Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Ndo maana anataka kuzipiga za mara ya mwisho alishausoma mchezo kuwa akiziachia za mwaka huu kabla ya uchaguzi basi itakuwa basi tena
Kwahiyo anapiga za lala sarama mzee wa kazi.
Wishiful thinking kama hizi tumeanza kuzisikia toka mwaka 1995 ba bado haijafa tu. Chadema sio Cuf. Wala chadema sio NCCRMwaka uliopita 2019 Chadema imepita katika mapito magumu lakini kwa kuwa kinapokea ruzuku ya serikali kimeweza kusurvive.
Mwaka huu ni wa uchaguzi na ruzuku itakata rasmi baada ya bunge kuvunjwa hivyo chama kitaendeshwa na wananchi.
Endapo Chadema itaingia mwaka 2021 ikiwa imara basi haitakufa tena kama ilivyo TLP ya Lyatonga Mrema!
Maendeleo hayana vyama!
Mbowe ndio jembe Mbatia hajavunjiwa hata mti wa mpera kwake sembuse Mbowe kaharibiwa kila nyenzo yake yote ya uchumi aliyopata na kuiendeaha kihalali. Yote hii kujaribu kumvunja nguvu ili afike bei. Ila Mungu amemjalia sana hana njaa za hivyo.Ila kweli mm nimeamini mbowe ni mhimu sanaa kuendelea kuwa mwenyekiti sababu yuko imara
Hata akingangania ni sawa tyu haiwezekani mgombea uenyekiti ananunuliwa assume ndo angekuwa amepewa uenyekiti ingekuwaje
Mbowe endelea baba uko vizur
mwanabhonga
Mwaka uliopita 2019 Chadema imepita katika mapito magumu lakini kwa kuwa kinapokea ruzuku ya serikali kimeweza kusurvive.
Mwaka huu ni wa uchaguzi na ruzuku itakata rasmi baada ya bunge kuvunjwa hivyo chama kitaendeshwa na wananchi.
Endapo Chadema itaingia mwaka 2021 ikiwa imara basi haitakufa tena kama ilivyo TLP ya Lyatonga Mrema!
Maendeleo hayana vyama!
Atakuja Chadema jimboni kwake anagombea Prof Kitila!MWIGULU ALIHANGAIKA KUIUA CHADEMA KIPINDI FLANI YEYE NDIYE ANASOTA KUPATA NAFASI BARAZANI VINGINEVYO ANAPOTEA SIASANI
Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema haitakaa ife kwa jinsi ilivyofanikiwa kupenya kwenye miyoyo ya watuMwaka uliopita 2019 Chadema imepita katika mapito magumu lakini kwa kuwa kinapokea ruzuku ya serikali kimeweza kusurvive.
Mwaka huu ni wa uchaguzi na ruzuku itakata rasmi baada ya bunge kuvunjwa hivyo chama kitaendeshwa na wananchi.
Endapo Chadema itaingia mwaka 2021 ikiwa imara basi haitakufa tena kama ilivyo TLP ya Lyatonga Mrema!
Maendeleo hayana vyama!
Tuombe Mungu bwashee!Chadema haitakaa ife kwa jinsi ilivyofanikiwa kupenya kwenye miyoyo ya watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mnapiga ramli 2016 mlisema kitakufa wala hakitafika 2020,tayari kimefika pamoja na nguvu zote unazozijua wewe ikiwa pamoja na kununua wabunge,madiwani,viongozi,kamata kamata,Polisi,Mahakama na magereza Mungu amesema Chadema Haifi.Mwaka uliopita 2019 Chadema imepita katika mapito magumu lakini kwa kuwa kinapokea ruzuku ya serikali kimeweza kusurvive.
Mwaka huu ni wa uchaguzi na ruzuku itakata rasmi baada ya bunge kuvunjwa hivyo chama kitaendeshwa na wananchi.
Endapo Chadema itaingia mwaka 2021 ikiwa imara basi haitakufa tena kama ilivyo TLP ya Lyatonga Mrema!
Maendeleo hayana vyama!
Mwingine alisema CHADEMA isingefika 2013.Mwaka uliopita 2019 Chadema imepita katika mapito magumu lakini kwa kuwa kinapokea ruzuku ya serikali kimeweza kusurvive.