Chadema itashinda Urais 2020 hata bila TUME HURU

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Chadema itashinda urais hata bila tume huru 2020 kama itafanya yafuatayo

1: Kama haitapokea makapi na mafisadi kutoka ccm kuja kugombea.

2: kama watamsimamisha Tundu Lissu kupambana na Magufuli.

3: Kama watawaambia wananchi kulinda kula zao kwa Cost yetote kwenye vituo.

Kama chama kitaamua kufanya siasa kali za hoja na sio soft soft ambazo hazina tija kwa upinzani na wapenda mageuzi kwa ujumla.

Nawaambia Ukweli tumefikia kwenye the point of no return ni either tuchukue dola au tupotee moja kwa moja.

Kipi hatujapitia? wafusi wetu wameuawa, wametekwa wamejeruhiwa na kuwekwa vilema na wengine kufungwa kipi hatujakipitia kuingia barabarani tutapoteza nini?

hakuna muda wa kupoteza twendeni na nguvvu ya umma tunachukua dola mapema sana ila tuteue watu waadilifu, Udiwani Ubunge na Urais. Tume sio kigezo kama ni ivyo Odinga angekuwa rais wa Kenya. Urais ni Timing.
 
3: Na watawaambia wananchi kulinda kula zao kwa Cost yetote kwenye vituo.

Kama chama kitaamua kufanya siasa kali za hoja na sio soft soft ambazo hazina tija kwa upinzani na wapenda mageuzi kwa ujumla.

Nawaambia Ukweli tumefikia kwenye the point of no return ni either tuchukue dola au tupotee moja kwa moja.

Kipi hatujapitia? wafusi wetu wameuawa, wametekwa wamejeruhiwa na kuwekwa vilema na wengine kufungwa kipi hatujakipitia kuingia barabarani tutapoteza nini?

hakuna muda wa kupoteza twendeni na nguvvu ya umma tunachukua dola mapema sana ila tuteue watu waadilifu, Udiwani Ubunge na Urais.
Urais wa wajinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikulu ni mahali patakatifu, tuache kuiona Ikulu kama ni soko la kuuza mihogo.
 
Wanaitajika watu 5000 utlist kila mkoa kuingia barabarani ili jeshi litishike kuwazuia. Wapo hao watu wa kuacha kazi zao na kupigania chadema iingie ikulu?
 
Chadema itashinda urais hata bila tume huru 2020 kama itafanya yafuatayo

1: Kama haitapokea makapi na mafisadi kutoka ccm kuja kugombea.

2: kama watamsimamisha Tundu Lissu kupambana na Magufuli.

3: Kama watawaambia wananchi kulinda kula zao kwa Cost yetote kwenye vituo.

Kama chama kitaamua kufanya siasa kali za hoja na sio soft soft ambazo hazina tija kwa upinzani na wapenda mageuzi kwa ujumla.

Nawaambia Ukweli tumefikia kwenye the point of no return ni either tuchukue dola au tupotee moja kwa moja.

Kipi hatujapitia? wafusi wetu wameuawa, wametekwa wamejeruhiwa na kuwekwa vilema na wengine kufungwa kipi hatujakipitia kuingia barabarani tutapoteza nini?

hakuna muda wa kupoteza twendeni na nguvvu ya umma tunachukua dola mapema sana ila tuteue watu waadilifu, Udiwani Ubunge na Urais. Tume sio kigezo kama ni ivyo Odinga angekuwa rais wa Kenya. Urais ni Timing.
You must be empty upstairs
 
Back
Top Bottom