MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Kwani Sio watanzania?Hivi hawa watu wenye siri nyingi sana za Nchi wamewezaje kuingia CHADEMA?
Marehemu Mzee Ally kibao, Mabele marando , Mzee Sumaye, Marehemu Mzee Lowassa, Makomando wa Mbowe.
Nadhani kuna baadhi watu wakistaafu hawatakiwi kuingia kwenye siasa.
ni Ukosefu wa akili,Cha kusikitisha ni verified user,Sasa wanaomjua wanabaki kushangaa kaandika nini,kuna haja ya kuanzisha shule za kukuza uelewa wa watu na namna ya kupambanua mamboHivi huu ni ukosefu wa Elimu au? Unaposikia katiba unaelewa nini?
Akili yako itakuwa inaongozwa a kalio!Hivi hawa watu wenye siri nyingi sana za Nchi wamewezaje kuingia CHADEMA?
Marehemu Mzee Ally kibao, Mabele marando , Mzee Sumaye, Marehemu Mzee Lowassa, Makomando wa Mbowe.
CCM kuna wastaafu pia , hawa watu kwanini wakistaafu wakatulia tu .
Nadhani kuna baadhi watu wakistaafu hawatakiwi kuingia kwenye siasa.
Si ajabu ukalikuta ni graduate hili jamaa!Hivi huu ni ukosefu wa Elimu au? Unaposikia katiba unaelewa nini?
Kwani chadema sio chama cha siasa cha Tanzania hata watanzania baadhi wakatazwe wasijiunge nacho?Hivi hawa watu wenye siri nyingi sana za Nchi wamewezaje kuingia CHADEMA?
Marehemu Mzee Ally kibao, Mabele marando , Mzee Sumaye, Marehemu Mzee Lowassa, Makomando wa Mbowe.
CCM kuna wastaafu pia , hawa watu kwanini wakistaafu wakatulia tu .
Nadhani kuna baadhi watu wakistaafu hawatakiwi kuingia kwenye siasa.
........Nadhani sijaeleweka , mwishoni hapo nimeweka vizuri kabisa kwamba baadhi ya watu hawakutakiwa wakistaafu waingie kwenye Siasa .
Hivi ni nani anaweza kuamini kama kina lowassa , sumaye walikwenda CDM na kuwa wapinzani?
Je hawa watu huku Chadema wanakuja kwa mipango yao/CCM au ya CHADEMA ?
Mzee Ally alikuwa jeshini mpaka kifo kimemkuta alikuwa na impact gani na ushawishi gani mpaka awindwe ?
Wenye akili wachache mnaweza elewa
Tuna chama cha Upinzani hapa ?
na maana Nchi yote na vilivyomo ni mali ya Ccm !Swali lako halina mantiki ujue. Yaani umeleta hoja kama kusema jua halitakiwi kuchomozea Mashariki.
🤣🤣 kwenye ukoo wenu akuna mgambo ata mmoja🤣🤣Hivi hawa watu wenye siri nyingi sana za Nchi wamewezaje kuingia CHADEMA?
Marehemu Mzee Ally kibao, Mabele marando , Mzee Sumaye, Marehemu Mzee Lowassa, Makomando wa Mbowe.
CCM kuna wastaafu pia , hawa watu kwanini wakistaafu wakatulia tu .
Nadhani kuna baadhi watu wakistaafu hawatakiwi kuingia kwenye siasa.
........Nadhani sijaeleweka , mwishoni hapo nimeweka vizuri kabisa kwamba baadhi ya watu hawakutakiwa wakistaafu waingie kwenye Siasa .
Hivi ni nani anaweza kuamini kama kina lowassa , sumaye walikwenda CDM na kuwa wapinzani?
Je hawa watu huku Chadema wanakuja kwa mipango yao/CCM au ya CHADEMA ?
Mzee Ally alikuwa jeshini mpaka kifo kimemkuta alikuwa na impact gani na ushawishi gani mpaka awindwe ?
Wenye akili wachache mnaweza elewa
Tuna chama cha Upinzani hapa ?
Hapo CCM haijatajwa ?Kwani chadema sio chama cha siasa cha Tanzania hata watanzania baadhi wakatazwe wasijiunge nacho?
Kuna masharti kwamba watu hawa na hawa hawaruhusiwi kujiunga chadema kwa sababu chadema ni ya Kongo?????
Hii mentality ndo inafanya hadi baadhi ya watu kuamini hawa chadema na wengineo hawaruhusiwi kushika dola, wakiamini ni ccm pekee ndo 'watanzania' na hao wengine ni 'foreigners' hivyo hawaruhusiwi kuongoza nchi
Vijana mna iq ndogo sanaMipunguani mingi hii nchi, pumba kabisa
Ufahamu wako ni mdogo sana sana. Victim mwingine wa elimu ya kitanzania.Hivi hawa watu wenye siri nyingi sana za Nchi wamewezaje kuingia CHADEMA?
Marehemu Mzee Ally kibao, Mabele marando , Mzee Sumaye, Marehemu Mzee Lowassa, Makomando wa Mbowe.
CCM kuna wastaafu pia , hawa watu kwanini wakistaafu wakatulia tu .
Nadhani kuna baadhi watu wakistaafu hawatakiwi kuingia kwenye siasa.
........Nadhani sijaeleweka , mwishoni hapo nimeweka vizuri kabisa kwamba baadhi ya watu hawakutakiwa wakistaafu waingie kwenye Siasa .
Hivi ni nani anaweza kuamini kama kina lowassa , sumaye walikwenda CDM na kuwa wapinzani?
Je hawa watu huku Chadema wanakuja kwa mipango yao/CCM au ya CHADEMA ?
Mzee Ally alikuwa jeshini mpaka kifo kimemkuta alikuwa na impact gani na ushawishi gani mpaka awindwe ?
Wenye akili wachache mnaweza elewa
Tuna chama cha Upinzani hapa ?
Watu wajinga wajinga kama hawa ndo wanarudisha Taifa hili nyuma!Hivi hawa watu wenye siri nyingi sana za Nchi wamewezaje kuingia CHADEMA?