Pre GE2025 CHADEMA itaingia Uchaguzi wa 2025 ikiwa Imesambaratika na kupasuka vipande vipande kama kioo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama CHADEMA isingekuwa kitisho kwa CCM,chawa wasingepiga kelele kukitakia mabaya CHADEMA.
Kwani wewe kwa akili yako unaona CHADEMA bado ina ushawishi kwa watanzania? Unaona kuna umoja ndani ya CHADEMA? Unaona inaweza kushindana CCM na kuleta ushindani kwenye sanduku la kura?
 
Kwani wewe kwa akili yako unaona CHADEMA bado ina ushawishi kwa watanzania? Unaona kuna umoja ndani ya CHADEMA? Unaona inaweza kushindana CCM na kuleta ushindani kwenye sanduku la kura?
Kwani tangu lini CCM ilishinda kwenye sanduku la Kura bila msaada?
 
Kwa hiyo mimi ndio nimewatuma CHADEMA kushambuliana hadharani?
Kwani CCM hamshambuliani?
Imefikia hadi watu wenu wanashindwa kuacha kinywaji mezani mkiwa katika mikutano yenu ya ndani ya chama kwa kuogopana kuwekeana ile kitu mbaya!!
 
Kwani tangu lini CCM ilishinda kwenye sanduku la Kura bila msaada?
CCM msaada wake na nguzo yake kikuu ya ushindi katika kila uchaguzi ni wananchi wanaoendelea kuiamini na kuiunga mkono katika kila uchaguzi,kwa kuipigia kura za ndio kwa kishindo kikuu.
 
Kwani CCM hamshambuliani?
Imefikia hadi watu wenu wanashindwa kuacha kinywaji mezani mkiwa katika mikutano yenu ya ndani ya chama kwa kuogopana kuwekeana ile kitu mbaya!!
Ndani ya CCM ni amani ,umoja , mshikamano na upendo tu.
 
Haya ya Chama kingine wewe yanakuhusuje? Wewe endelea kufuatilia yalivyo ndani ya uwezo wako mengine waanchie wenye nayo.
 
Hii Habari umeletewa tuandike
Kitango Cha propaganda Cha Lumumba kimefeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…