanaokadiriwa kufika mil 15Kiukweli CHADEMA kwa utaratibu wao mpya wa mfumo wa ada za uanachama wanaweza kufanya vizuri zaidi hata kama hawatapata ruzuku ya Serikali.
Kama wanachama milioni mbili wa CHADEMA watalipa tsh 2500 ambayo ni ada ya chini kabisa basi chama kitaingiza Tsh 5 bilioni kwa mwaka.
Hapo hujatuingiza sisi Platnum wa tsh 100,000 na wale wanene wengine wa Tsh 200,000
Hongereni CHADEMA kwa ubunifu.
Peoples........power!
Kazi Iendelee.
Hahahaaaa.....!Nakung'ata sikio , Chadema ina wanachama mil 11 , kabla ya CHADEMA DIGITAL ( Tunatarajia kufikisha mil 20 mpaka July ) , huku ikiwa na wapenzi wanaokadiriwa kufika mil 15
Wewe kenge wa kijani ya chadema tuachie wenyewe, ukilala chadema ukiamka Mbowe. Unaumia chadema kujitegemea.Unateseka sana!
Hahahaaaa...... Umefura kabisa kama " kifutu"Wewe kenge wa kijani ya chadema tuachie wenyewe, ukilala chadema ukiamka Mbowe. Unaumia chadema kujitegemea.
kafie lumumba huko kwa MaCCM laana wenzio.
Soo kufura tu, mwendawazimu amenijenga na ile roho yake mbaya, ya kuua na kutesa watanzania, siku moja naiomba kila siku nisije kufa kabla sajapasua tumbo na kula maini ya MaCCM.Hahahaaaa...... Umefura kabisa kama " kifutu"
Umesahau bado kuna wanachama wengine wa Lumumba nao watachukua kadi za ChademaKiukweli CHADEMA kwa utaratibu wao mpya wa mfumo wa ada za uanachama wanaweza kufanya vizuri zaidi hata kama hawatapata ruzuku ya Serikali.
Kama wanachama milioni mbili wa CHADEMA watalipa tsh 2500 ambayo ni ada ya chini kabisa basi chama kitaingiza Tsh 5 bilioni kwa mwaka.
Hapo hujatuingiza sisi Platnum wa tsh 100,000 na wale wanene wengine wa Tsh 200,000
Hongereni CHADEMA kwa ubunifu.
Peoples........power!
Kazi Iendelee.
Huko ccm wanachama wanauliza ruzuku inakwenda wapi? pamoja na fedha za miradi ikiwamo viwanja vya mpira wa miguu mlivyojimilikishia, viwanja vya wazi na mafremu ya maduka?Mleta mada mi naona kama anademka tu. Chadema walikuwa wanapokea milioni 300 na ushee kila mwezi lakini hata ofisi ya maana hawana, pamojana kuwa walikuwa wanapata milioni 300 lakini hata buku alikufika katiaka wilata wala kata ndo useme kwa ada ya 2500 mtatoboa, ni kijilisha upepo, labda mbadilishe gia angani muanze kuchukuwa ada za akina Halima mdee sawa.
Alafu wahenga walisema lisemwalo lipo na kama halipo linakuja, Chadema inaitwa SACCOS. Ni kituo cha makusanyo ya sadaka kama kanisani sisi huku kanisani utakiwi kuuliza pesa inaenda kwa Mungu unauliza nini. Ndiyo maana ata Chadema nako ukiuliza tu jibu linajulikana. Kanisani tunakutenga na nyinyi ndiyo mnamaliza kabisa, tofauti yetu ndogo sana.
Huku chadema hamna wanyonge wapo ccmHizo Ada za uanachama ni HISA kabisa. Haiwezekani mtu alipe ada ya Tsh 200,000 halafu akatwe, apitishwe John Mrema au Joyce Minja.
Na uthibitisho wa upigaji, possibly huo mfumo utakuwa SIRI.
Haitajulikana nani mwenye kadi ipi na mnyonge ana kadi ipi.
...Linasokoro kwinyo na roho yake mbaya, si ndio hili kenge linaota ruzuku, linajiongeresha kuwa chadema tunachukua ruzuku silipendi Mjaa laana hilo natamani ligongwe na gari lifie polini. LiCCM laana.
Wakati uo nyie ccm ruzuku mnapelekaga wapi ? Ukizingatia ofisi zenu na viwanja mlipora tu , kazi kujisifia kumiliki v8 , ludishen mali za umma NDO mseme mna ofisi ngapi?Kabla walikuwa wakipata Sh 450 million kila mwezi sawa na Sh 5.4 billion kwa mwaka. Hapo hujajumulisha makato ya Sh 1.5 million kila mwezi kutoka kwa wabunge wao 75 na michango ya mamillion ya USD toka kwa ndugu zao wa Ubeligiji na Ujerumani. Lakini kazi ilishindwa kuendelea! Watu walikihama chama na ilipofika 2020 chama kiliangukia pua na kupoteza fahamu.
Tunalipa mishahara minono ya watumishi wetu wote na viongozi wetu tunawanunulia mavieite na kupata clean certificate kutoka kwa CAG! Nyie mnanunua majumba ya kifahari Dubai na Ubeligiji na mikutano ya chama chenu mnafanyia Mlimani City, Serena Hotel na Bahari Beach.Wakati uo nyie ccm ruzuku mnapelekaga wapi ? Ukizingatia ofisi zenu na viwanja mlipora tu , kazi kujisifia kumiliki v8 , ludishen mali za umma NDO mseme mna ofisi ngapi?