CHADEMA inawezaje kuwa na wastaafu wa Jeshi au viongozi waliowahi kuwa karibu sana na Usalama wa Taifa?

Hivi hawa watu wenye siri nyingi sana za Nchi wamewezaje kuingia CHADEMA?

Marehemu Mzee Ally kibao, Mabele marando , Mzee Sumaye, Marehemu Mzee Lowassa, Makomando wa Mbowe.

Nadhani kuna baadhi watu wakistaafu hawatakiwi kuingia kwenye siasa.
Kwani Sio watanzania?
 
Nadhani sijaeleweka , mwishoni hapo nimeweka vizuri kabisa kwamba baadhi ya watu hawakutakiwa wakistaafu waingie kwenye Siasa .

Hivi ni nani anaweza kuamini kama kina lowassa , sumaye walikwenda CDM na kuwa wapinzani?

Je hawa watu huku Chadema wanakuja kwa mipango yao/CCM au ya CHADEMA ?

Mzee Ally alikuwa jeshini mpaka kifo kimemkuta alikuwa na impact gani na ushawishi gani mpaka awindwe ?

Wenye akili wachache mnaweza elewa .
 
Hivi huu ni ukosefu wa Elimu au? Unaposikia katiba unaelewa nini?
ni Ukosefu wa akili,Cha kusikitisha ni verified user,Sasa wanaomjua wanabaki kushangaa kaandika nini,kuna haja ya kuanzisha shule za kukuza uelewa wa watu na namna ya kupambanua mambo
 
Hivi hawa watu wenye siri nyingi sana za Nchi wamewezaje kuingia CHADEMA?

Marehemu Mzee Ally kibao, Mabele marando , Mzee Sumaye, Marehemu Mzee Lowassa, Makomando wa Mbowe.

CCM kuna wastaafu pia , hawa watu kwanini wakistaafu wakatulia tu .

Nadhani kuna baadhi watu wakistaafu hawatakiwi kuingia kwenye siasa.
Akili yako itakuwa inaongozwa a kalio!
 
Hivi hawa watu wenye siri nyingi sana za Nchi wamewezaje kuingia CHADEMA?

Marehemu Mzee Ally kibao, Mabele marando , Mzee Sumaye, Marehemu Mzee Lowassa, Makomando wa Mbowe.

CCM kuna wastaafu pia , hawa watu kwanini wakistaafu wakatulia tu .

Nadhani kuna baadhi watu wakistaafu hawatakiwi kuingia kwenye siasa.

........Nadhani sijaeleweka , mwishoni hapo nimeweka vizuri kabisa kwamba baadhi ya watu hawakutakiwa wakistaafu waingie kwenye Siasa .

Hivi ni nani anaweza kuamini kama kina lowassa , sumaye walikwenda CDM na kuwa wapinzani?

Je hawa watu huku Chadema wanakuja kwa mipango yao/CCM au ya CHADEMA ?

Mzee Ally alikuwa jeshini mpaka kifo kimemkuta alikuwa na impact gani na ushawishi gani mpaka awindwe ?

Wenye akili wachache mnaweza elewa

Tuna chama cha Upinzani hapa ?
Kwani chadema sio chama cha siasa cha Tanzania hata watanzania baadhi wakatazwe wasijiunge nacho?
Kuna masharti kwamba watu hawa na hawa hawaruhusiwi kujiunga chadema kwa sababu chadema ni ya Kongo?????
Hii mentality ndo inafanya hadi baadhi ya watu kuamini hawa chadema na wengineo hawaruhusiwi kushika dola, wakiamini ni ccm pekee ndo 'watanzania' na hao wengine ni 'foreigners' hivyo hawaruhusiwi kuongoza nchi
 
🤣🤣 kwenye ukoo wenu akuna mgambo ata mmoja🤣🤣
 
Hata kama Katiba yetu ni mbovu, we isome tu! Itakupunguzia ujinga mdogo mdogo!
 
Kwa comments za wachangiaji ni sahii kwa CCM kushinda uchaguzi, majitu ya humu ni mapumbavu sana sana. Mleta mada ana hoja nzuri ila wachangiaji ni wapuuzi
 
Kwani chadema sio chama cha siasa cha Tanzania hata watanzania baadhi wakatazwe wasijiunge nacho?
Kuna masharti kwamba watu hawa na hawa hawaruhusiwi kujiunga chadema kwa sababu chadema ni ya Kongo?????
Hii mentality ndo inafanya hadi baadhi ya watu kuamini hawa chadema na wengineo hawaruhusiwi kushika dola, wakiamini ni ccm pekee ndo 'watanzania' na hao wengine ni 'foreigners' hivyo hawaruhusiwi kuongoza nchi
Hapo CCM haijatajwa ?
 
Ulichoandika ni wachache sana tumekuelewa.

Hata hivyo mliyoyafanya ni mabaya zaidi.
 
Hivi hawa watu wenye siri nyingi sana za Nchi wamewezaje kuingia CHADEMA?

Marehemu Mzee Ally kibao, Mabele marando , Mzee Sumaye, Marehemu Mzee Lowassa, Makomando wa Mbowe.

CCM kuna wastaafu pia , hawa watu kwanini wakistaafu wakatulia tu .

Nadhani kuna baadhi watu wakistaafu hawatakiwi kuingia kwenye siasa.

........Nadhani sijaeleweka , mwishoni hapo nimeweka vizuri kabisa kwamba baadhi ya watu hawakutakiwa wakistaafu waingie kwenye Siasa .

Hivi ni nani anaweza kuamini kama kina lowassa , sumaye walikwenda CDM na kuwa wapinzani?

Je hawa watu huku Chadema wanakuja kwa mipango yao/CCM au ya CHADEMA ?

Mzee Ally alikuwa jeshini mpaka kifo kimemkuta alikuwa na impact gani na ushawishi gani mpaka awindwe ?

Wenye akili wachache mnaweza elewa

Tuna chama cha Upinzani hapa ?
Ufahamu wako ni mdogo sana sana. Victim mwingine wa elimu ya kitanzania.
 
Sheria ama katiba yetu inakataza wao kujiunga na vyama vya siasa.
 
Hivi hawa watu wenye siri nyingi sana za Nchi wamewezaje kuingia CHADEMA?

Marehemu Mzee Ally kibao, Mabele marando , Mzee Sumaye, Marehemu Mzee Lowassa, Makomando wa Mbowe.

CCM kuna wastaafu pia , hawa watu kwanini wakistaafu wakatulia tu .

Nadhani kuna baadhi watu wakistaafu hawatakiwi kuingia kwenye siasa.

........Nadhani sijaeleweka , mwishoni hapo nimeweka vizuri kabisa kwamba baadhi ya watu hawakutakiwa wakistaafu waingie kwenye Siasa .

Hivi ni nani anaweza kuamini kama kina lowassa , sumaye walikwenda CDM na kuwa wapinzani?

Je hawa watu huku Chadema wanakuja kwa mipango yao/CCM au ya CHADEMA ?

Mzee Ally alikuwa jeshini mpaka kifo kimemkuta alikuwa na impact gani na ushawishi gani mpaka awindwe ?

Wenye akili wachache mnaweza elewa

Tuna chama cha Upinzani hapa ?
Watu wajinga wajinga kama hawa ndo wanarudisha Taifa hili nyuma!

Mimi ni CCM lakini ni ujinga kuwa na mawazo kama haya!

Kwani CHADEMA kujua siri za Nchi hii Kuna shida gani?

Wana CHADEMA na Wana CCM sote tu Watanzania na cha msingi ni kuwa Wazalendo kwa Taifa letu.

Hakuna tatizo lolote kwa Afisa wa Jeshi au Usalama wa Taifa kuwa CHADEMA baada ya kustaafu kwa watu wenye akili.

Tatizo hapa Tanzania ni wajinga kuwa wengi kiasi ambacho hawawezi kutofautisha maslahi ya Taifa na maslahi ya CCM!!!

Na wajinga hawa ndo wamejazana kwenye vyombo vyetu vya ulinzi na usalama!

Leo Marekani Tim Walz alitumikia Jeshi la Marekani ni mgombea mwenza wa Kamala Harris kwa tiketi ya Democrats na JD Vance alitumikia Jeshi la Marekani ni mgombea mwenza wa Trump kwa tiketi ya Republican na constant kwao ni maslahi ya Taifa lao la Marekani.

Hapa kwetu constant ni Ujinga wa viongozi wetu na vyombo vya ulinzi na usalama wa kudhani ukiwa upinzani basi wewe ni adui wa Taifa.

Tushughulike na kuwapa elimu ya uraia Watanzania na hasa hawa wajinga waliojazwa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama.
 
Back
Top Bottom