CHADEMA itajengwa na wenye moyo safi. Waanza kujenga ofisi zao za Majimbo kwa kujitolea

CHADEMA itajengwa na wenye moyo safi. Waanza kujenga ofisi zao za Majimbo kwa kujitolea

Chadema jengeni ofisi kulingana na hadhi yenu

Acheni excuse ndio maana mnakimbiwa na wasiasa kila siku

Kama hako serious na Mambo madogo hamtoweza kuwa serious naa Mambo makubwa mkipewa nchi

Jengeni ofisi acheni kelele

Ofisi pia sehemu ya maendeleo

Pitisheni hata harambee !!! Kale la ofis kenu kapo Kama nyumba ya urithi
Hivi chuo cha uongozi ndio tutaweza?
 
Chuo ni shs ngapi? wahindi wana biashara kubwa lakini wanaishi nyumba za kupanga tena room 2? ruhusu akili yako ifanye kazi kdg

Kwa hiyo nyie ni wahindi, wee mtu wa Babati a.k.a Margwe.
 
CHADEMA kwa hili napinga nanyi, CHADEMA ina wanachama zaidi ya milioni 1 kila mwanachama akitoa 500 tu (1,000,000 x 500=500,000,000) si zaidi ya ofisi 10 jamani, mnafeli wapi?
CCM chama kikongwe chenye wanachama zaidi ya (Polepole) 12,000,000.
Hawana ofisi ya chama waliyojenga.
Wanapora majengo ya serikali na viwanja vilivyojengwa na wananchi.
Hivi wanafeli wapi?
 
Back
Top Bottom