CHADEMA itajengwa na wenye moyo safi. Waanza kujenga ofisi zao za Majimbo kwa kujitolea

CHADEMA itajengwa na wenye moyo safi. Waanza kujenga ofisi zao za Majimbo kwa kujitolea

Tetete, kijiji?

Wilaya ya Mbulu, ila kijiji sikuambii. Usije ikawa wee ni shem au baba mkwe ikawa shida. Maana humu JF unaweza ukakuta unabishana au kumtukana baba yako au baba mkwe.
🤣🤣🤣
Teh teh tihii
 
Wilaya ya Mbulu, ila kijiji sikuambii. Usije ikawa wee ni shem au baba mkwe ikawa shida. Maana humu JF unaweza ukakuta unabishana au kumtukana baba yako au baba mkwe.
🤣🤣🤣
Teh teh tihii
Muongo wewe yaani hupajui ukweni?
 
Tuacheni akili za kusadiki mambo yasiyowezekana.

Miaka kibao tupo kwenye game la siasa. Hatujaweza kujenga ofisi. Itawezekana vipi kukenga chuo cha uongozi?

Tumezoea siasa za kubwabwaja tu.
Kamanda uliyechoka,wenzako wanamaanisha wanachosema,wewe baki na porojo na kukata kwako tamaa.
 
Nachingwea

9BCFFDB1-1244-448B-9CA3-CD36B8C56723.jpeg
 
Hongereni Makambako Chadema kwa hatua hii, wanasema chama cha mitandaoni.

2DA33036-C327-479A-9DF6-D15F339B0191.jpeg
 
Umri wa chama miaka30 ila jengo kama chama chenye miezi3 tangu kuzaliwa

Atisti wameshtuka lakini
Mama D,atakule kijani ulisha jitolea nini kuijenga kijani yenu,kwani ule mtaa wenu umegeuka jangwa sasa.
 
Umri wa chama miaka30 ila jengo kama chama chenye miezi3 tangu kuzaliwa

Atilisti wameshtuka lakini
Nionyeshe jengo hata moja la CCM lililojengwa na wanachama wake kwa kujitolea.
 
Nionyeshe jengo hata moja la CCM lililojengwa na wanachama wake kwa kujitolea.

Kwa hiyo badala ya kuja na mipango yenu nyie mnaiga😆 Kama vipi na chadema watafute mbinu za kujenga bila wanachama wake kujitolea basi
Ila mkumbuke kila zama na mambo yake😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom