johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mwezi August atang'atuka!Si huwa ninasikia kuna mtu anang'ang'ania uongozi kwa sababu ya ruzuku!!?
Hahaha... Ngoja tuone.Mwezi August atang'atuka!
Watu kama wewe nilidhani walishakufa wote enzi za Tanganyika kwenye mashamba ya mikonge.Mwezi August atang'atuka!
Mwaka uliopita 2019 Chadema imepita katika mapito magumu lakini kwa kuwa kinapokea ruzuku ya serikali kimeweza kusurvive.
Mwaka huu ni wa uchaguzi na ruzuku itakata rasmi baada ya bunge kuvunjwa hivyo chama kitaendeshwa na wananchi.
Endapo Chadema itaingia mwaka 2021 ikiwa imara basi haitakufa tena kama ilivyo TLP ya Lyatonga Mrema!
Maendeleo hayana vyama!
Ndo maana anataka kuzipiga za mara ya mwisho alishausoma mchezo kuwa akiziachia za mwaka huu kabla ya uchaguzi basi itakuwa basi tenaSi huwa ninasikia kuna mtu anang'ang'ania uongozi kwa sababu ya ruzuku!!?
Hatimaye ye ndo kafa kisiasa anapelekwa puta na mjukuu wakeWewe sio wa kwanza kuja na kauli kama hizi. Kabla ya mwaka 2015 kuna mtu mmoja mzito alikuwa anaitwa Steven wassira au Tyson alikuja na kauli kama zako. Ajabu leo hii yeye ndiye hajulikanai yuko wapi na chadema inaendelea kuwepo
Waliohama waliikuta wameacha pia.Timu haifi Kwa kuondokewa na wachezaji bali makocha na mashabikiChadema wamekuwa wakiendelea na aina moja ya siasa kwa muda mrefu mno.
Inapaswa wabadilike ama itawawia vigume kuendelea kushindana na vyama vingine, Ukichukulia kwamba baadhi ya manguli wake wamekihama, katika hali ya kawaida kitendo cha kuhamwa na wanachama wengi kwa muda mfupi utahitajika muda tena ili kurudia katika hali yake.
Naona madhara ya kukimbiwa katika ziara za mbowe, gap lipo kubwa sana. Chama kimetikisika.
Mlisema 2020 upinzani utakuwa umekufa vipi tena 2021 na si 2020.Tuwasaidie njia nyepesi ya kuuwa upinzani sio kutumia polisi mtachelewa,waondoleeni njaa wananchi Kwa kufanya hivo tu upinzani utakufaMwaka uliopita 2019 Chadema imepita katika mapito magumu lakini kwa kuwa kinapokea ruzuku ya serikali kimeweza kusurvive.
Mwaka huu ni wa uchaguzi na ruzuku itakata rasmi baada ya bunge kuvunjwa hivyo chama kitaendeshwa na wananchi.
Endapo Chadema itaingia mwaka 2021 ikiwa imara basi haitakufa tena kama ilivyo TLP ya Lyatonga Mrema!
Maendeleo hayana vyama!
Chama cha Mapinduzi mfu.Kuna chama unahisi kina nguvu lakini kwa wapiga kura kilishakufa siku nyingi!