Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Ivi mbatia ni mwenyekiti wa Nccr tangu lini? Mbona hatujawahi hizi soga za kwamba anashikilia hiyo nafasi kwa muda mrefU? Chama kinachokufa kinaogopwa na chizi hata kuwatumia vijaragosi wake kina sabaya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana anataka kuzipiga za mara ya mwisho alishausoma mchezo kuwa akiziachia za mwaka huu kabla ya uchaguzi basi itakuwa basi tena
Kwahiyo anapiga za lala sarama mzee wa kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app