Pre GE2025 CHADEMA itaingia Uchaguzi wa 2025 ikiwa Imesambaratika na kupasuka vipande vipande kama kioo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wengi waliotabiri Chadema kusambaratika Wamekufa
 

Bibie acha kutumia ugoro na mrungi,hiyo andasi imekushikia kazimkizi au koromije
 
Wanasiasa wengi hawako wa masilai ya wanaowaongoza especially wakati huu wa technolojia,na umuhimu wa pesa kuwa mkubwa,lisu ana credibility bado kwa wananchi,andhe is the only one left
 
Endelea kukaa mpaka dakika ya Mwisho huko wakati chama kitakapokuwa kinateketea kwa moto.
Alishindwa kukiteketeza dikteta Magufuli hadi akaamua kufa kwa kihoro itakuwa nyie vinuka mkojo
Endelea kuhangaika na kutapatapa wakati chama kikiangamia na kuzama shimoni.
Nitahangaikaje na mimi nakula bata kwa kwenda mbele. Ukiniona humu ujue it's for leisure tofauti na wewe ambaye ndiyo kazi inayokufanya uende chooni ndiyo maana unapambana sana ,yaani nakucheka kwa dharaaaau
 
Hii haina ubishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…