CHADEMA inaweza kufanya vizuri bila ruzuku kwa sababu ada za Wanyonge (2500/=) zitawaingizia zaidi ya Tsh 5 Bilioni kwa mwaka

Ndiyo matumizi ya pesa ni kipaombele gani unataka?
 
Ninachukia sana ushenzi wa kuwaita watu timamu wanyonge...huku wakiibiwa

Jiwe aliita watu wanyonge wakati wanaibiwa na akijiita mnyonge ili wasiamke kuhoji wakidhani wana mtetezi..
 
Jibu SWALI ccm ina ofis ngapi zilizojengwa KWA mikono ya chama, ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…