Chadema itakuwa na msimamo mkali zaidi bila kujali nani atashinda. Hii ni kwasababu ya chaguzi na mwenendo wa nchi kwa sasa. Kama akishinda Mbowe bado itamlazimu abadilishe mbinu. Hivyo Kama Lissu akishindwa bado sera za Chama zitakuwa za misimamo mikali. Lissu akishida ndiyo kabisa. Mbowe ni mwana taasisi na Lissu ni mwana mapinduzi. Wanananchi wanataka vyote
Lakini Lissu ana miaka 57 tu asiposhinda wakati huu Mbowe sidhani kama atabaki kwa muda mrefu haitazidi miaka miwili. Lissu bado atakuwa mwenyekiti sasa au baadae hilo liko wazi.
Lakini Lissu ana miaka 57 tu asiposhinda wakati huu Mbowe sidhani kama atabaki kwa muda mrefu haitazidi miaka miwili. Lissu bado atakuwa mwenyekiti sasa au baadae hilo liko wazi.